tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
naangaika sana kijanaTutakomesha huo tabia
Pumbavu nguruwe mkubwa weweTutakomesha huo tabia
Unajikuta Mungu au sio ...watu wanamsifu Mungu ww unajipa uunguTutakomesha huo tabia
Hao na bi Fiaza chuki zao ni za wazi mno
Kwa mtindo huu samia mitano tena maana watanzania mmezidi upumbavuwakristo wamekuwa ni watu wa kuimba tenzi kila wanapopanda magari ya mwendokasi
Peleka ujinga wako hukoKuna namna asilimia kubwa ya watanzania wako kwenye zone ya maumivu makbwa kiasi wakipata kianzishi moto wake hauwezi kuzimwa kwa wepesi.
Kuna shida gani? vipi wakiimba ccm mbelembele au nyimbo naishiwa pawa itakuwa sawa?Mimi ni mkristo Tena mkatoliki ila hii tabia ya kuanza kuimba nyimbo za dini kwenye magari ya mwendokasi siiungi mkono. Mamlaka zidhibiti Haraka sana
Kuna shida gani? vipi wakiimba ccm mbelembele au nyimbo naishiwa pawa itakuwa sawa?
Sijaona wakiimba CCM mbele kwa mbele au hiyo pawa ingawa pia wakifanya hivyo watakua wanakosea.Kuna shida gani? vipi wakiimba ccm mbelembele au nyimbo naishiwa pawa itakuwa sawa?
Nadhani kama kuna waislamu au wahindu nk kwenye usafiri na hawajawahi kulalamika kuhusu hizo tenzi za rohoni sioni kama kuna kosa Iwapo kuna watu wamelalamika ni sawa sio sawa.Sijaona wakiimba CCM mbele kwa mbele au hiyo pawa ingawa pia wakifanya hivyo watakua wanakosea.