Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya

Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.

Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?

Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution ya wakristo inaendelea Tanzania jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea nchini.

Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu. Vinginevyo lazima akumalize.

Ushirika wa wachawi haudumu.
 
Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
 
Kwani wale masheikh waliomsema Nchimbi walitumwa na nani?

Nchimbi mwenyewe yupo wapi?

Godfrey Mwambe yupo wapi?
 
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya

Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.

Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwanamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?

Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Bado hujasema ...
 
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya

Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.

Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?

Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Hili sio liccm limekuja kuleta udini?
 
Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
kauli za masheik hukusikia rais hujamsikia
 
Wale na sheikh na wew akili zenu zote za kipuuzi mambo ya siasa mnaweka dini,Islam ndio Samia au? Juzi mlikuwa kwenye siasa Leo mnahama kwa Kasi kuja kwenye dini mnajua mnachotaka kweli nyinyi
Anayeleta udini ni Samia na Masheikh wake anaowatuma kupandikiza udini wao.

Sie tunatafsiri tu mwenendo wao kwa lugha nyepesi ambayo wameshaiweka wazi wenyewe.
 
Back
Top Bottom