Kigogo ndo aliwatuma wale Masheikh wamseme Nchimbi sio?Takataka za kigogo usituletee humu
Tatizo la gen z ni uwezo mdogo wa kuchakata taarifa
Na sasa wanamalizana kweli.Huko ccm lolote baya liwakute wauaane wote hadi zile ng’ombe zilikua zinabebwa kwenye malor.
Mbona kwa masheikh ubwabws unanyamaza upanui domo lako?Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikiti.Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikitiMakamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Ukatoliki unahusika na nini? Toka lini tumeingia kwenye udini kama nchi?Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Ukatoliki unahusika vipi na katiba ya Tanzania?Kikichosababishwa amalizwe ni ukaribu wake na Nchimbi pamoja na Ukatoliki wake. Period.
Kwa hiyo mmetumwa kuwashambulia watu kwa sababu ya dini zao?Dada yake Nchimbi huyo, team moja.....
Lakini wenye akili timamu wote wanafahamu kwamba, aliyeanzisha haya mambo ya udini na kuyafadhiri ni ndugu Samu Ya!Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
Udini kaleta nani?A failed mind. Hili la udini pia hailipi.Unajaribu kuokota okota na kuunganisha kwa gundi ya soda vitu visivyo na maana. Kubali umeshindwa brother. Nenda kalime matikiti.
Ukiwa Mkristo au Mkatoliki na unafahamiana na Nchimbi jichukulie tu wewe ni marehemu mtarajiwa.Kwa hiyo mmetumwa kuwashambulia watu kwa sababu ya dini zao?
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Unaleta udini...!!!Kikichosababishwa amalizwe ni ukaribu wake na Nchimbi pamoja na Ukatoliki wake. Period.
Punguza maneno mengi. Wale Masheikh waliomsema Nchimbi na TEC nani aliwatuma?WEWE NI MUUAJI, KATIKI, MNAFIKK, MFITINISJAJI, MWENYE CHUKI YA KUZALIWA NAYO, MLAGHAI, NA MENGI MENGINEYO.
WEWE HUENDI MBINGINI ABADANI HADİ UTUBU KWELI KWELI.
SIJAWAJI KUKUTANA NA KIUMBE MBAYA SANA DUNIANI KAMA WEWE,
MNYAMA MKALI ANAEOGOPEWA AMEKUWA BORA KULIKO WEWE.
HIVI WEWE UNA FAMILIA? Hili NINA SHAKA NALO.
HAIWEZEKANI KUKAA NA WEWE BINAADAMU YOYOTE KWENYE HII DUNIA.
Looo
KAZI YAKO NI TAHARUKI TUU WAKATI WOWOTE, KUWATIA WATU WASIWASI.
KIFO CHAKO KITAKUWA KIBAYA SANA USIPOTUBU.
UMEWAULISHA MAMIA YA WATU, UMEWATIA UGONJWA WA MAISHA, UMEWATIA HASARA ISIYOTARAJIWA, UMEWASABABISHIA UYATIMA WATOTO, UKUWA KWA WAPENDANAO, UMESABABISHA HALI YA SINTOFAHAMU TANZANIA NZIMA,
KWA QAULI ZAKO HIZO ZA KICHONGANISHI.
SASA UMEKUJA KATIKA VITA VYA KIDINI.
MUNGU AKUANGAMIZE KABLA YA WEWE KULIANGAMIZA TAIFA.
Amiyn
NA YULE ASKOFU ALIESEMA CHOMA CHOMA KILA KITU NANI KAMTUMAPunguza maneno mengi. Wale Masheikh wakiomsema Nchimbi na TEC nani aliwatuma?