mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,755
- 7,270
Mkuu unazua taharuki.Ukiwa Mkristo au Mkatoliki na unafahamiana na Nchimbi jichukulie tu wewe ni marehemu mtarajiwa.
Mkuu unazua taharuki.Ukiwa Mkristo au Mkatoliki na unafahamiana na Nchimbi jichukulie tu wewe ni marehemu mtarajiwa.
DR HAYA LAND umekuja tena?MTU akiamua kuwa mwanasiasa anakuwa anayajua yote hayo hauna sababu ya kutoa alert .
Issue ya udini ni ujinga mwingine mnajaribu kukuuza Ila unakosa nguvu .
Jenga hoja zenye ushawishi na zinazo-make sense.
SIYO MANENO MAKALI HUO NDIO UKWELI WENYEWE, UNA SUMU KALI SANA MWILINI MWAKOPunguza maneno mengi. Wale Masheikh wakiomsema Nchimbi na TEC nani aliwatuma?
porojo zingine bana dahMakamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.

Huwa ninakukubali sana kwa mambo mengi, ila hili la udini HAPANA mkuu.Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
MTU akiamua kuwa mwanasiasa anakuwa anajua kuwaDR HAYA LAND umekuja tena?
Weka clip yake hapaNA YULE ASKOFU ALIESEMA CHOMA CHOMA KILA KITU NANI KAMTUMA
Udini kaupandikiza Samia mwenyewe. Sie tunatafsiri tu vitendo vyake na kutoa tahadhari kwa wahusika.MTU akiamua kuwa mwanasiasa anakuwa anajua kuwa
Anaweza kufungwa
Anaweza kupewa sumu
Anaweza kuuliwa
Anaweza kupotezwa n.k
Ikiwa MTU hayajui haya sifikirii Kama ni sahihi yeye kuingia katika siasa .
You have to calculate ur MOVE before you dive deep.
Na issue ya udini ni ujinga mwingine Mpya ambao unakosa mashiko.
Endapo ukitaka wakuelewe washawishi , hata kutumia dark psychology Kama ya Mange ya kuwa Jeshi litawalinda mtoke.
Hio mimi hainihusu lkn hii taarifa yako usituletee si kila kitu cha kulishwa ukiambiwa unapokeaKigogo ndo aliwatuma wale Masheikh wamseme Nchimbi sio?
Kipi kilichosemwa hapo ni uongo?Huwa ninakukubali sana kwa mambo mengi, ila hili la udini HAPANA mkuu.
Kama wanauana ni haohao wala haramu bila kuangalia dini
Huku kitaa hayatuhusu. CHRISLAM kama kawa.
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.
Ushirika wa wachawi haudumu.
Taharuki ipi?Mkuu unazua taharuki.
Anayepandikiza udini kwa nguvu ni Samia.Inanishangaza sana mambo ya msingi kuchomekwa masuala ya dini,regime za waislam kipindi hiki zikikosolewa kidogo tu zinakimbilia kuingiza tofauti za kidini aliyewadanganya kuna Mkristo anamsema huyu mwanamke kwa sababu ya uislam wake nani?uislam wake utamkera vipi Mkristo wakati haumzuii kuishi?
Kwani hakuua?uchaguzi haukuvurugika?hakuna ukandamizaji anaoufanya?waache mambo ya kijinga kama mkishindwa kuongoza kwa sababu ya elimu zenu ndogo kaeni pembeni sisi wananchi hatuna wala hatuelewi hizo sera zao chafu.
Kama inakuja hivi..Mhagama kamalizwa Kuuficha ushahidi ICC kwa kuwa alikuwa Waziri wa Afya mpaka Ile siku ya MO29
Ukatoliki unahusika na nini? Toka lini tumeingia kwenye udini kama nchi?
Hakika yule mama ni mdini sana hotuba yake ya mwisho inasema mengiAnayepandikiza udini kwa nguvu ni Samia.
Udini kaupandikiza Samia mwenyewe. Sie tunatafsiri tu vitendo vyake na kutoa tahadhari kwa wahusika.
Masheikh ndo walianza kuwasema Nchimbi na TEC.
Jenista Muhagama alikuwa Mkatoliki kindakindaki na mtu wa karibu sana wa Emmanuel Nchimbi.
Ukiona mpaka Marekani wamesema ujue kuna mengi yanaendelea nyuma ya pazia hatuyafahamu.Hakika yule mama ni mdini sana hotuba yake ya mwisho inasema mengi
Kipi kilichosemwa ni uongo?Hoja zako zinakosa uhalali wowote
Mimi nadhani mgebadilisha aina ya siasa zenu mkajaribu kujenga na kushambulia bila mwelekeo.
Tofauti na hapo mtakuwa mnatapanya nguvu
Kitengo cha propaganda na kitengo cha ushawishi lazima vitofautiane.
Unachofanya hapo ni propaganda