Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Kikichosababishwa amalizwe ni ukaribu wake na Nchimbi pamoja na Ukatoliki wake. Period.Mhagama kamalizwa Kuuficha ushahidi ICC kwa kuwa alikuwa Waziri wa Afya mpaka Ile siku ya MO29
Kwani wale masheikh waliomsema Nchimbi walitumwa na nani?Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
Bado hujasema ...Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwanamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Sitachoka kusemaBado hujasema ...
Wamemmaliza kutuma ujumbe wa Nchimbi.Dada yake Nchimbi huyo, team moja.....
Hili sio liccm limekuja kuleta udini?Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera. Haikuwa bahati mbaya
Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.
Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?
Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.
Wale na sheikh na wew akili zenu zote za kipuuzi mambo ya siasa mnaweka dini,Islam ndio Samia au? Juzi mlikuwa kwenye siasa Leo mnahama kwa Kasi kuja kwenye dini mnajua mnachotaka kweli nyinyiKwani wale masheikh waliomsema Nchimbi walitumwa na nani?
Nchimbi mwenyewe yupo wapi?
Godfrey Mwambe yupo wapi?
kauli za masheik hukusikia rais hujamsikiaHuu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
Inawezekana pia..ila unaambiwa wafanyakazi wengi wa mochwari zipipokea maiti za maandamano na madaktari wamekufa vifo vya ghaflaKikichosababishwa amalizwe ni ukaribu wake na Nchimbi pamoja na Ukatoliki wake. Period.
Anayeleta udini ni Samia na Masheikh wake anaowatuma kupandikiza udini wao.Wale na sheikh na wew akili zenu zote za kipuuzi mambo ya siasa mnaweka dini,Islam ndio Samia au? Juzi mlikuwa kwenye siasa Leo mnahama kwa Kasi kuja kwenye dini mnajua mnachotaka kweli nyinyi