Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Nisahihi kabisa watu wengi limeshaanza kututisha na anaonekana yuko serious na hili swala

Kibaya zaidi, kuna hawa maustadhi uchwara wasiokuwa na mbele wala nyuma (baadhi na nieleweke ni kwasababu ya wanayoyafanya) wamekomaa huku mitaani wanawalisha sumu ya udini wale wakinamama wanaojifunza koroani na watoto wadogo

Wale wakinamama wa mtàani wanaovaa madude meusi juu hadi chini wanajifunika hadi usono, mkononi na miguuni wanavaa soksi, wale wanaojifunzi kusoma kiarabu kwenye vijumba jumba vya maustadhi mitaani wanalishwa sumu za udini hadi inaogopesha

Kikwete aliweza kuepuka huu mtego japo ni mtu wa pwani ambako uislamu ulienea sana na mapema zaidi kuliko ukristo kwasababu ya tabia za sisi watu wa bara kutozingatia sana tofauti za kidini

Huku bara ni tofauti kabisa na Zanzibar! Waislam wa huku bara wanauwezo wa kuoana na wakristo lakini si kwa Wazanzibar. Wale neno kafir ndio wanalijua zaidi! Sasa ukutane na mtu mwenye elimu mbalimbali ndio inakuwa zaidi

Watu ambao wamepata nafasi ya kusoma zaidi angalau wamepata bahati ya kuujua ulimwengu na tamaduni za watu mbalimbali hivyo kuna namna wanajenga heshima kwa jamii nyingine

Huyu Samuya vyote hivyo hana halafu mbaya zaidi washauri wake inaonekana ni wale wa elimu mbalimbali ambao kwao wanaamini ndugu ni Mwisilam mwenzao wengine wote ni Makafiri! Huu ni msiba kwasababu bado wana kile kinyongo cha kihistoria kutoka enzi za Nyerere na kumbukeni kwao KISASI NI IBADA

Amefikia hatua ya kuonyesha chuki zake waziwazi hazifichiki tena! Kwa mfano, wakati anaongea na wale aliowaita wazee alitamka kwamba "...kama humpendi mtu sababu ya dini yake...au eneo analotoka mvumilie tu!..." hii si kauli ya kiongozi anayetakiwa kuunganisha watu wake. Hizi kauli ni za kuwagawa watu
 
Jenista mmoja wa seniors ndani ya TISS, alikuwa waziri wa afya wakati kuna order ya maheruhi wawekwe mortuary na maiti nyingi zikapotezwa pia mkatoliki na kafa kifo kilichogubikwa na sintofahamu yaani utata mwingi.
Wazanzibari moja ya mikakati yao ni kuwaua Wakatoliki kwani ndiyo wanaona kuwa ni kikwazo chao kuweza kuitawala Tanganyika kirahisi.
 
Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu. Vinginevyo lazima akumalize.
Tatizo la mada yako linaanzia hapa.

Ukristo wa Nchimbi au wote wengine uliowataja unaanzia na kuishia wapi wanapokubali kuwa sehemu ya uovu; bila kujali imani ya huyo mwovu wanayehusiana naye

Ndiyo, tatizo lipo la hawa waovu akina Samia kuleta mfarakanyo wa kidini nchini; lakini hiyo haiwafanyi hawa uliowataja au wengineo wanaoshirikiana na mwovu Samia na Genge lake kuwa na nafuu yoyote kwa upande wa wakristo; na wala haihusiana kivyovyote na wote waliomo kwenye hiyo dini ya mwovu Samia Suluhu Hassan.

Mapambano ya waTanzania ni dhidi ya waovu wote bila kujali dini zao. Wanatumia dini tu kwa mwamvuli wa maovu yao.
 
Duh! Kumbe alikuwa mtu mzito namna hii?
 
Nyie ndio wapuuzi wachache ambao mnaleta habari za uzushi kuleta tahariki katika jamii

Na kila mjinga kama wewe ambaye hafikirii kwa kila anachosoma anaweza kukuamini

Acheni kueneza chuki kwa watanzania
 
Nyie ndio wapuuzi wachache ambao mnaleta habari za uzushi kuleta tahariki katika jamii

Na kila mjinga kama wewe ambaye hafikirii kwa kila anachosoma anaweza kukuamini

Acheni kueneza chuki kwa watanzania
Uzushi upo wapi hapa?

Masheikh hawakumsema Nchimbi na kumuhusisha na TEC? Nani aliwatuma? Kwa nini hawajachukukiwa hatua?
 
Mhagama kamalizwa Kuuficha ushahidi ICC kwa kuwa alikuwa Waziri wa Afya mpaka Ile siku ya MO29
So tutegemee na yule kipara aliyekuwa makamu wake?Vipi katibu mkuu wa wizara na watenfaji wengine wa wizara
 
Wewe si ndio msemaji wake maana hadi unajua kuwa kawatuma masheikh ndio utuambie Samia ni kiongozi wa dini gani?
Kamuulize yeye. Muulize pia kwa nini kwenye hotuba yake aliwasema maaskofu tu na kuwakebehi kwa kiburi wakati waliotoa matamko kwenye utawala wake ni pamoja na shura ya maimamu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…