Hoja zako zinakosa uhalali wowote
Mimi nadhani mgebadilisha aina ya siasa zenu mkajaribu kujenga na sio kushambulia bila mwelekeo.
Tofauti na hapo mtakuwa mnatapanya nguvu
Kitengo cha propaganda na kitengo cha ushawishi lazima vitofautiane.
Unachofanya hapo ni propaganda
Sio kweli,
Lord Denning ana hoja kuntu inayohitaji kujadiliwa. Kuikwepa hoja hii ni kulea tatizo ambalo linaweza kuendelea kutugharimu!
Narudia tena kusema kuwa, kuukwepa ukweli na uhalisi wa tatizo hili na kujifanya hatulioni kuwa ni tatizo ni kujidanganya na hatutaweza kupata Suluhu ya namna ya kwenda mbele tukiwa wamoja
Na changamoto ya udini inaanzishwa na waislamu wenyewe kwa sababu ya kutojiamini kwao
Mathalani, ni wao wanaolialia ovyo kila mara Bi Msumi (Samia) anapokosolewa. Kila mara utawala wake uliporushiwa madongo ya kukosolewa, hawa watu (waislamu) haraka haraka wamekimbilia kwenye utetezi dhaifu wa kusema anafanyiwa hivyo " kwa sababu ni mwislamu.!"
Hebu tujiulize yeye Bi Msumi kwa upuuzi wake, kwa incompetence yake ktk kuongoza nchi, kwa tamaa yake ya madaraka ya kuutaka u Rais kwa nguvu zote hata kuleta maafa haya, kwa kutoa AMRI ya kuuwawa kwa maelfu ya raia wasio na hatia ili tu yeye awe Rais Kuna uhusiano gani na dini yake?
Je, si yeye na nyie waislamu wenzake mnaojielekeza, kuutetea udhaifu wa uongozi wake kwa kujificha nyuma ya sababu za udini?
Sisi tunasema hivi:
SAMIA SULUHU HASSAN ANATETEA UDHAIFU WAKE KIUONGOZI KWA KUJIFICHA NDANI YA BLANKETI LA DINI YAKE YA UISLAMU, PERIOD!.
Hii sio siri, ni ishu ambayo iko wazi na inaeleweka. Kwetu sisi we don't care about dini yake, we don't care about uanamke wake............!!
We're just saying the fact that,
SHE'S AN INCOMPETENT PRESIDENT, SHE DOESN'T DESERVE THAT POSITION. Na ofcoz, udhaifu huu umetoka kwa mrithi wake Hayati John P. Magufuli (mkristo mkatoliki) ambaye sisi Wakristo tulimzomea na kumkosoa sana. Cha ajabu hawa waislamu wa leo, wamepoteza kabisa kumbukumbu hiyo, wao wanachoona ni leo tu, hawakumbuki Jana!
!
It's unfortunately kuwa, wafuasi wachache wajinga na wapuuzi wa Kiislam wameibeba hii ajenda na kuifanyia kazi. Na bahati mbaya kuwa, baadhi ni viongozi wakubwa ndani ya serikali na kwa sbb hiyo maamuzi yao ya kiutendaji ya kila siku yanachukua mwelekeo huohuo wa kutetea dini yao ya uislamu na Rais Samia anaona na kamwe hakemei na hafanyi lolote!
Lakini TEC walipotoa ushauri juu ya utawala wake, wa kwanza kujishitukia kuwa wamemkosoa kwa sbb ya dini na uislamu wake ni yeye mwenyewe Samia tena kwa kulalamika kupitia hotuba rasmi na ya wazi mbele ya camera za TV!
Kuona hivi, wafuasi wachache wa DINI ya Kiislam wakalibeba na kulikuza kupitia vyombo vya habari kumpigania Rais mwislamu mwenzao
Fuatilia matamko ya waislamu kupitia taasisi zao kama BAKWATA nk ni udini mtupu, hawana hoja yoyote
Hata mauaji ya kimbari ya MO29 na siku zilizofuata na kuendelea, kujifanya uchunguzi ndani yake hutakosa sababu ya msukumo wa kidini!
Tuache taboo hii ya kijinga kukwepa kuujadili ukweli. Tatizo la udini lipo na tusipo acknowledge kuwa Kuna tatizo hilo basi hatutapata Suluhu!
We have a religious problem here in Tanganyika. It won't help anything if keep denying this truth!!