Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Hili sio liccm limekuja kuleta udini?
Udini ameleta Samuya wenu huyo Kwasabu yeye amezaliwa kwenye Udini, tokea amezaliwa mpaka amemaliza shule hajawahi kusoma au kuishi na majirani au rafiki wa Dini tofauti na yake, Ni mbaya Kiongozi wa nchi hujawahi kuishi na jamii tofauti na yako.
 
Nimekuuliza masheikh hawakumsema Nchimbi wewe unauliza masheikh wamemuua nani? Una akili kweli wewe?

Ushabiki maandazi ni upi?

Jibu hapa masheikh hawakumsema Emmanuel Nchimbi na kumuhusisha na TEC? Nani aliwatuma? Kwa nini tangu waseme hawajachukuliwa hatua?

Jenista Muhagama alikuwa wapi? Kaumwa nini na lini?
Kumsema ndio kumuua??

Mimi ni Catholic, wataniua lini?
 
Kina nani wamehama kwenye mada yao? Kwamba hairuhusiwi kujadili mambo mengine kwakuwa lipo jambo la msingi linafanyi

Udini ameleta Samuya wenu huyo Kwasabu yeye amezaliwa kwenye Udini, tokea amezaliwa mpaka amemaliza shule hajawahi kusoma au kuishi na majirani au rafiki wa Dini tofauti na yake, Ni mbaya Kiongozi wa nchi hujawahi kuishi na jamii tofaut

Udini ameleta Samuya wenu huyo Kwasabu yeye amezaliwa kwenye Udini, tokea amezaliwa mpaka amemaliza shule hajawahi kusoma au kuishi na majirani au rafiki wa Dini tofauti na yake, Ni mbaya Kiongozi wa nchi hujawahi kuishi na jamii tofauti na yako.
Hajazaliwa kwenye dini Sina uhakika kama anaijua dini sawa sawa na Sina hakika kama ana hofu ya mungu,Hilo shungi tu ameanza kuvaa baada ya kuwa kiongozi wa juu hata yeye amewahi kuthibitisha Hilo,kwa Hy kama ana madhaifu yake na dini nyingine huo ni utashi wake yeye sio uislam unavyoelekeza
 
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya

Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.

Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?

Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea Tanzania jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.

Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.

Ushirika wa wachawi haudumu.
Nimekuwa nikisema mara kadhaa kuwa kile kinachojulikana kuwa Genge la Wahuni ndani ya ccm kiukweli ni Muslim Brotherhood; Lowassa hakusitukia na wala Membe hakusitukia. Muslim Brotherhood agenda yao kubwa ni islamists kumiliki hatamu za utawala na wala hawako interested na kumfikisha muislam average. Marekani amelizungumza hilo kwani wanaijua vizuri agenda ya siri ya Muslim Brotherhood. Hawa Muslim Brotherhood wameingiza agenda ya political islam kwenye uislam. Na ndicho pia kinaitafuna Nigeria. Saudi Arabia hapo nyumba waliwasapoti MB hadi walipokuja ng'amua kuwa si tu nitishio kwa Secular Government's za Non-Islamic countries bali pia ni tishio kwa Ufalme wa Saudi Arabia. Wakaamua kuwapiga marufuku.
 
Huu upuuzi wenu wa udini mngeachana nao kwanza ni ushamba kama uko kwenye siasa komaa na siasa ila kueneza chuki za kidini ni upumbavu wa kiwango cha juu mno,kama mtawala anafanya vibaya ni yeye na sio dini yake mpopoe uwezavyo,usituchonganishe kitaa na Imani zako za kijinga
Yanayoendelea hayahitaji binucolar kuyaona, wanauleta udini ni hao hao wanaowinda watu. Huo ndo ukweli hata usiposemwa utajionyesha tu
 
Weka ushahidi wa hili, vinginevyo wewe hupaswi kuwa humu kwani si timamu kiakili.
Wewe uliye timamu kiakili fanya kazi ndogo tu ya kutafuta ukweli wa hiyo habari. Vita yake yote ya kuipinga serikali ya SSH chanzo chake ni mtazamo wa kiupinzani.

Anawakwaza baadhi ya wakatoliki ambao hawamkubali kwa namna yoyote ile Lissu.
 
Acha propaganda. Lkn kama kweli basi naikumbuka ile nyimbo, " aliejuu msubiri chini atashuka tu". Leo wakatoliki ndio wa kuombewa huruma humu jf? Nguvu zao tulioambiwa wanazo zimeendoka na upepo wa hidaya?
Kuna propaganda ipi hapo? Maneno yako tu yanaonesha kuwa wewe ni sehemu ya watu wa Samia mliotumwa kuwashughulikia wakristo na wakatoliki nchini.
 
Wewe uliye timamu kiakili fanya kazi ndogo tu ya kutafuta ukweli wa hiyo habari. Vita yake yote ya kuipinga serikali ya SSH chanzo chake ni mtazamo wa kiupinzani.

Anawakwaza baadhi ya wakatoliki ambao hawamkubali kwa namna yoyote ile Lissu.
Umeambiwa weka ushahidi unaendelea kupiga maneno tu. Acha kuleta jangwa. Weka ushahidi.
 
Nimekuwa nikisema mara kadhaa kuwa kile kinachojulikana kuwa Genge la Wahuni ndani ya ccm kiukweli ni Muslim Brotherhood; Lowassa hakusitukia na wala Membe hakusitukia. Muslim Brotherhood agenda yao kubwa ni islamists kumiliki hatamu za utawala na wala hawako interested na kumfikisha muislam average. Marekani amelizungumza hilo kwani wanaijua vizuri agenda ya siri ya Muslim Brotherhood. Hawa Muslim Brotherhood wameingiza agenda ya political islam kwenye uislam. Na ndicho pia kinaitafuna Nigeria. Saudi Arabia hapo nyumba waliwasapoti MB hadi walipokuja ng'amua kuwa si tu nitishio kwa Secular Government's za Non-Islamic countries bali pia ni tishio kwa Ufalme wa Saudi Arabia. Wakaamua kuwapiga marufuku.
Tulichelewa sana kuwajua kwa kweli.

Uzuri wamejianika vizuri sana na sasa wameonekana ndani na nje ya nchi.
 
Wewe uliye timamu kiakili fanya kazi ndogo tu ya kutafuta ukweli wa hiyo habari. Vita yake yote ya kuipinga serikali ya SSH chanzo chake ni mtazamo wa kiupinzani.

Anawakwaza baadhi ya wakatoliki ambao hawamkubali kwa namna yoyote ile Lissu.
Nimekuomba uweke uthibitisho wa umeneja wa kampeni tu, hayo ya bla bla yatokanayo na uelewa finyu mimi siyahitaji.
 
Udini ameleta Samuya wenu huyo Kwasabu yeye amezaliwa kwenye Udini, tokea amezaliwa mpaka amemaliza shule hajawahi kusoma au kuishi na majirani au rafiki wa Dini tofauti na yake, Ni mbaya Kiongozi wa nchi hujawahi kuishi na jamii tofauti na yako.
Samia kalelewa ndani ya CCM kajifunza na anajua kuishi na jamii ya watu ambayo haina uhusiano na uislam wake.

Agenda ya maandamano inakufa kifo cha kawaida sasa mnakuja na ujinga wa uislam wa Samia. JPM alijaza wasukuma kwenye halmashauri zote hakuna mtu aliyehangaika na ukweli huo.

Acheni huo udini huku mkijifanya mnaupiga vita udini.
 
Acha uchochezi ,usije kusema umetekwa .
1000219254.png
 
D
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya

Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.

Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?

Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea Tanzania jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.

Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.

Ushirika wa wachawi haudumu.
Duuh Rayns
 
Back
Top Bottom