Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Propaganda za udini nitazikataa hadi hatua yangu ya mwisho, haijalishi zitatoka kwa Sheikh wangu au Padre au nabii, nitazikataa!

Nawasihi wana JF na watanzania wote kuzikataa propaganda hizi hata zikitoka kwa viongozi wao wanaowaamini.

Kwa wanasiasa hakuna uislamu wala ukristo, ukiona wamejishika huko kwenye dini ni kwa maslahi yao ya kisiasa tu.


​
Anayeleta propaganda na udini ili kutugawa Watanganyika ni Samia.

Sisi Watanganyika hatuna udini wowote ule.
 
Propaganda za udini nitazikataa hadi hatua yangu ya mwisho, haijalishi zitatoka kwa Sheikh wangu au Padre au nabii, nitazikataa!

Nawasihi wana JF na watanzania wote kuzikataa propaganda hizi hata zikitoka kwa viongozi wao wanaowaamini.

Kwa wanasiasa hakuna uislamu wala ukristo, ukiona wamejishika huko kwenye dini ni kwa maslahi yao ya kisiasa tu.


​
Tuliwaonya kipindi kile masheikh ccm mkacheka Sasa hivi ndo mnakumbika shuka kumekicha?
 
WEWE NI MUUAJI, KATIKI, MNAFIKK, MFITINISJAJI, MWENYE CHUKI YA KUZALIWA NAYO, MLAGHAI, NA MENGI MENGINEYO.
WEWE HUENDI MBINGINI ABADANI HADİ UTUBU KWELI KWELI.
SIJAWAJI KUKUTANA NA KIUMBE MBAYA SANA DUNIANI KAMA WEWE,
MNYAMA MKALI ANAEOGOPEWA AMEKUWA BORA KULIKO WEWE.
HIVI WEWE UNA FAMILIA? Hili NINA SHAKA NALO.
HAIWEZEKANI KUKAA NA WEWE BINAADAMU YOYOTE KWENYE HII DUNIA.
Looo
KAZI YAKO NI TAHARUKI TUU WAKATI WOWOTE, KUWATIA WATU WASIWASI.
KIFO CHAKO KITAKUWA KIBAYA SANA USIPOTUBU.
UMEWAULISHA MAMIA YA WATU, UMEWATIA UGONJWA WA MAISHA, UMEWATIA HASARA ISIYOTARAJIWA, UMEWASABABISHIA UYATIMA WATOTO, UKUWA KWA WAPENDANAO, UMESABABISHA HALI YA SINTOFAHAMU TANZANIA NZIMA,
KWA QAULI ZAKO HIZO ZA KICHONGANISHI.
SASA UMEKUJA KATIKA VITA VYA KIDINI.
MUNGU AKUANGAMIZE KABLA YA WEWE KULIANGAMIZA TAIFA.
Amiyn
Hakuna Yuko sahihi kwani ni uongoze masheikh waliongelea ndani kaka si hadharani na Kila mtu aliona, mama kadai tec walitoka walaka nane hukusikia?
 
Weka uthibitisho kuwa its very low and stupid?

Masheikh hawakumsema Nchimbi na kumuhusisha na TEC?

Mwambe hajatekwa na kufichwa?

Marekani hajasema kuna persecution ya Wakristo Tanzania?
Masheikh wameua nani?

Jenister amefariki kwasababu gani?

Punguza ushabiki mandazi… sometimes muwe reasonable in hating

Inakua ngumu Mtu kukuchukulia serious if you become this fanatic
 
Masheikh wameua nani?

Jenister amefariki kwasababu gani?

Punguza ushabiki mandazi… sometimes muwe reasonable in hating

Inakua nguku Mtu kukuchukulia serious if you become this fanatic
Nimekuuliza masheikh hawakumsema Nchimbi wewe unauliza masheikh wamemuua nani? Una akili kweli wewe?

Ushabiki maandazi ni upi?

Jibu hapa masheikh hawakumsema Emmanuel Nchimbi na kumuhusisha na TEC? Nani aliwatuma? Kwa nini tangu waseme hawajachukuliwa hatua?

Jenista Muhagama alikuwa wapi? Kaumwa nini na lini?
 
Father Kitima ni campaign manager wa Lissu mwaka 2020, Samia alikuwa na haki ya kumshambulia kwani alichangia kuweka upinzani kwenye suala la DP World mwaka juzi akiwa hana uelewa wa kipi kinachokwenda kufanyika.

Father Kitima alisambaza barua ya chuki makanisani akiita waraka, aliongelea mikataba huku akiandika habari za kupotosha umma, mkataba ulivyoweka wazi na ufafanuzi ukatolewa hadharani ikiwa aibu ya Father Kitima.

Juzi ameita press akijua kesho yake Rais anakwenda kuongea na umma, kimaadili yale ni makosa ni ukosefu wa heshima kwa mkuu wa nchi. Father Kitima pia ameongea kwa kutumia maneno yanayohamasisha vijana waingie mitaani kumbuka huyu ni mtu wa karibu wa Lissu kwa miaka mitano.

Samia amekwazwa na Father Kitima kwa muda mrefu alikuwa na haki ya kumkumbusha anachokifanya hakina afya kwa mustakabali wa muda mrefu wa TZ.

Samia kaamua kupita njia ile ile ya hayati JPM bila ya kuangalia wala kusikiliza mtu mmoja mmoja. Unataka kuniambia Father Kitima angeweza kuyatenda haya ingekuwa Rais ni hayati JPM?.

Natambua ukweli kwamba aliwahi kushambuliwa na watu pale Kurasini.
Huyo kitima hamkutaka kumuua ? Nyie wenyewe
 
Iko wazi tangu taifa hili lizaliwa hakuna kipindi ambacho taifa limewahi kupasuka kidini kama kipindi hiki, kwanzia serikalini mpaka mitaani kuna mbegu mbaya sana inamea.

Yote haya kayaleta huyu mzanzibari hili tu aweze kutawala kwa nguvu licha ya watu kumkataa.
 
Iko wazi tangu taifa hili lizaliwa hakuna kipindi ambacho taifa limewahi kupasuka kidini kama kipindi hiki, kwanzia serikalini mpaka mitaani kuna mbegu mbaya sana inamea.

Yote haya kayaleta huyu mzanzibari hili tu aweze kutawala kwa nguvu licha ya watu kumkataa.
Muhusika mkuu ni Samia Suluhu Hassan. Kibibi mwenye chuki na Watanganyika na wakristo
 
Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya


Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi.

Leo Jenista Muhagama. Waziri Mstaafu na Waziri Mwandamizi wa siku nyingi. Mkatoliki na moja ya Washirika Wakuu wa Emmanuel Nchimbi amefariki kifo cha utata kisichoelezeka. Haijulikani pia siku za hivi karibuni alikuwa wapi?

Kaeni chonjo. Hadi Marekani kasema kuna persecution na wakristo inaendelea Tanzania jueni kuna mambo ana ushahidi nayo yanaendelea.

Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu lazima akumalize.

Ushirika wa wachawi haudumu.
Acha propaganda. Lkn kama kweli basi naikumbuka ile nyimbo, " aliejuu msubiri chini atashuka tu". Leo wakatoliki ndio wa kuombewa huruma humu jf? Nguvu zao tulioambiwa wanazo zimeendoka na upepo wa hidaya?
 
Muhusika mkuu ni Samia Suluhu Hassan. Kibibi mwenye chuki na Watanganyika na wakristo
Samia hana chuki nyinyi vijana ndio mmejawa na chuki. Ukiishi humu mijini huwezi kuona anayoyafanya tembea huko mikoani uone mengi yanayoendelea.

Mnaitengeneza roho fulani mbaya sana kwa sababu mnajidanganya hizi movement zinaweza kumtoa ikulu, ni upumbavu na utoto hakuna anayeweza kumtoa Rais ambaye JWTZ wameapa hadharani kumlinda muda wote.

Anayeweza kumtoa SSH ni Mungu kwa maamuzi yake ambayo binadamu hawezi kuyapinga kwa namna yoyote ile.

Unaweza kuweka ushahidi wa wazi kwamba wale mashekhe walitumwa na Samia kumsema Nchimbi?. Ushahidi wenye kuweza kutumika mahakamani sio umbea wa instagram au whatsapp.

Vijana mnajitwisha dhambi nzito bila ya kujua madhara yake.
 
Back
Top Bottom