Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

Kamuulize yeye. Muulize pia kwa nini kwenye hotuba yake aliwasema maaskofu tu na kuwakebehi kwa kiburi wakati waliotoa matamko kwenye utawala wake ni pamoja na shura ya maimamu?
Kwani yeye ndio alieleta hii mada hapa jukwaani?

Jibu maswali acha porojo Samia ni kiongozi wa dini gani?
 
Kamuulize yeye?

Alagu wapi imeandikwa Samia ni kiongozi wa dini? Au umechanganyikiwa?
Nakuuliza wewe kwakuwa ndio umeleta mada hapa jukwaani

Sasa kumbe Samia sio kiongozi wa dini hapo dini inahusikaje? Na hili ndio lilikuwa swali la kwanza kwako

Mambo za siasa dini inaingiaje?
 
Kamuulize yeye?

Alagu wapi imeandikwa Samia ni kiongozi wa dini? Au umechanganyikiwa?
Hii ajenda umeikomalia sana lakini haina ukweli ndani yake zaidi ya dhana na kuunganisha matukio. Unaweza ukawa unafanya hivyo kwa kufanikisha nia yako inaweza kuwa mbaya au nzuri, wewe mwenyewe unajua. Tanzania kuongozwa na Viongozi wa dini tofauti ni utaratibu wa kawaida, na watanzania wamekuwa wakivumiliana katika hilo toka Uhuru wa Tanganyika na Muungano uliopelekea Tanzania, na hili limewezekana kutokana na muingiliano uliopo kuanzia kwenye familia, Koo, Jamii mpaka wengine wamefikia kuoana wakiwa dini tofauti. Angalizo tuna uhuru wa kutoa maoni lakini tunapaswa kutathmini maoni tunayoyatoa kama msingi wake ni kujenga au kubomoa📍
 
Hii ajenda umeikomalia sana lakini haina ukweli ndani yake zaidi ya dhana na kuunganisha matukio. Unaweza ukawa unafanya hivyo kwa kufanikisha nia yako inaweza kuwa mbaya au nzuri, wewe mwenyewe unajua. Tanzania kuongozwa na Viongozi wa dini tofauti ni utaratibu wa kawaida, na watanzania wamekuwa wakivumiliana katika hilo toka Uhuru wa Tanganyika na Muungano uliopelekea Tanzania, na hili limewezekana kutokana na muingiliano uliopo kuanzia kwenye familia, Koo, Jamii mpaka wengine wamefikia kuoana wakiwa dini tofauti. Angalizo tuna uhuru wa kutoa maoni lakini tunapaswa kutathmini maoni tunayoyatoa kama msingi wake ni kujenga au kubomoa📍
Punguza maelezo mengi. Unamaliza miti na kuleta jangwa tu.

Hoja ni moja tu. Samia anaendesha vita ya kidini ndani ya CCM. Anawashughulikia wakristo hasa wakatoliki na walio karibu na Emmanuel Nchimbi.
 
Baada ya kuusoma huu uzi ndugu zangu Waislam bado hamuoni kuwa msukumo wa kuipinga Serikali ya Samia ni wa udini?


Mama Samia anapigwa vita kwa sababu ni Muislam.
 
Huwa ninakukubali sana kwa mambo mengi, ila hili la udini HAPANA mkuu.

Kama wanauana ni haohao wala haramu bila kuangalia dini
Huku kitaa hayatuhusu. CHRISLAM kama kawa.


Hakuna cha chrislam.


Dini yetu ya Uislam itabaki kuwa Uislam. Uislam na ukafiri havitochanganyika abadan.
 
Nisahihi kabisa watu wengi limeshaanza kututisha na anaonekana yuko serious na hili swala

Kibaya zaidi, kuna hawa maustadhi uchwara wasiokuwa na mbele wala nyuma (baadhi na nieleweke ni kwasababu ya wanayoyafanya) wamekomaa huku mitaani wanawalisha sumu ya udini wale wakinamama wanaojifunza koroani na watoto wadogo

Wale wakinamama wa mtàani wanaovaa madude meusi juu hadi chini wanajifunika hadi usono, mkononi na miguuni wanavaa soksi, wale wanaojifunzi kusoma kiarabu kwenye vijumba jumba vya maustadhi mitaani wanalishwa sumu za udini hadi inaogopesha

Kikwete aliweza kuepuka huu mtego japo ni mtu wa pwani ambako uislamu ulienea sana na mapema zaidi kuliko ukristo kwasababu ya tabia za sisi watu wa bara kutozingatia sana tofauti za kidini

Huku bara ni tofauti kabisa na Zanzibar! Waislam wa huku bara wanauwezo wa kuoana na wakristo lakini si kwa Wazanzibar. Wale neno kafir ndio wanalijua zaidi! Sasa ukutane na mtu mwenye elimu mbalimbali ndio inakuwa zaidi

Watu ambao wamepata nafasi ya kusoma zaidi angalau wamepata bahati ya kuujua ulimwengu na tamaduni za watu mbalimbali hivyo kuna namna wanajenga heshima kwa jamii nyingine

Huyu Samuya vyote hivyo hana halafu mbaya zaidi washauri wake inaonekana ni wale wa elimu mbalimbali ambao kwao wanaamini ndugu ni Mwisilam mwenzao wengine wote ni Makafiri! Huu ni msiba kwasababu bado wana kile kinyongo cha kihistoria kutoka enzi za Nyerere na kumbukeni kwao KISASI NI IBADA

Amefikia hatua ya kuonyesha chuki zake waziwazi hazifichiki tena! Kwa mfano, wakati anaongea na wale aliowaita wazee alitamka kwamba "...kama humpendi mtu sababu ya dini yake...au eneo analotoka mvumilie tu!..." hii si kauli ya kiongozi anayetakiwa kuunganisha watu wake. Hizi kauli ni za kuwagawa watu


Wewe mwenyewe una chuki na Uislam na Waislam na unaificha nyuma ya kuwachukia wazanzibari. Unajifanya kuificha chuki yako eti kwa kujifanya unasema sisi Waislam wa bara sijui hatuzingatii tofauti za udini sijui tumeoa kwa kuchanganya ili kutupoza tusigundue chuki zenu. Kwani huku bara hamuwachukii Waislam? Hamuwapigi vita baadhi yenu?

Hapo yenyewe kwa jinsi chuki ilivyokujaa umeshindwa hata kuandika neno Qur-aan vizuri, umeiandika kwa dharau sana na kwa umri wako wewe sio kwamba huwezi hata kuandika neno Quran, lakini kwa ile chuki kali uliyonayo moyoni unaona hata kuiandika tu vizuri ni kama utaipa Heshima.

Unawashambulia mama zetu Waislam wanaovaa Hijaab ya Kishari'ah kwa kuziita "madude meusi" na kuwaongelea kwa dharau hapo hapo unawasemea watu wote wa bara ikiwemo wewe kuwa eti hamuendekezi udini. Wewe ni mdini mkubwa na huku bara kuna udini mkubwa mnaouficha katika upendo wa kinafki.

Huyo Kikwete unayejifanya kumsifia yenyewe tunajua bado mnamchukia kwa Dini yake na ndio maana baadhi yenu mpaka leo wanamzushia uongo.

Mnajifanya kuwashambulia ndugu zetu Waislam wa Zanzibar ili chuki yenu isigundulike kwa haraka, ila kila mnapouzingumzia Uislam na Waislam kwa ujumla hamuwezi kuficha chuki zenu dhidi yao na Dini yao.

Mtawazungumzia kwa chuki, dharau ya hali ya juu na wakati mwengine kwa husda. Halafu mtajifanya kwa kujificha kwenye undugu bandia na upendo wa kuigiza, mkijifanya kuwa chuki yenu ni kwa kikundi fulani tu, ila mnawachukia Waislam wote na Dini yao.
 
Tutakuja jua tukiwa tumechelewa sana

Allah Atuzindue sisi na Ndugu zetu na Auunganishe Ummah katika Tawheed na Sunnah, Allahumma Aamiin. Tunamuomba Allah Atufishe katika Tawheed na Sunnah, Allahumma Aamiin.

Nasikitika sana baadhi ya Waislam wamechotwa na hii fitna. Tunamuomba Allah Afya na Salama katika Dini yetu na Dunia yetu, Allahumma Aamiin.
 
Mleta uzi ni katika watu waliokuwa wachochezi wakubwa humu ndani wa kuiharibu Amani ya nchi, tena waziwazi. Akichochea vitu vya hatari kabisa. Vurugu zilipotokea wakafa watu wengi ikiwemo ndugu zetu Waislam wengi tu (wenye hatia na wasio na hatia). Lau wale ndugu zetu Waislam walioshiriki hizi vurugu na wakafa ndani yake wangejua agenda walizonazo hawa wenye chuki dhidi ya Dini yao! Na wakawachochea vurugu! Dahh! Tunamuomba Allah Afya na Salama.
 
Weka clip yake hapa

Clip ya Pastor Kabigumila akichochea watu wachome nyumba za polisi, wachome petrol stations za Lake Oil (Muislam), wachome mabasi ya mwendokasi ya Mofat. Maneno aliyoyasema Oct 25 (siku nne kabla ya Oct 29) mbona imesambaa sana tu! Ipo mpaka YouTube kama hawajaitoa.
 
Baada ya kuusoma huu uzi ndugu zangu Waislam bado hamuoni kuwa msukumo wa kuipinga Serikali ya Samia ni wa udini?


Mama Samia anapigwa vita kwa sababu ni Muislam.
Mbona tunajua,hatudharau kauli ya yule askofu aliyesema TEC walihifadhi waandamanaji kanisani
 
Baada ya kuusoma huu uzi ndugu zangu Waislam bado hamuoni kuwa msukumo wa kuipinga Serikali ya Samia ni wa udini?


Mama Samia anapigwa vita kwa sababu ni Muislam.
Samia hachukiwi na yeyote. Yeye ndo anataka kutawala watu kwa udini na kuwaua wanaomkosoa
 
Back
Top Bottom