Kwani yeye ndio alieleta hii mada hapa jukwaani?Kamuulize yeye. Muulize pia kwa nini kwenye hotuba yake aliwasema maaskofu tu na kuwakebehi kwa kiburi wakati waliotoa matamko kwenye utawala wake ni pamoja na shura ya maimamu?
Nikujibu nini zaidi ya hayo?Kwani yeye ndio alieleta hii mada hapa jukwaani?
Jibu maswali acha porojo Samia ni kiongozi wa dini gani?
Bado hujajibu, Samia ni kiongozi wa dini gani?Nikujibu nini zaidi ya hayo?
Kamuulize yeye?Bado hujajibu, Samia ni kiongozi wa dini gani?
Nakuuliza wewe kwakuwa ndio umeleta mada hapa jukwaaniKamuulize yeye?
Alagu wapi imeandikwa Samia ni kiongozi wa dini? Au umechanganyikiwa?
Hii ajenda umeikomalia sana lakini haina ukweli ndani yake zaidi ya dhana na kuunganisha matukio. Unaweza ukawa unafanya hivyo kwa kufanikisha nia yako inaweza kuwa mbaya au nzuri, wewe mwenyewe unajua. Tanzania kuongozwa na Viongozi wa dini tofauti ni utaratibu wa kawaida, na watanzania wamekuwa wakivumiliana katika hilo toka Uhuru wa Tanganyika na Muungano uliopelekea Tanzania, na hili limewezekana kutokana na muingiliano uliopo kuanzia kwenye familia, Koo, Jamii mpaka wengine wamefikia kuoana wakiwa dini tofauti. Angalizo tuna uhuru wa kutoa maoni lakini tunapaswa kutathmini maoni tunayoyatoa kama msingi wake ni kujenga au kubomoa📍Kamuulize yeye?
Alagu wapi imeandikwa Samia ni kiongozi wa dini? Au umechanganyikiwa?
Na Mwambe imebidi polisi leo watoe statement ingawa bado hawajasema kosa.Nchimbi si alionekana jana msibani
Punguza maelezo mengi. Unamaliza miti na kuleta jangwa tu.Hii ajenda umeikomalia sana lakini haina ukweli ndani yake zaidi ya dhana na kuunganisha matukio. Unaweza ukawa unafanya hivyo kwa kufanikisha nia yako inaweza kuwa mbaya au nzuri, wewe mwenyewe unajua. Tanzania kuongozwa na Viongozi wa dini tofauti ni utaratibu wa kawaida, na watanzania wamekuwa wakivumiliana katika hilo toka Uhuru wa Tanganyika na Muungano uliopelekea Tanzania, na hili limewezekana kutokana na muingiliano uliopo kuanzia kwenye familia, Koo, Jamii mpaka wengine wamefikia kuoana wakiwa dini tofauti. Angalizo tuna uhuru wa kutoa maoni lakini tunapaswa kutathmini maoni tunayoyatoa kama msingi wake ni kujenga au kubomoa📍
Huwa ninakukubali sana kwa mambo mengi, ila hili la udini HAPANA mkuu.
Kama wanauana ni haohao wala haramu bila kuangalia dini
Huku kitaa hayatuhusu. CHRISLAM kama kawa.
Tutakuja jua tukiwa tumechelewa sanaBaada ya kuusoma huu uzi ndugu zangu Waislam bado hamuoni kuwa msukumo wa kuipinga Serikali ya Samia ni wa udini?
Mama Samia anapigwa vita kwa sababu ni Muislam.
Nisahihi kabisa watu wengi limeshaanza kututisha na anaonekana yuko serious na hili swala
Kibaya zaidi, kuna hawa maustadhi uchwara wasiokuwa na mbele wala nyuma (baadhi na nieleweke ni kwasababu ya wanayoyafanya) wamekomaa huku mitaani wanawalisha sumu ya udini wale wakinamama wanaojifunza koroani na watoto wadogo
Wale wakinamama wa mtàani wanaovaa madude meusi juu hadi chini wanajifunika hadi usono, mkononi na miguuni wanavaa soksi, wale wanaojifunzi kusoma kiarabu kwenye vijumba jumba vya maustadhi mitaani wanalishwa sumu za udini hadi inaogopesha
Kikwete aliweza kuepuka huu mtego japo ni mtu wa pwani ambako uislamu ulienea sana na mapema zaidi kuliko ukristo kwasababu ya tabia za sisi watu wa bara kutozingatia sana tofauti za kidini
Huku bara ni tofauti kabisa na Zanzibar! Waislam wa huku bara wanauwezo wa kuoana na wakristo lakini si kwa Wazanzibar. Wale neno kafir ndio wanalijua zaidi! Sasa ukutane na mtu mwenye elimu mbalimbali ndio inakuwa zaidi
Watu ambao wamepata nafasi ya kusoma zaidi angalau wamepata bahati ya kuujua ulimwengu na tamaduni za watu mbalimbali hivyo kuna namna wanajenga heshima kwa jamii nyingine
Huyu Samuya vyote hivyo hana halafu mbaya zaidi washauri wake inaonekana ni wale wa elimu mbalimbali ambao kwao wanaamini ndugu ni Mwisilam mwenzao wengine wote ni Makafiri! Huu ni msiba kwasababu bado wana kile kinyongo cha kihistoria kutoka enzi za Nyerere na kumbukeni kwao KISASI NI IBADA
Amefikia hatua ya kuonyesha chuki zake waziwazi hazifichiki tena! Kwa mfano, wakati anaongea na wale aliowaita wazee alitamka kwamba "...kama humpendi mtu sababu ya dini yake...au eneo analotoka mvumilie tu!..." hii si kauli ya kiongozi anayetakiwa kuunganisha watu wake. Hizi kauli ni za kuwagawa watu
Tutakuja jua tukiwa tumechelewa sana
He! Mmeanza kutengeneza na team tena, mtamponza bure mzee wa watu.Kama unajijua ni Mkristo, Mkatoliki na Team Nchimbi kaa chonjo tu. Vinginevyo lazima akumalize
Weka clip yake hapa
Mbona tunajua,hatudharau kauli ya yule askofu aliyesema TEC walihifadhi waandamanaji kanisaniBaada ya kuusoma huu uzi ndugu zangu Waislam bado hamuoni kuwa msukumo wa kuipinga Serikali ya Samia ni wa udini?
Mama Samia anapigwa vita kwa sababu ni Muislam.
Samia hachukiwi na yeyote. Yeye ndo anataka kutawala watu kwa udini na kuwaua wanaomkosoaBaada ya kuusoma huu uzi ndugu zangu Waislam bado hamuoni kuwa msukumo wa kuipinga Serikali ya Samia ni wa udini?
Mama Samia anapigwa vita kwa sababu ni Muislam.
Tupe uthibitishoMbona tunajua,hatudharau kauli ya yule askofu aliyesema TEC walihifadhi waandamanaji kanisani