Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?
Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?
Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.
Mambo ya udini ni upumbavu sana
Huyo mzee ulimtag kwa jina la Mohamed said ni tapel na anatafutwa na polisi
TUACHE UDINI.
Kumbe uislam unaruhusu kuteka na kuua raia? kama ndivyo basi wacha apingwe kwa nguvu zote, hafai ni muuaji, nansijawahi kusikia wanao mpinga wakiitaja dini ila huwa nasikia wakikemea utekaji na uuaji, baada ya kushindwa kujibu na kuitetea hoja ya utekaji na uuaji ndio mme buni mbinu ya udini nguruwe kabisa nyie waislam.Baada kuona Mada mbayaaa
kwenu 👈
Endeleeni kumpinga Rais kisa Muislamu tutafika safari
muda si mrefu 👈
Wewe mbung'o wa malale sio unang'ong'a ng'ong'a kama nzi mavi wa chooniVitu vingine havihitaji hata maelezo.
Nakuwekea picha ya Masister wakimsindikiza JUKANYE.
Christopher Kasanga Tumbo alikuwa muislamu?Hakuna mchango wowote walioleta kwenye kudai uhuru
Hao ndio kwanza walikuwa wanataka wakoloni waendelee ili wazidi kupata misaada
Na kuna ushahidi kadhaa wa kuuza nyaraka kwa wazungu wakati vyama vya wafanyakazi vilipokuwa vinapanga migomo katika harakati za kudai uhuru
Anajua historia ya Kariakoo.Huyu ni mzee mwenye kuijua sana Historia ya Tanganyika, bila shaka atakuwa anafahamu kwa kina mchango wa Kanisa ila labda hajautilia maanani, ni wakati umefika sasa aonyeshwe.
***** bwabwa sio lazima tukujue malizana na mabasha zako hukohukoKwahiyo ndo mnajitambulishaga kwa namna hii ufanyayo makebo lakin pia nazan utakuwa na makebo makubwa sana
Mimi sio muumini wa kukosoa mtu kwasababu ya dini yake au jinsia yake angalia nyuzi zanguLeo iyooo baada kumpinga Rais kwasababu za Dini yake👈
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
Hao ni baadhi ya makafiri heavyweights kwenye uhuru wa Tanganyika. Ni kwa sababu uhuru ulipiganiwa mji mkuu wenye bandari, airport, makao makuu ya serikali ya kikoloni na all major means of production, businesses and service provision. Ndio maana majina ya Sunna yanasomeka kwa wingi.
Ukanda wa Pwani wakazi wengi miaka hiyo ni Waislamu wa makabila kama hawa Wazaramo kabla hawajaanza kuuza ardhi kutoka Msasani peninsula na Oysterbay huku wakikimbilia Mpiji Magohe. Na wanunuaji wengi walikuwa ni wamsalabani, maana hawakuwa na ardhi ya kurithi Pwani. Ndipo mchanganyiko wa imani ukawa mkubwa.