TANU kingekuwa chama cha waislamu au wakristu peke yao kisingeweza kufanikiwa. Kuanzia TAA, watu wa dini zote walishirikiana. Kabla ya Nyerere alikuwepo Dr. Vedasto Kyaruzi. Vijana wa kiislamu wa wakati ule walishirikiana na vijana wenzao wakikristu kwa sababu lengo lao lilikuwa moja. Mtu kama Nyerere alikuwa kiungo cha vijana wasomi wenzake kutoka Ghana, Kenya, Nyasaland n.k. ambao lengo lao lilikuwa kumuondoa Mkoloni. Huu upuuzi wa udini sio wa zamani sana...Uhuru ulipiganiwa sehemu mbalimbali za Tanganyika, sio D'salaam peke yake.
..kuna wakati 2/3 [ theluthi mbili ] ya fedha za kuendesha chama cha Tanu ilikuwa inatoka KANDA YA ZIWA. Hizi habari ni kwa mujibu ya mwanahistoria John Illife.
..Historia ya kudai Uhuru inapaswa kuwekwa wazi zaidi.
..Kitendo cha kuifuta TANGANYIKA ktk muungano, kimepelekea pia kuifuta historia yake kila mahali.
Upi mchango wa Wakristo na Kanisa katika kuutafuta uhuru wa Tanganyika?
Wakristo wa Tanganyika na Kanisa walifanya jitahada gani muhimu kuwandosha Wakaloni Tanganyika?
Mzee Mohamed Said amekuwa akijionyesha kuijua sana historia ya uhuru wa Tanganyika ila historia yake kwa kiasi kikubwa kama sio yote imekuwa ikiegemea zaidi kwa Waislamu, sasa tunahitaji Historia ya Wakristo pia.
Tutaendelea kuwaenzi na kuwapa heshima zao wazee wetu waliopigania Uhuru wa waafrika, yaani watu weusi.
Uhuru haukuwa kwa waarabu, wahindi au wazungu waliokuwepo nchini mwetu enzi hizo.
Bila kujali dini, ni lazima tuendelelee kulinda na kupigania uhuru huohuo wa mwafrika ambaye pia ni mtanzania.
Changamoto kubwa iliyopo ni kurudisha njia kuu za uchumi kwa wageni na hivyo kujirudisha utumwani.
Hakuna Uhuru kama uchumi wa nchi unashikiliwa na wageni.
Lazima tudumishe Uhuru kwa kumiliki uchumi wa nchi yetu wenyewe. Tuwatumie wageni kwa faida yetu, na wala siyo kwa faida yao.
Mzee mzima unajibu kama mtoto wa elfu mbili ,hujui lolote kuhusu harakati za kudai uhuru.Gentleman,
baadhi ya wapigania uhuru wa taifa letu, walihifadhiwa na hatimae kufadhiliiwa kwa hali na mali kwenye makanisa ya kikristo, ili kukwepa mkono wa wakoloni waliokua wakiwasaka kwa udi na uvumba ili kuzima jitihada zao za ukombozi.
Baadhi yao ilifikia mahali wakavishwa hadi mavazi ya kikuhani ili waonekane nao ni viongozi wa kanisa, lakini wengine pia walipewa hata pasi za kusafiria zenye majina na vyeo vya kikuhani ili kutorokea nje ya mipaka ya nchi yetu na kwingineko, lakini pia wengine walifadhiliwa fair za kujikimu kimaisha, lakini pia kwajili ya safari za ukombozi wa taifa letu.
wengine walifadhiliwa kwenye masomo ya juu na kanisa ili taifa lipate wajuzi wa fani mbalimbali katika uongozi n.k
Lakini pia,
kanisa lilifanya kazi kubwa sana kuhubiri amani na kuliombea taifa letu umoja, amani na mshikamano.
Kanisa pia lilifanya kazi kubwa zaidi ya kuwaanda wananchi kwa ukombozi wa kifikra na ndio maana mpaka leo makanisa ndio yanamiliki shule na vyuo vikuu vingi zaidi humu nchini, na kuendeleza wajibu huo muhimu wa kuwaondoa wananchi ujinga na kujikomboa kifikra.
hata vifaa vilivyotumika katika ukombozi wa taifa letu vilitolewa na wa kanisa la Kristo. Mathalani, magari, vipaza sauti n.k, vitu ambavyo madhehebu mengine hayakua navyo 🐒
Mzee mzima unajibu kama mtoto wa elfu mbili ,hujui lolote kuhusu harakati za kudai uhuru.
Mathalan tuambie ni kanisa gani lilitoa vifaa vya kufanyia harakati za uhuru .
Granted kulikuwa na Wakristo wachache kwenye harakati kama Paul Bomani na hayati mzee Rupia ila sio kanisa lolote.
Yule mama wa JF siku hizi mkimya angekuuliza "shule mme enda kufundishwa ujinga ?"
Uhuru ulipiganiwa na watu wote na Nyerere alipata sapoti kutoka Wahindi,Wafanyabiashara Kama kina Rupia,Waislamu,WakristoNi jambo linaloelwweka kwamba Wakoloni kwanza walikuja kama Explorers ili kuwaelewa Waafrika. Baadaye wakawaleta Wamisionari ili kuwabatiza Waafrika na kuwaandaa kama wasaidizi wao katika utawala wao.
Baadae wakarudi kama Wakoloni wakowatumia Wakristu kama wasaidizi wao; wakiwapa elimu, nafasi za kazi na upendeleo wa aina mbalimbali. Kwa Wakristu, ukoloni haukuwa tatizo, bali ni rehema kwao. Kwa hiyo, hawakuwa na sababu yoyote ya kupigania uhuru kwani walikuwa wanafaidika na Ukoloni kwa kiasi kikubwa.
Kwa upande wa Waislamu, Ukoloni ulikuwa jambo baya sana kwao. Ilibidi kubadilisha dini au jina ili kupata elimu, vigumu kupata kazi nzuri na kadhalika. Njia pekee ilikuwa ni kugombea Uhuru. Angalia walioanzisha TANU, n. K.
Mkuu,Uhuru ulipiganiwa na watu wote,Wahindi na kuna Wamissionary kutoka Ulaya ilibidi mpaka wajifunze Kiswahili ili kuwasiliana na Nyerere hawa walikuwa ni Wamisionary wa Kianglikanq na hata Wakatoliki,Wafanyabiashara Kama John Rupia na Waislamu walishiriki kikamilifu katika harakati za kuleta Uhuru,nitakusahihisha hapo kwenye Kanisa la Anglikana,Kanisa la Anglikana la Tanzania lilikuwa na madhumuni ya kupinga Ukoloni na pia lilisapoto Ushindi wa Nationalism.Dayosisi ya South West Tanganyika ambayo Baba yake Kambona alikuwa ni Priest huko ilikuwa ni active sana na Synod ya hii Diocese ndio ilipitisha resolution kuwa TANU iwe pardoned,Uingereza hawakutaka lakini hii Synod ililazimisha na Askofu wa Diyasisi alisimama na Synod..Hii Diyosisi ndio ilikuwa inalipa ada ya Kambona,Nyerere alipata baraka kwa kuombewa na Askofu pekee Muafrika pale St Albani aliyeiywa Yohana Omari alikuwa Mkenya huyu..Historia ya kupigania Uhuru inabidi ifundishwe vizuri kwetu sote kwa kufanya hivyo itatuunganisha sote,tofauti na hii “Narrative ambayo tumeuziwa ambayo inafanya baadhi ya watu wajimilikishe Nnchi,Uhuru ulipiganiwa na watu wote binafsi naona pia jinsi Ilivyochochea hata Mtazamo wa Nyerere kwenye kuhimiza katika kuamini kuwa Binadamu wote ni ndugu zetu,ukisoma Historia unaanza kuelewa japo Nyerere alikuwa na Mapungufu yake lakini aliamini kwa dhati kuwa Binadamu wote ni ndugu zetu kwa sababu yeye pia alipata sapoti kutoka kwa watu wote...wamisionari wa Maryknoll walikuwa wakimsaidia Nyerere wakati wa harakati za kudai uhuru.
..hata alipokuwa akienda New York / UNO wamisionari hao ndio waliokuwa wakimfadhili.
..Wakatoliki waliunga mkono harakati za uhuru dhidi ya Waingereza ambao ni Kanisa Anglikana.
..Tatizo ni kwamba Wakatoliki hutawasikia wakiandika mchango wao ktk namna ya kuzodoa madhehebu mengine.
Historia mujarabu.Uhuru ulipiganiwa na watu wote na Nyerere alipata sapoti kutoka Wahindi,Wafanyabiashara Kama kina Rupia,Waislamu,Wakristo
Mkuu,Uhuru ulipiganiwa na watu wote,Wahindi na kuna Wamissionary kutoka Ulaya ilibidi mpaka wajifunze Kiswahili ili kuwasiliana na Nyerere hawa walikuwa ni Wamisionary wa Kianglikanq na hata Wakatoliki,Wafanyabiashara Kama John Rupia na Waislamu walishiriki kikamilifu katika harakati za kuleta Uhuru,nitakusahihisha hapo kwenye Kanisa la Anglikana,Kanisa la Anglikana la Tanzania lilikuwa na madhumuni ya kupinga Ukoloni na pia lilisapoto Ushindi wa Nationalism.Dayosisi ya South West Tanganyika ambayo Baba yake Kambona alikuwa ni Priest huko ilikuwa ni active sana na Synod ya hii Diocese ndio ilipitisha resolution kuwa TANU iwe pardoned,Uingereza hawakutaka lakini hii Synod ililazimisha na Askofu wa Diyasisi alisimama na Synod..Hii Diyosisi ndio ilikuwa inalipa ada ya Kambona,Nyerere alipata baraka kwa kuombewa na Askofu pekee Muafrika pale St Albani aliyeiywa Yohana Omari alikuwa Mkenya huyu..Historia ya kupigania Uhuru inabidi ifundishwe vizuri kwetu sote kwa kufanya hivyo itatuunganisha sote,tofauti na hii “Narrative ambayo tumeuziwa ambayo inafanya baadhi ya watu wajimilikishe Nnchi,Uhuru ulipiganiwa na watu wote binafsi naona pia jinsi Ilivyochochea hata Mtazamo wa Nyerere kwenye kuhimiza katika kuamini kuwa Binadamu wote ni ndugu zetu,ukisoma Historia unaanza kuelewa japo Nyerere alikuwa na Mapungufu yake lakini aliamini kwa dhati kuwa Binadamu wote ni ndugu zetu kwa sababu yeye pia alipata sapoti kutoka kwa watu wote.
Gentleman,Mzee mzima unajibu kama mtoto wa elfu mbili ,hujui lolote kuhusu harakati za kudai uhuru.
Mathalan tuambie ni kanisa gani lilitoa vifaa vya kufanyia harakati za uhuru .
Granted kulikuwa na Wakristo wachache kwenye harakati kama Paul Bomani na hayati mzee Rupia ila sio kanisa lolote.
Yule mama wa JF siku hizi mkimya angekuuliza "shule mme enda kufundishwa ujinga ?"
Mbona lissu alimpinga mno magufuli na kumuita raisi wa ajabu mno kuwahi kutokea japo ni mkristo mwenzie? Waislamu ni mataahira mnoBaada kuona Mada mbayaaa
kwenu 👈
Endeleeni kumpinga Rais kisa Muislamu tutafika safari
muda si mrefu 👈
kama wazanzibar kwa waarabu hauwaambii kituNi jambo linaloelwweka kwamba Wakoloni kwanza walikuja kama Explorers ili kuwaelewa Waafrika. Baadaye wakawaleta Wamisionari ili kuwabatiza Waafrika na kuwaandaa kama wasaidizi wao katika utawala wao.
Baadae wakarudi kama Wakoloni wakowatumia Wakristu kama wasaidizi wao; wakiwapa elimu, nafasi za kazi na upendeleo wa aina mbalimbali. Kwa Wakristu, ukoloni haukuwa tatizo, bali ni rehema kwao. Kwa hiyo, hawakuwa na sababu yoyote ya kupigania uhuru kwani walikuwa wanafaidika na Ukoloni kwa kiasi kikubwa.
Kwa upande wa Waislamu, Ukoloni ulikuwa jambo baya sana kwao. Ilibidi kubadilisha dini au jina ili kupata elimu, vigumu kupata kazi nzuri na kadhalika. Njia pekee ilikuwa ni kugombea Uhuru. Angalia walioanzisha TANU, n. K.
Anyways mimi kwangu maswala ya imani ya mtu si kipamumbele sana ila hapo Zanzibar population kubwa ni waislamu lakini aliyeongoza mapinduzi ni mkristu John Okelo kuwaondoa waarabu , hivyo swala la dini sio ishu sana.Ni jambo linaloelwweka kwamba Wakoloni kwanza walikuja kama Explorers ili kuwaelewa Waafrika. Baadaye wakawaleta Wamisionari ili kuwabatiza Waafrika na kuwaandaa kama wasaidizi wao katika utawala wao.
Baadae wakarudi kama Wakoloni wakowatumia Wakristu kama wasaidizi wao; wakiwapa elimu, nafasi za kazi na upendeleo wa aina mbalimbali. Kwa Wakristu, ukoloni haukuwa tatizo, bali ni rehema kwao. Kwa hiyo, hawakuwa na sababu yoyote ya kupigania uhuru kwani walikuwa wanafaidika na Ukoloni kwa kiasi kikubwa.
Kwa upande wa Waislamu, Ukoloni ulikuwa jambo baya sana kwao. Ilibidi kubadilisha dini au jina ili kupata elimu, vigumu kupata kazi nzuri na kadhalika. Njia pekee ilikuwa ni kugombea Uhuru. Angalia walioanzisha TANU, n. K.
Hapo mwanamke Mwislamu ni mmoja kati ya wanawake watano. Hakuna bibi yako hapo.Wewe mbung'o wa malale sio unang'ong'a ng'ong'a kama nzi mavi wa chooni
Weka hao masista wakiwa wamevaa hijab tuwaone
Bibi zangu walichangia nauli na walimsindikiza nyerere kupanda ndege kwenda UN
View attachment 3616562
Sisi tulijenga Madrasa kwaajili ya kujitawala.Kanisa lilijenga shule ambazo zilitoa wasomi walioweza juikomboa Tanganyika
Mzee mpuuzi kweli kweli ukimtaja John Rupia hataki.Alishasema anaandika historia ya wazee wake wa Kiislam.
Akimaliza anatapeli watu kwa kuiiita kuwa ndio historia ya uhuru wa Tanzania, wakati hata huo uhuru wenyewe haupo.
Ukisema jamii za watu wengine vipi, anakwambia ajitokeze mtu mwingine na yeue aandike historia ya hao wengine.
1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
Hao ni baadhi ya makafiri heavyweights kwenye uhuru wa Tanganyika. Ni kwa sababu uhuru ulipiganiwa mji mkuu wenye bandari, airport, makao makuu ya serikali ya kikoloni na all major means of production, businesses and service provision. Ndio maana majina ya Sunna yanasomeka kwa wingi.
Ukanda wa Pwani wakazi wengi miaka hiyo ni Waislamu wa makabila kama hawa Wazaramo kabla hawajaanza kuuza ardhi kutoka Msasani peninsula na Oysterbay huku wakikimbilia Mpiji Magohe. Na wanunuaji wengi walikuwa ni wamsalabani, maana hawakuwa na ardhi ya kurithi Pwani. Ndipo mchanganyiko wa imani ukawa mkubwa.
Martin Kayamba, Dr. Vedasto Kyaruzi, Japhet Kirilo, Stephen Mhando, Dennis Phombeah.....
Amandla...
Christopher Kasanga Tumbo alikuwa muislamu!
Amandla...
Waty waliunganisha nguvu kupigania Uhuru, yeye anawagawa kwenye makundi.1. Michael Kamaliza
2. John Mwakangale
3. Oscar Kambona
4. Mwalimu Julius K. Nyerere
5. Paul Bomani
6. David Kidaha Makwaia
7. Martin Kayamba
8. Dr. Vedasto Kyaruzi
9. Japhet Kirilo
10. Steven Mhando
11. Dennis Phombeah
12. Christopher Kasanga Tumbo
13. John Rupia
Hao ni baadhi.