Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
2,818
Reaction score
7,940
Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo.

Nimefanya Tafiti (Observetional) yangu duniani kote, nikagundua wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuvumilia ujinga, ubaguzi, na matusi ya wavaa kobazi na dera nyeupe.

Nchi nyingine zenye dini tofauti na Ukristo haziwezi kabisa kuvumilia huu upumbavu. Ndio maana ukienda huko India Wahindu na Waislamu hawawezi kuishi pamoja kabisa. Hukienda kule Israel pia Wayahudi wanawapiga mkongoto Waislamu wa Palestina kila siku. Ukienda China maeneo ya Xinjiang na Yunnan shida ni Ile ile, ukienda nchi ya Mynamar Waislamu wanabaguliwa sana.

Dini kubwa hapa Duniani ni Ukristo, ndio dini inayoongoza kwa kuwa na wafuasi wengi hasa ukanda wa Ulaya, Africa na America kaskazini na America kusini.

Wakristo siku zote wamekuwa wakiwapokea Waislamu bila ubaguzi, inafika mpaka hatua Waislamu wanakimbia nchi zao zenye vita ya Jihad na vita za wao kwa wao, wanakimbilia nchi zenye wakristo. Sasa hivi nchi kama Marekani, Canada na nchi za ulaya zimepokea Waislamu wengi tu kiasi kwamba wavaa kobazi wengine wanaanza kudai sheria za kiislamu zifuatwe kwenye nchi hizo, mfano pale London Waislamu mpaka waliandamana kudai sheria za kiislamu (Sheria Law) zifuatwe, wakasahau kuwa Uingereza kiasili ni nchi ya kikristo dhehebu la Anglican. Ukija pale Marekani eneo la Minneapolis, Minnesota wamejazana Wasomali mji mzima utafikiri uko uarabuni, kiasi cha kuathiri wingi wa wakristo waliopo hapo.

Yanatokea haya yote lakini wakristo wengi uchagua Ugali dagaa kwenye amani kuliko Wali nyama vitani. Wakristo hawanaga shida na Waislamu, ila cha kushangaza ni kama Waislamu chokochoko yao dhidi ya wakristo inazidi kumea kila siku. Na viongozi wao ni kama wanachochea ubaguzi na udini.

Ni nadra sana kusikia kiongozi wa kikristo akidhihaki uislamu. Na muislamu yeye anaona fahari tu na kuchukulia poa kudhihaki ukristo, ila siku kiongozi mkristo akidhiaki uislamu, utasikia Takbir achinjwe akatwe kuchwa.

Mimi bado najiuliza hawa jamaa agenda ya dini yao uwa ni nini? Maana kama vile Amani sio vitu vyao, wao ushambulia dini nyingine kwa lengo la kuwatoa kwenye Imani zao na kuwabadirisha dini wengine hili wawe Waislamu. Na ndio maana Waislamu hawapendi binti wa kiislamu kuolewa na mkristo, na kama akiolewa na mkristo basi ambadilishe dini ila wanapenda binti wa kikristo akiolewa na muislamu lengo ni kumlimisha na watoto watakaozaliwa wawe Waislamu. Na hii ni moja wapo ya conflict za kidini pale India, Waislamu walikuwa wanaoa mabinti wa kihindu na kuwabadilisha dini lakini wanawakataza binti wa kiislamu wasiolewe na wahindi

Agenda ya Islam ni ku-conquer Dunia nzima na kumfanya kila mtu kuwa muislamu. Agenda yao ni kuwa wengi zaidi duniani, ndio maana wana kamsemo kao kila mtu anezaliwa muislamu 🤣🤣🤣. Na huu ujinga ni wakristo ndio wanaweza ku-tolerate, dini nyingine hawawezi

Tupendane, na kila mtu aheshimu mipaka ya dini yake, na sio ku-justify dini yako kwa kutukana au kuiponda dini ya mwingine
 
Hivi uislamu ni nini na Ukristo ni nini? Nawezaje bila ya kuambiwa kujua kuwa huu ndiyo uislamu na huu ndiyo Ukristo.

Tunaweza kupingana na mawazo yako lakini umeyawasilisha vizuri.

Kumbuka kuwa Tanzania kuna hukumu ya mahakama kwenye kesi ya Jamhuri dhidi ya Dibagula na wenzake inayowapa haki waislamu na dini zingine kusema kuwa Yesu Kristo si mwana wa Mungu.
 
, Israel yenyewe ina waislamu kibao tu ,na wanahusika kuwapiga wapalestina ambao wakristo ni wengi kuliko Israel .

Kiufupi wamatumbi wamezivamia dini kwa kukurupuka
Yeah
 
Hivi uislamu ni nini na Ukristo ni nini? Nawezaje bila ya kuambiwa kujua kuwa huu ndiyo uislamu na huu ndiyo Ukristo.

Tunaweza kupingana na mawazo yako lakini umeyawasilisha vizuri.

Kumbuka kuwa Tanzania kuna hukumu ya kesi ya Jamhuri dhidi ya Dibagula na wenzake inayowapa haki waislamu na dini zingine kusema kuwa Yesu Kristo si mwana wa Mungu.
Uislamu na Ukristo ni mindset tu za Kiimani, Uislamu ukikumbatia Mila na Tamaduni za waarabu na Ukristo ukijikita zaidi na mambo ya kisasa yaligobukwa na uzungu.

Dini moja ni korofi duniani kote wanajiita wafia dini, na nyingine ni wapole tu kiasi kwamba ukiwapiga Kofi shavu la kulia wanakugeuzia na la kushoto uwapige tena
 
Kuna msikiti mmoja muumini alikwenda mbele kwa sheikh kumuambia apunguze sauti kwenye maiki kwani nje watu wanasikiliza sauti yake akiwakataza waislam wasile chakula cha sikukuu ya krismasi. Waislam wana chuki sana na wasio waislam, Wakristo popote duniani huongozwa kwa upendo na amani kwa watu wote. Wakristo si wafujo na chuki kama waislam, waislam ni vichaa popote walipo duniani wana fujo na hawana hekima na busara, ni wendawazimu
 
Ni kweli
Wakristo hatuna shida kabisa na Uislamu kwakuwa tumeridhika na Imani yetu ya Ukristo:
Uislamu ni Dini
Na wanatulazimisha na sisi tuwe na Dini:
Utawasikia: wapi Ukristo ni Dini:
Wakristo hatuna Dini
Ila tuna Imani:
Hii hapa
Warumi (Rom) 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
So then faith cometh by hearing, and hearing by the word of God.

Sisi wala hatulazimishi mtu awe Mkristo:
Tuko Radhi hata dunia nzima tuwe WAWILI tu:
Kama mtu atapenda aje kwa hiari na akiondoka wala hatuumii:
Wenzetu wameamrishwa hivi
"whoever leave the religion kill him"

Waislamu wanaipenda sana Dini Yao kuliko kitu chochote:
Ukichana kurasa Moja ya Qurani hadharani wanakuua bila huruma:

Wakristo tumeambiwa tumpende Mungu na Jirani yeyote:
Ukiichoma Biblia hadharani tunakuangalia tu na kutabasamu

Mtu anathamani kupita Dini na kupita Imani:

Wenzetu wanaipenda Dini kupita Mtu, kupita Mungu:
 
Acha unafiki wa kipuuzi eti nyinyi wastaarabu hamna uchokozi , hivi mmesahau fujo zenu hapa Jf ?👇⬇️⬇️

Hili wanaloita udini ni jambo wanalo mno. Watu wanachuki mno dhidi ya Waislam, halafu wanaona kawaida kabisa. Umetoa mifano ya nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?

Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.

Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.

Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!

Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!

Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!

Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.

Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.

Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.

Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
 
Kuna wa Israel wanaopractice uislam?
, Israel yenyewe ina waislamu kibao tu ,na wanahusika kuwapiga wapalestina ambao wakristo ni wengi kuliko Israel .

Kiufupi wamatumbi wamezivamia dini kwa kukurupuka
 
Mimi baadhi ya watoto wangu waislamu wananiita KAFIRI:
Na huwa natabasamu tu:
Walifuata Dini ya Mama
Yao:
Watoto wako wanaakili sana , kama hautojali nipe koneksheni nimuoe mmoja wa Kike mambo yawe mazuri zaidi
 
Acha unafiki wa kipuuzi eti nyinyi wastaarabu hamna uchokozi , hivi mmesahau fujo zenu hapa Jf ?👇⬇️⬇️

Hili wanaloita udini ni jambo wanalo mno. Watu wanachuki mno dhidi ya Waislam, halafu wanaona kawaida kabisa. Umetoa mifano ya nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?

Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.

Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.

Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!

Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!

Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!

Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.

Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.

Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.

Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
Wanadini wasio jitambua Huwa hawaishi kuwachokoza wenzao:
Unapo mchokoza mtu naye anakuchokoza:

Mnatuita Wakristo Makafiri ndio maana wanawarudishia kuwaita Kobazi:
Mfano:
Unakutana na mtu Kilema:
Na unamwita "We Mlemavu"
Si atakasirika hata kama umesema ukweli?

Kama mnawaona Wakristo ni Makafiri basi mkiwa na busara kaeni kimya tu:

Kama mnataka kusema basi mridhike na wengine wakiwadhihaki:
 
Acha unafiki wa kipuuzi eti nyinyi wastaarabu hamna uchokozi , hivi mmesahau fujo zenu hapa Jf ?👇⬇️⬇️

Hili wanaloita udini ni jambo wanalo mno. Watu wanachuki mno dhidi ya Waislam, halafu wanaona kawaida kabisa. Umetoa mifano ya nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?

Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.

Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.

Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!

Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!

Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!

Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.

Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.

Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.

Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
Jishikilie vizuri usije ukawa gaidi siku moja, hili ni jukwaa huru unaloweza kupinga hoja kwa hoja. Huwezi kuwazuia watu kukosoa Ramadhani eti kisa wanaziumiza hisia zako,
 
Mfano
Kabla ya Uislamu Wakristo waliambiwa watu wasio wa Imani Yao ni MAKAFIRI:

Na hukuti Mkristo anamwita mtu wa Dini nyingine kuwa ni KAFIRI kwa kuwapenda Majirani:
Andiko hili hapa lipo kabla ya kuzaliwa Muhamadi:

Yuda 1:4
Kwa maana kuna watu waliojiingiza kwa siri, watu walioandikiwa tangu zamani hukumu hii, makafiri, wabadilio neema ya Mungu wetu kuwa ufisadi, nao humkana yeye aliye peke yake Mola, na Bwana wetu Yesu Kristo.
 
Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo.

Nimefanya Tafiti (Observetional) yangu duniani kote, nikagundua wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuvumilia ujinga, ubaguzi, na matusi ya wavaa kobazi na dera nyeupe.

Nchi nyingine zenye dini tofauti na Ukristo haziwezi kabisa kuvumilia huu upumbavu. Ndio maana ukienda huko India Wahindu na Waislamu hawawezi kuishi pamoja kabisa. Hukienda kule Israel pia Wayahudi wanawapiga mkongoto Waislamu wa Palestina kila siku. Ukienda China maeneo ya Xinjiang na Yunnan shida ni Ile ile, ukienda nchi ya Mynamar Waislamu wanabaguliwa sana.

Dini kubwa hapa Duniani ni Ukristo, ndio dini inayoongoza kwa kuwa na wafuasi wengi hasa ukanda wa Ulaya, Africa na America kaskazini na America kusini.

Wakristo siku zote wamekuwa wakiwapokea Waislamu bila ubaguzi, inafika mpaka hatua Waislamu wanakimbia nchi zao zenye vita ya Jihad na vita za wao kwa wao, wanakimbilia nchi zenye wakristo. Sasa hivi nchi kama Marekani, Canada na nchi za ulaya zimepokea Waislamu wengi tu kiasi kwamba wavaa kobazi wengine wanaanza kudai sheria za kiislamu zifuatwe kwenye nchi hizo, mfano pale London Waislamu mpaka waliandamana kudai sheria za kiislamu (Sheria Law) zifuatwe, wakasahau kuwa Uingereza kiasili ni nchi ya kikristo dhehebu la Anglican. Ukija pale Marekani eneo la Minneapolis, Minnesota wamejazana Wasomali mji mzima utafikiri uko uarabuni, kiasi cha kuathiri wingi wa wakristo waliopo hapo.

Yanatokea haya yote lakini wakristo wengi uchagua Ugali dagaa kwenye amani kuliko Wali nyama vitani. Wakristo hawanaga shida na Waislamu, ila cha kushangaza ni kama Waislamu chokochoko yao dhidi ya wakristo inazidi kumea kila siku. Na viongozi wao ni kama wanachochea ubaguzi na udini.

Ni nadra sana kusikia kiongozi wa kikristo akidhihaki uislamu. Na muislamu yeye anaona fahari tu na kuchukulia poa kudhihaki ukristo, ila siku kiongozi mkristo akidhiaki uislamu, utasikia Takbir achinjwe akatwe kuchwa.

Mimi bado najiuliza hawa jamaa agenda ya dini yao uwa ni nini? Maana kama vile Amani sio vitu vyao, wao ushambulia dini nyingine kwa lengo la kuwatoa kwenye Imani zao na kuwabadirisha dini wengine hili wawe Waislamu. Na ndio maana Waislamu hawapendi binti wa kiislamu kuolewa na mkristo, na kama akiolewa na mkristo basi ambadilishe dini ila wanapenda binti wa kikristo akiolewa na muislamu lengo ni kumlimisha na watoto watakaozaliwa wawe Waislamu. Na hii ni moja wapo ya conflict za kidini pale India, Waislamu walikuwa wanaoa mabinti wa kihindu na kuwabadilisha dini lakini wanawakataza binti wa kiislamu wasiolewe na wahindi

Agenda ya Islam ni ku-conquer Dunia nzima na kumfanya kila mtu kuwa muislamu. Agenda yao ni kuwa wengi zaidi duniani, ndio maana wana kamsemo kao kila mtu anezaliwa muislamu 🤣🤣🤣. Na huu ujinga ni wakristo ndio wanaweza ku-tolerate, dini nyingine hawawezi

Tupendane, na kila mtu aheshimu mipaka ya dini yake, na sio ku-justify dini yako kwa kutukana au kuiponda dini ya mwingine
ndio wepi hao wavaa kobazi na dela jeupe? Halafu mnataka hao wenzenu waungane na nyinyi kiitukana serikali,washawagundua labda nyie mnamchukia serikali sababu ya kiongozi mkuu sio wa dini yenu.......
 
Back
Top Bottom