Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

Jishikilie vizuri usije ukawa gaidi siku moja, hili ni jukwaa huru unaloweza kupinga hoja kwa hoja. Huwezi kuwazuia watu kukosoa Ramadhani eti kisa wanaziumiza hisia zako,
Wapi nimewakataza hatujapinga kukosaa , hivi hauwajui Wagalatia wa humu au wewe kipofu ?

Wao wanakuja kuchokoza na kuwadhihaki ndio wengi wao . Mfano Kuna wa Waislamu kwa ajili ya kuekekezana mambo muhimu ya Ramadhani unakuta Galatia anakuja kuvamia na kuanza kutukana na kuongelea habari za kitimoto na mademu sasa hiyo ni constructive criticism au ni upungufu wa akili ?
 
Ahahah
 
1. Kukosa elimu. Mtu ambaye hajafika japo form six kwenda juu, ni rahisi sana kumjaza ujinga na kumpotosha kwasababu eneo lake la ufahamu wa mambo na kureason lipo empty. Ndio maana tunasisitiza wanajamii kuwapa watoto elimu bora nje ya hapo ni kutengeneza kizazi cha watu wajinga ambao wataishi kwa fikra za kipumbavu.

2. Religulous mindset: Wafia dini wengi ukiketi nao kuwahoji maswali ya msingi kuhusu chanzo na history ya imani zao wanazofuata unagundua hakuna wanachojua zaidi ya misimamo ya wanaume wenzao waliyojazwa. Kitu chochote ukikiconsume in excess kinageuka ulevi wenye madhara.

3. Culture consciousness: waislam wengi bado wana struggle eneo hili. Hawajui hizi mbwe mbwe zote ni kutaka kuwaambia wafrika wenzao kuwa wao ni waarabu.

Uislam 100% Arabic culture nothing special au religious kuhusu vitu ninaona vinafuatwa. Unavaa kanzu vazi la asili uarabuni halafu unasema no dini.

Unaongea kiarabu kupreach dini kwenye hadhira ya watu ambao wanazungumza kiswahili kama lugha mama,ili iweje? Kwanini usitumie kiswahili? Jibu ni simple,uwakala wa tamaduni za kiarabu, na ndio maana wakiwaona waarabu wanachanganyikiwa wakihisi ni wajumbe kutoka mbinguni na watu safi wasiotenda dhambi.

Ushawahi kutana na mswahili swala tano aliyeishia darasa la 3 anafanya kazi kwa muarabu au bohora,mzee utamuonea huruma namna anajipendekeza.

Tusomeshe sana watoto zetu ili wawe na ufahamu na exposure ya maisha na jamii sio kugeuza ujinga kuwa sehemu ya maisha yao matokeo yake wanateseka ukubwani na kugeuka tatizo kwenye jamii akiishi kwa kujishuku, kuropoka,kujistukia na kulazimisha wanajamii wenzao kuwaona wao ni muhimu zaidi kumbe ni kukosa akili na elimu sahihi.
 
Wapi nimewakataza hatujapinga kukosaa , hivi hauwajui Wagalatia wa humu au wewe kipofu ?

Wao wanakuja kuchokoza na kuwadhihaki ndio wengi wao . Mfano Kuna wa Waislamu kwa ajili ya kuekekezana mambo muhimu ya Ramadhani unakuta Galatia anakuja kuvamia na kuanza kutukana na kuongelea habari za kitimoto na mademu sasa hiyo ni constructive criticism au ni upungufu wa akili ?
Wewe ni mtu mwenye ngozi nyembamba(thin skinned) na delusional,
Jukwaa la mamilioni ya watu ambao tena ni anonymous na wanaweza kuchangia popote na vyovyote kadri wanavyojisikia mnataka mkae mfanye mijadala sijui maelekezo ya dini yenu kama vile mko msikitini! Hembu nenda kwenye banda la mpira la watu 20 tu hapo mtaani kwenu uone uropokaji wa watu na sampuli za kila aina ya binadamu.
 
Acha unafiki wa kipuuzi eti nyinyi wastaarabu hamna uchokozi , hivi mmesahau fujo zenu hapa Jf ?👇⬇️⬇️

Hili wanaloita udini ni jambo wanalo mno. Watu wanachuki mno dhidi ya Waislam, halafu wanaona kawaida kabisa. Umetoa mifano ya nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?

Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.

Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.

Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!

Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!

Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!

Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.

Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.

Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.

Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
Hizi hoja inabidi zijibiwe ku dilute sumu uliyopewa kwamba Waislamu wanachukiwa JF
1. Kuhusu nyuzi za ulawiti na ubakaji za viongozi wa dini; Hili ni suala la wingi wa kesi katika dini husika au wingi wa waumini wa dini husika jukwaani. Kama kesi ni nyingi kwa upande wa maustadh zitakuwa nyingi hapa jukwaani pia tofauti na za mapadri, pia kama Wagalatia ni wengi jukwaani tegemea uwepo wa nyuzi nyingi za kuukosoa Uislamu tofauti na Ukristo. Hata hivyo tumewahi kuona nyuzi nyingi sana za watu hapa jukwaani wakiwakejeli wakatoliki kutokana na mismamo ya Papa Francis Kuhusu ushoga n.k

2. Nyuzi za Ramadhani; Hili haliepukiki kwa sababu mwezi Ramadhani huja na kashikashi nyingi sana na taarifa nyingi mchanganyiko ikiwemo watu baadhi ya maeneo kuzuiwa kula hadharani, vyakula kupanda bei na hata Waislamu ambao huonekana kuachana na mabaya katika mwezi huu yote haya yanaibua mijadala tofauti.

3. Kejeli za Waislamu kutokusoma; Huu ni utani wenye ukweli kiasi ndani yake, katika nchi hii kwa sababu mbalimbali Wagalatia hasa Wakatoliki wamesoma zaidi, tunaweza tusijue gap likoje lakini ukweli na uhalisia ndio huo, hata hivyo huu ni utani kama ambavyo tu Wasukuma wanataniwa kuwa washamba, wachaga kuwa wezi, wapare kuwa wabahili, Wangoni kupenda ngono sana, Wakatoliki kuabudu sanamu n.k

4.Malalamiko Kuhusu udini katika teuzi; Hili ni suala la kawaida katika jamii yoyote mchanganyiko, tatizo Watanzania huwa hatupendi kujadili mambo sensitive kama haya hadharani kwa kufikiri ni faida kwetu au kuoneana aibu. Haya Malalamiko yako pande zote mbili za Ukristo na Uislamu na tatizo kubwa zaidi ni kwa sababu katiba yetu imempa mtu mmoja mamlaka makubwa ya uteuzi au kushawishi teuzi zifanyikaje karibia kila nafasi, siku tukiondokana na hili tatizo haya malalamiko yatapungua kama sio kuisha.

5. Kuhusu Wafanyabiashara wa media na movies za kidini; Hii ni petty ishu, hata hivyo mfano wako wa Hollywood sio sahihi kwa sababu wabongo wengi hasa wa uswazi sio wafuatiliaji sana wa maudhui ya Hollywood lakini wanakesha kufuatilia tamthilia za Kituruki.
 
Wapi nimewakataza hatujapinga kukosaa , hivi hauwajui Wagalatia wa humu au wewe kipofu ?

Wao wanakuja kuchokoza na kuwadhihaki ndio wengi wao . Mfano Kuna wa Waislamu kwa ajili ya kuekekezana mambo muhimu ya Ramadhani unakuta Galatia anakuja kuvamia na kuanza kutukana na kuongelea habari za kitimoto na mademu sasa hiyo ni constructive criticism au ni upungufu wa akili ?
Mbona waislam wengi tu wanakula kitimoto!!!! Unataka kusema hufahamu hilo????? Kitimoto ni chakula tu kama vyakula vingine.

Uliza wanaouza kitimoto wateja 50% hupungua wakati wa Ramadhan.
 
Acha unafiki wa kipuuzi eti nyinyi wastaarabu hamna uchokozi , hivi mmesahau fujo zenu hapa Jf ?👇⬇️⬇️

Hili wanaloita udini ni jambo wanalo mno. Watu wanachuki mno dhidi ya Waislam, halafu wanaona kawaida kabisa. Umetoa mifano ya nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?

Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.

Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.

Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!

Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!

Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!

Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.

Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.

Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.

Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
We nawe mbwembwe nyingi unaleta jangwa tu, hakuna watu wanaongoza kukosoa wenzao kama waislamu acha kujifanya mwema kwa kuandika insha

Hicho kipindi cha ramadhan mmesahau mlichotufanyia wakristo tena kule Zanzibar hadi mkawa mnanyanyasa watu na kuwapiga kisa wanakula sehemu za wazi ila kipindi cha quaresma ilikuwa fresh tu kwetu...

Na ndo wa kwanza pia kukosoa dini ya kikristo na kusema dini ni moja na ya haki ni uislamu tu au unadhani hatujui acha kutupiga kamba mkuu
 
Kuna msikiti mmoja muumini alikwenda mbele kwa sheikh kumuambia apunguze sauti kwenye maiki kwani nje watu wanasikiliza sauti yake akiwakataza waislam wasile chakula cha sikukuu ya krismasi. Waislam wana chuki sana na wasio waislam, Wakristo popote duniani huongozwa kwa upendo na amani kwa watu wote. Wakristo si wafujo na chuki kama waislam, waislam ni vichaa popote walipo duniani wana fujo na hawana hekima na busara, ni wendawazimu
Sikupingi
 
Ni kweli
Wakristo hatuna shida kabisa na Uislamu kwakuwa tumeridhika na Imani yetu ya Ukristo:
Uislamu ni Dini
Na wanatulazimisha na sisi tuwe na Dini:
Utawasikia: wapi Ukristo ni Dini:
Wakristo hatuna Dini
Ila tuna Imani:
Hii hapa
Warumi (Rom) 10:17
Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
So then faith cometh by hearing, and hearing by the word of God.

Sisi wala hatulazimishi mtu awe Mkristo:
Tuko Radhi hata dunia nzima tuwe WAWILI tu:
Kama mtu atapenda aje kwa hiari na akiondoka wala hatuumii:
Wenzetu wameamrishwa hivi
"whoever leave the religion kill him"

Waislamu wanaipenda sana Dini Yao kuliko kitu chochote:
Ukichana kurasa Moja ya Qurani hadharani wanakuua bila huruma:

Wakristo tumeambiwa tumpende Mungu na Jirani yeyote:
Ukiichoma Biblia hadharani tunakuangalia tu na kutabasamu

Mtu anathamani kupita Dini na kupita Imani:

Wenzetu wanaipenda Dini kupita Mtu, kupita Mungu:
Umeweka Madini mazuri sana
 
Acha unafiki wa kipuuzi eti nyinyi wastaarabu hamna uchokozi , hivi mmesahau fujo zenu hapa Jf ?👇⬇️⬇️

Hili wanaloita udini ni jambo wanalo mno. Watu wanachuki mno dhidi ya Waislam, halafu wanaona kawaida kabisa. Umetoa mifano ya nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?

Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.

Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.

Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!

Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!

Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!

Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.

Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.

Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.

Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
Sema Mwisho umemalizia vizuri, mpaka nimekosa jibu la kukujibu
 
Watoto wako wanaakili sana , kama hautojali nipe koneksheni nimuoe mmoja wa Kike mambo yawe mazuri zaidi
Kwa nini Waislam wengi hawapendi watoto wao waolewe na wakristo, wakiolewa basi mnalazimisha mume abadilishwe dini
 
Wanadini wasio jitambua Huwa hawaishi kuwachokoza wenzao:
Unapo mchokoza mtu naye anakuchokoza:

Mnatuita Wakristo Makafiri ndio maana wanawarudishia kuwaita Kobazi:
Mfano:
Unakutana na mtu Kilema:
Na unamwita "We Mlemavu"
Si atakasirika hata kama umesema ukweli?

Kama mnawaona Wakristo ni Makafiri basi mkiwa na busara kaeni kimya tu:

Kama mnataka kusema basi mridhike na wengine wakiwadhihaki:
Asante
 
Jishikilie vizuri usije ukawa gaidi siku moja, hili ni jukwaa huru unaloweza kupinga hoja kwa hoja. Huwezi kuwazuia watu kukosoa Ramadhani eti kisa wanaziumiza hisia zako,
Asante
 
ndio wepi hao wavaa kobazi na dela jeupe? Halafu mnataka hao wenzenu waungane na nyinyi kiitukana serikali,washawagundua labda nyie mnamchukia serikali sababu ya kiongozi mkuu sio wa dini yenu.......
Hata Magufuli alikuwa mkristo na alipigwa vita... Hii haihusiani na Serikali

Hapa tunazungumzia dini zetu
 
Back
Top Bottom