Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

Mungu wao tu hana nguvu mpaka atetewe kwa upanga na jambia..huoni tu hayo ni maajabu?
 
, Israel yenyewe ina waislamu kibao tu ,na wanahusika kuwapiga wapalestina ambao wakristo ni wengi kuliko Israel .

Kiufupi wamatumbi wamezivamia dini kwa kukurupuka
palestina ipi ina wakristo wengi kuliko israel mkuu. au ni hapo Judea. umefika au unahadithiwa
 
Wakristo walianza kuwaua mayahudi kwa chuki zao za kumuua Yesu , waislamu waliwalinda sana ..Leo wanafiki eti wamekuwa marafiki .

Wakristo ukiishi nao vizuri ;wanaanza kuchoma Qur an , wanajifany wao wanaongoza dunia
 
Back
Top Bottom