MD SPECIAL
JF-Expert Member
- Jul 4, 2025
- 1,161
- 2,812
Kikubwa kila mtu asimame kwenye imani yake na anachokiamini.
Asante1. Kukosa elimu. Mtu ambaye hajafika japo form six kwenda juu, ni rahisi sana kumjaza ujinga na kumpotosha kwasababu eneo lake la ufahamu wa mambo na kureason lipo empty. Ndio maana tunasisitiza wanajamii kuwapa watoto elimu bora nje ya hapo ni kutengeneza kizazi cha watu wajinga ambao wataishi kwa fikra za kipumbavu.
2. Religulous mindset: Wafia dini wengi ukiketi nao kuwahoji maswali ya msingi kuhusu chanzo na history ya imani zao wanazofuata unagundua hakuna wanachojua zaidi ya misimamo ya wanaume wenzao waliyojazwa. Kitu chochote ukikiconsume in excess kinageuka ulevi wenye madhara.
3. Culture consciousness: waislam wengi bado wana struggle eneo hili. Hawajui hizi mbwe mbwe zote ni kutaka kuwaambia wafrika wenzao kuwa wao ni waarabu.
Uislam 100% Arabic culture nothing special au religious kuhusu vitu ninaona vinafuatwa. Unavaa kanzu vazi la asili uarabuni halafu unasema no dini.
Unaongea kiarabu kupreach dini kwenye hadhira ya watu ambao wanazungumza kiswahili kama lugha mama,ili iweje? Kwanini usitumie kiswahili? Jibu ni simple,uwakala wa tamaduni za kiarabu, na ndio maana wakiwaona waarabu wanachanganyikiwa wakihisi ni wajumbe kutoka mbinguni na watu safi wasiotenda dhambi.
Ushawahi kutana na mswahili swala tano aliyeishia darasa la 3 anafanya kazi kwa muarabu au bohora,mzee utamuonea huruma namna anajipendekeza.
Tusomeshe sana watoto zetu ili wawe na ufahamu na exposure ya maisha na jamii sio kugeuza ujinga kuwa sehemu ya maisha yao matokeo yake wanateseka ukubwani na kugeuka tatizo kwenye jamii akiishi kwa kujishuku, kuropoka,kujistukia na kulazimisha wanajamii wenzao kuwaona wao ni muhimu zaidi kumbe ni kukosa akili na elimu sahihi.
Acha udini wewe!Hata Magufuli alikuwa mkristo na alipigwa vita... Hii haihusiani na Serikali
Hapa tunazungumzia dini zetu
Tuwe wakweli pale sokoni ukimkufuru Yesu au Mtume ni ipi nafasi yako ya kutoka ukiwa salama?Acha unafiki wa kipuuzi eti nyinyi wastaarabu hamna uchokozi , hivi mmesahau fujo zenu hapa Jf ?👇⬇️⬇️
Hili wanaloita udini ni jambo wanalo mno. Watu wanachuki mno dhidi ya Waislam, halafu wanaona kawaida kabisa. Umetoa mifano ya nyuzi za baadhi ya maustadh wanaotuhumiwa ubakaji au ulawiti zinajaa matusi dhidi ya Waislam na Dini yao, halafu mtu anakuambia ni wachache tu hao! Kwanini nyuzi za mapadri wanaotuhumiwa kwa ulawiti na ubakaji na makosa mengine hazijai sana?
Kuna nyuzi za uchokozi na kashfa zinazoanzishwa mfululizo humu mwezi wa Ramadhaan. Watu wamejaa chuki na husda.
Kutwa kucha kuwatukana Waislam na kuwakejeli, mara hawana akili, mara sijui hawajasoma, unaona kabisa chuki na dharau katika midomo yao.
Kukiwa na viteuzi kukawa na Waislam kidogo tu, kuna vikelele, hii sio bahati mbaya wala utani, ni chuki. Ila Waislam wao maskini wako wachache serikalini na kwenye teuzi, wakilalamika kidogo wanaitwa wadini na wanakejeliwa kuwa tatizo hawajaenda shule, ila wakiteuliwa kidogo tu utasikia kiongozi anaendekeza udini. Fresh!
Nyuzi na hata mitandao mengine kuna malalamiko ya kuwalaumu wafanyabiashara kama Bakhresa kwa udini katika Azam. Ila kina Reginald Mengi na IPP yao Waislam wakiwa wachache ni sawa. Freshi!
Kukiwa na vi tamthilia vya kituruki kidogo tu ni udini, ila kuwekwa movies za Hollywood zinazowa portray Waislam vibaya tena kwa uongo ni sawa! Filamu za bongo movie za kina Kanumba zenye maudhui ya kanisa na ulokole ni sawa sio udini!
Huo unaoitwa udugu na upendo ni wa kinafki, na Waislam uzuri hatuna huo upendo wa maigizo.
Waislam tuko na subra na tunaishi kwa wema na uadilifu na wasio Waislam, tukijua kuwa wana chuki na sisi na husda na roho mbaya wengi wao. Ila tunaishi nao kwa wema.
Ukidhihirisha chuki iliyopo unaitwa mdini na sasa hivi walipoibuka baadhi ya Waislam kulalamika kidogo kuna watu wakijifanya wajanja eti wakataka kuwanyamazisha kwa kuunda dini mpya ya kipagani eti wakijifanya hawana chuki, na wakati huo huo kwa dini yao mpya hiyo ya kipagani wanaukejeli Uislam na kuuvunjia heshima.
Waislam, hatutaki kuvunjiwa heshima Dini yetu Tukufu, kila mtu abaki na Dini yake. Tuishi kwa wema, na kuheshimiana. Kila mtu na Dini yake. Tuishi kwa Amani
Hii dogma ndio inawapoteza, unasemaje kila mtu amezaliwa muislamu by the way uislam ndio kama dini ya mwisho kuibuka kwenye dini hizi kubwa saba duniani.Agenda yao ni kuwa wengi zaidi duniani, ndio maana wana kamsemo kao kila mtu anezaliwa muislamu 🤣🤣🤣.
Mwanamke siku zote huathiriwa sana na mumewe na kwenye ndoa Mwanaume ndio mwenye mamlaka makubwa hivyo Mume akiwa dini nyingine ni rahisi sana kwa make na watoto kufuata dini ya Mwanaume.Kwa nini Waislam wengi hawapendi watoto wao waolewe na wakristo, wakiolewa basi mnalazimisha mume abadilishwe dini
Biblia inasema hivyo , hata picha za maigizo ya Yesu zinaonyesha hivyoUlikuwepoooo
Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo.
Nimefanya Tafiti (Observetional) yangu duniani kote, nikagundua wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuvumilia ujinga, ubaguzi, na matusi ya wavaa kobazi na dera nyeupe.
Nchi nyingine zenye dini tofauti na Ukristo haziwezi kabisa kuvumilia huu upumbavu. Ndio maana ukienda huko India Wahindu na Waislamu hawawezi kuishi pamoja kabisa. Hukienda kule Israel pia Wayahudi wanawapiga mkongoto Waislamu wa Palestina kila siku. Ukienda China maeneo ya Xinjiang na Yunnan shida ni Ile ile, ukienda nchi ya Mynamar Waislamu wanabaguliwa sana.
Dini kubwa hapa Duniani ni Ukristo, ndio dini inayoongoza kwa kuwa na wafuasi wengi hasa ukanda wa Ulaya, Africa na America kaskazini na America kusini.
Wakristo siku zote wamekuwa wakiwapokea Waislamu bila ubaguzi, inafika mpaka hatua Waislamu wanakimbia nchi zao zenye vita ya Jihad na vita za wao kwa wao, wanakimbilia nchi zenye wakristo. Sasa hivi nchi kama Marekani, Canada na nchi za ulaya zimepokea Waislamu wengi tu kiasi kwamba wavaa kobazi wengine wanaanza kudai sheria za kiislamu zifuatwe kwenye nchi hizo, mfano pale London Waislamu mpaka waliandamana kudai sheria za kiislamu (Sheria Law) zifuatwe, wakasahau kuwa Uingereza kiasili ni nchi ya kikristo dhehebu la Anglican. Ukija pale Marekani eneo la Minneapolis, Minnesota wamejazana Wasomali mji mzima utafikiri uko uarabuni, kiasi cha kuathiri wingi wa wakristo waliopo hapo.
Yanatokea haya yote lakini wakristo wengi uchagua Ugali dagaa kwenye amani kuliko Wali nyama vitani. Wakristo hawanaga shida na Waislamu, ila cha kushangaza ni kama Waislamu chokochoko yao dhidi ya wakristo inazidi kumea kila siku. Na viongozi wao ni kama wanachochea ubaguzi na udini.
Ni nadra sana kusikia kiongozi wa kikristo akidhihaki uislamu. Na muislamu yeye anaona fahari tu na kuchukulia poa kudhihaki ukristo, ila siku kiongozi mkristo akidhiaki uislamu, utasikia Takbir achinjwe akatwe kuchwa.
Mimi bado najiuliza hawa jamaa agenda ya dini yao uwa ni nini? Maana kama vile Amani sio vitu vyao, wao ushambulia dini nyingine kwa lengo la kuwatoa kwenye Imani zao na kuwabadirisha dini wengine hili wawe Waislamu. Na ndio maana Waislamu hawapendi binti wa kiislamu kuolewa na mkristo, na kama akiolewa na mkristo basi ambadilishe dini ila wanapenda binti wa kikristo akiolewa na muislamu lengo ni kumlimisha na watoto watakaozaliwa wawe Waislamu. Na hii ni moja wapo ya conflict za kidini pale India, Waislamu walikuwa wanaoa mabinti wa kihindu na kuwabadilisha dini lakini wanawakataza binti wa kiislamu wasiolewe na wahindi
Agenda ya Islam ni ku-conquer Dunia nzima na kumfanya kila mtu kuwa muislamu. Agenda yao ni kuwa wengi zaidi duniani, ndio maana wana kamsemo kao kila mtu anezaliwa muislamu 🤣🤣🤣. Na huu ujinga ni wakristo ndio wanaweza ku-tolerate, dini nyingine hawawezi
Tupendane, na kila mtu aheshimu mipaka ya dini yake, na sio ku-justify dini yako kwa kutukana au kuiponda dini ya mwingine
“Hakuna kulazimisha katika dini.” (Qurani 2:256)
“Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwa wema na waadilifu kwa wasio kupigana nanyi kwa sababu ya dini.” (Qurani 60:8)

“Mwenyezi Mungu hawakatazi kuwa wema na waadilifu kwa wasio kupigana nanyi.” (Qurani 60:8)
“Jadilini nao kwa njia iliyo bora zaidi.” (Qurani 29:46)
“Wapendeni adui zenu.” (Mathayo 5:44)
“Waueni wote…” (1 Samweli 15:3)
“Usimwache hai mchawi.” (Kutoka 22:18)
Talawanda ina maana gani?Ngoja kwanza nitafute talawanda zangu halafu nijadili vizuri hii "sledi"!
Wazaramo waislamu waliwakaribisha Dares Salaam , Leo tizama mji mlivyoufanya , wizi, umalaya, usenge , Ullevi, madanguro , ujambazi, utapeli na kila aina ya uchafu hayo ni matunda ya ukristoTuwe wakweli pale sokoni ukimkufuru Yesu au Mtume ni ipi nafasi yako ya kutoka ukiwa salama?
Au ile kauli ya Sheikh Mkata Vichwa igeuze ingekua imesemwa na watu wa upande wa pili.
Ukubali ukatae imani ya Kikristo ni rafiki kwa kila mtu, wema kwa wabaya wote tunawapokea.
Sisi jukumu la kuhukumu tumemuachia Mungu lakini nyinyi lipo mikononi mwenu. Kama tukisema tusipepese maneno basi tunaweza sema nguvu ya imani yenu ipo mikononi mwenu.
Imagine upo mfungo unamuona jirani yako anakula unatamani unakata bakora unamtembezea. Iko wapi imani yako.
Sisi tunafundisha mpende jirani yako kama unavyompenda Bwana Mungu wako. Hatujafundishwa mpende Mkristo. Hatujafundishwa Mkristo ndugu yake Mkristo. Ila nyie mnajua wenyewe...
Mkikaa wa Shia na Sunni kinahappen, mkikaa na Buddha kinahappen, mkikaa na Wahindu kinahappen.
Kinachongaza akitokea Muislamu anayeishi na kushirikiana vizuri na watu wa imani nyingine nyie wa imani kali mnamuweka kundi moja na so called MAKAFIRI.
Wakristo wana uvumilivu mkuu. Hao unaowaona mitandaoni wanatukana Waislamu hivi Waislamu that hakuna mwenye guts za kuchukua hata fimbo kumdhuru Muislamu ila upande wenu records zipo.
Anyway jambo la kushukukuru kadri siku zinavyoenda ndivyo mindest za waumini Wakristo kwa Waislamu zinabadilika. Binadamu tumeanza kutambua Ubinadamu kwanza dini inafata, tumeanza kutambua Mungu kwanza dini inafata.
KweliHivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo.
Nimefanya Tafiti (Observetional) yangu duniani kote, nikagundua wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuvumilia ujinga, ubaguzi, na matusi ya wavaa kobazi na dera nyeupe.
Nchi nyingine zenye dini tofauti na Ukristo haziwezi kabisa kuvumilia huu upumbavu. Ndio maana ukienda huko India Wahindu na Waislamu hawawezi kuishi pamoja kabisa. Hukienda kule Israel pia Wayahudi wanawapiga mkongoto Waislamu wa Palestina kila siku. Ukienda China maeneo ya Xinjiang na Yunnan shida ni Ile ile, ukienda nchi ya Mynamar Waislamu wanabaguliwa sana.
Dini kubwa hapa Duniani ni Ukristo, ndio dini inayoongoza kwa kuwa na wafuasi wengi hasa ukanda wa Ulaya, Africa na America kaskazini na America kusini.
Wakristo siku zote wamekuwa wakiwapokea Waislamu bila ubaguzi, inafika mpaka hatua Waislamu wanakimbia nchi zao zenye vita ya Jihad na vita za wao kwa wao, wanakimbilia nchi zenye wakristo. Sasa hivi nchi kama Marekani, Canada na nchi za ulaya zimepokea Waislamu wengi tu kiasi kwamba wavaa kobazi wengine wanaanza kudai sheria za kiislamu zifuatwe kwenye nchi hizo, mfano pale London Waislamu mpaka waliandamana kudai sheria za kiislamu (Sheria Law) zifuatwe, wakasahau kuwa Uingereza kiasili ni nchi ya kikristo dhehebu la Anglican. Ukija pale Marekani eneo la Minneapolis, Minnesota wamejazana Wasomali mji mzima utafikiri uko uarabuni, kiasi cha kuathiri wingi wa wakristo waliopo hapo.
Yanatokea haya yote lakini wakristo wengi uchagua Ugali dagaa kwenye amani kuliko Wali nyama vitani. Wakristo hawanaga shida na Waislamu, ila cha kushangaza ni kama Waislamu chokochoko yao dhidi ya wakristo inazidi kumea kila siku. Na viongozi wao ni kama wanachochea ubaguzi na udini.
Ni nadra sana kusikia kiongozi wa kikristo akidhihaki uislamu. Na muislamu yeye anaona fahari tu na kuchukulia poa kudhihaki ukristo, ila siku kiongozi mkristo akidhiaki uislamu, utasikia Takbir achinjwe akatwe kuchwa.
Mimi bado najiuliza hawa jamaa agenda ya dini yao uwa ni nini? Maana kama vile Amani sio vitu vyao, wao ushambulia dini nyingine kwa lengo la kuwatoa kwenye Imani zao na kuwabadirisha dini wengine hili wawe Waislamu. Na ndio maana Waislamu hawapendi binti wa kiislamu kuolewa na mkristo, na kama akiolewa na mkristo basi ambadilishe dini ila wanapenda binti wa kikristo akiolewa na muislamu lengo ni kumlimisha na watoto watakaozaliwa wawe Waislamu. Na hii ni moja wapo ya conflict za kidini pale India, Waislamu walikuwa wanaoa mabinti wa kihindu na kuwabadilisha dini lakini wanawakataza binti wa kiislamu wasiolewe na wahindi
Agenda ya Islam ni ku-conquer Dunia nzima na kumfanya kila mtu kuwa muislamu. Agenda yao ni kuwa wengi zaidi duniani, ndio maana wana kamsemo kao kila mtu anezaliwa muislamu 🤣🤣🤣. Na huu ujinga ni wakristo ndio wanaweza ku-tolerate, dini nyingine hawawezi
Tupendane, na kila mtu aheshimu mipaka ya dini yake, na sio ku-justify dini yako kwa kutukana au kuiponda dini ya mwingine
Hayo matatizo yalikuwepo tangu kabla ya ukristo kuingia Africa... Wizi umekuwepo toka enzi, umalaya ndio biashara kongwe zaidi duniani, ulevi kwani Gongo ililetwa na wakristo.Wazaramo waislamu waliwakaribisha Dares Salaam , Leo tizama mji mlivyoufanya , wizi, umalaya, usenge , Ullevi, madanguro , ujambazi, utapeli na kila aina ya uchafu hayo ni matunda ya ukristo
Hayo matatizo yalikuwepo tangu kabla ya ukristo kuingia Africa... Wizi umekuwepo toka enzi, umalaya ndio biashara kongwe zaidi duniani, ulevi kwani Gongo ililetwa na wakristo.
Umesahau kuwa muanzilishi wa biashara ya utumwa Africa alikuwa Muarabu aliyekuja na uislamu. Au hukusoma historia ya kina Sultan Sayyid Said na kina Tiptip pale Zanzibar... waliingia mpaka Bara kutafuta watumwa... wazungu kuja wakapenda hiyo biashara wakaanza kutumia waarabu kama madalali. Ukizungumzia usenge, waarabu ndio michezo yao. Misikitini na madrasa kila siku Masheikh wanakamatwa wakiwalawiti watoto au kuwabaka.
Hakuna mkristo aliyejileta Dar, watu waliletwa kama watumwa Dar es Salaam, na dini zikawakuta hapo.
Pia hivyo vitu vingine havitokani na dini bali shida za mtu binafsi...
Naamini upo sahihi. Nimeangalia India, Japan, waislamu hawatakiwi kabisa. Hua wanapata kipigo. Na wenyeji.Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo.