Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

Jishikilie vizuri usije ukawa gaidi siku moja, hili ni jukwaa huru unaloweza kupinga hoja kwa hoja. Huwezi kuwazuia watu kukosoa Ramadhani eti kisa wanaziumiza hisia zako,
Wapi nimewakataza hatujapinga kukosaa , hivi hauwajui Wagalatia wa humu au wewe kipofu ?

Wao wanakuja kuchokoza na kuwadhihaki ndio wengi wao . Mfano Kuna wa Waislamu kwa ajili ya kuekekezana mambo muhimu ya Ramadhani unakuta Galatia anakuja kuvamia na kuanza kutukana na kuongelea habari za kitimoto na mademu sasa hiyo ni constructive criticism au ni upungufu wa akili ?
 
Ahahah
 
1. Kukosa elimu. Mtu ambaye hajafika japo form six kwenda juu, ni rahisi sana kumjaza ujinga na kumpotosha kwasababu eneo lake la ufahamu wa mambo na kureason lipo empty. Ndio maana tunasisitiza wanajamii kuwapa watoto elimu bora nje ya hapo ni kutengeneza kizazi cha watu wajinga ambao wataishi kwa fikra za kipumbavu.

2. Religulous mindset: Wafia dini wengi ukiketi nao kuwahoji maswali ya msingi kuhusu chanzo na history ya imani zao wanazofuata unagundua hakuna wanachojua zaidi ya misimamo ya wanaume wenzao waliyojazwa. Kitu chochote ukikiconsume in excess kinageuka ulevi wenye madhara.

3. Culture consciousness: waislam wengi bado wana struggle eneo hili. Hawajui hizi mbwe mbwe zote ni kutaka kuwaambia wafrika wenzao kuwa wao ni waarabu.

Uislam 100% Arabic culture nothing special au religious kuhusu vitu ninaona vinafuatwa. Unavaa kanzu vazi la asili uarabuni halafu unasema no dini.

Unaongea kiarabu kupreach dini kwenye hadhira ya watu ambao wanazungumza kiswahili kama lugha mama,ili iweje? Kwanini usitumie kiswahili? Jibu ni simple,uwakala wa tamaduni za kiarabu, na ndio maana wakiwaona waarabu wanachanganyikiwa wakihisi ni wajumbe kutoka mbinguni na watu safi wasiotenda dhambi.

Ushawahi kutana na mswahili swala tano aliyeishia darasa la 3 anafanya kazi kwa muarabu au bohora,mzee utamuonea huruma namna anajipendekeza.

Tusomeshe sana watoto zetu ili wawe na ufahamu na exposure ya maisha na jamii sio kugeuza ujinga kuwa sehemu ya maisha yao matokeo yake wanateseka ukubwani na kugeuka tatizo kwenye jamii akiishi kwa kujishuku, kuropoka,kujistukia na kulazimisha wanajamii wenzao kuwaona wao ni muhimu zaidi kumbe ni kukosa akili na elimu sahihi.
 
Wewe ni mtu mwenye ngozi nyembamba(thin skinned) na delusional,
Jukwaa la mamilioni ya watu ambao tena ni anonymous na wanaweza kuchangia popote na vyovyote kadri wanavyojisikia mnataka mkae mfanye mijadala sijui maelekezo ya dini yenu kama vile mko msikitini! Hembu nenda kwenye banda la mpira la watu 20 tu hapo mtaani kwenu uone uropokaji wa watu na sampuli za kila aina ya binadamu.
 
Hizi hoja inabidi zijibiwe ku dilute sumu uliyopewa kwamba Waislamu wanachukiwa JF
1. Kuhusu nyuzi za ulawiti na ubakaji za viongozi wa dini; Hili ni suala la wingi wa kesi katika dini husika au wingi wa waumini wa dini husika jukwaani. Kama kesi ni nyingi kwa upande wa maustadh zitakuwa nyingi hapa jukwaani pia tofauti na za mapadri, pia kama Wagalatia ni wengi jukwaani tegemea uwepo wa nyuzi nyingi za kuukosoa Uislamu tofauti na Ukristo. Hata hivyo tumewahi kuona nyuzi nyingi sana za watu hapa jukwaani wakiwakejeli wakatoliki kutokana na mismamo ya Papa Francis Kuhusu ushoga n.k

2. Nyuzi za Ramadhani; Hili haliepukiki kwa sababu mwezi Ramadhani huja na kashikashi nyingi sana na taarifa nyingi mchanganyiko ikiwemo watu baadhi ya maeneo kuzuiwa kula hadharani, vyakula kupanda bei na hata Waislamu ambao huonekana kuachana na mabaya katika mwezi huu yote haya yanaibua mijadala tofauti.

3. Kejeli za Waislamu kutokusoma; Huu ni utani wenye ukweli kiasi ndani yake, katika nchi hii kwa sababu mbalimbali Wagalatia hasa Wakatoliki wamesoma zaidi, tunaweza tusijue gap likoje lakini ukweli na uhalisia ndio huo, hata hivyo huu ni utani kama ambavyo tu Wasukuma wanataniwa kuwa washamba, wachaga kuwa wezi, wapare kuwa wabahili, Wangoni kupenda ngono sana, Wakatoliki kuabudu sanamu n.k

4.Malalamiko Kuhusu udini katika teuzi; Hili ni suala la kawaida katika jamii yoyote mchanganyiko, tatizo Watanzania huwa hatupendi kujadili mambo sensitive kama haya hadharani kwa kufikiri ni faida kwetu au kuoneana aibu. Haya Malalamiko yako pande zote mbili za Ukristo na Uislamu na tatizo kubwa zaidi ni kwa sababu katiba yetu imempa mtu mmoja mamlaka makubwa ya uteuzi au kushawishi teuzi zifanyikaje karibia kila nafasi, siku tukiondokana na hili tatizo haya malalamiko yatapungua kama sio kuisha.

5. Kuhusu Wafanyabiashara wa media na movies za kidini; Hii ni petty ishu, hata hivyo mfano wako wa Hollywood sio sahihi kwa sababu wabongo wengi hasa wa uswazi sio wafuatiliaji sana wa maudhui ya Hollywood lakini wanakesha kufuatilia tamthilia za Kituruki.
 
Mbona waislam wengi tu wanakula kitimoto!!!! Unataka kusema hufahamu hilo????? Kitimoto ni chakula tu kama vyakula vingine.

Uliza wanaouza kitimoto wateja 50% hupungua wakati wa Ramadhan.
 
We nawe mbwembwe nyingi unaleta jangwa tu, hakuna watu wanaongoza kukosoa wenzao kama waislamu acha kujifanya mwema kwa kuandika insha

Hicho kipindi cha ramadhan mmesahau mlichotufanyia wakristo tena kule Zanzibar hadi mkawa mnanyanyasa watu na kuwapiga kisa wanakula sehemu za wazi ila kipindi cha quaresma ilikuwa fresh tu kwetu...

Na ndo wa kwanza pia kukosoa dini ya kikristo na kusema dini ni moja na ya haki ni uislamu tu au unadhani hatujui acha kutupiga kamba mkuu
 
Sikupingi
 
Umeweka Madini mazuri sana
 
Sema Mwisho umemalizia vizuri, mpaka nimekosa jibu la kukujibu
 
Watoto wako wanaakili sana , kama hautojali nipe koneksheni nimuoe mmoja wa Kike mambo yawe mazuri zaidi
Kwa nini Waislam wengi hawapendi watoto wao waolewe na wakristo, wakiolewa basi mnalazimisha mume abadilishwe dini
 
Asante
 
Jishikilie vizuri usije ukawa gaidi siku moja, hili ni jukwaa huru unaloweza kupinga hoja kwa hoja. Huwezi kuwazuia watu kukosoa Ramadhani eti kisa wanaziumiza hisia zako,
Asante
 
ndio wepi hao wavaa kobazi na dela jeupe? Halafu mnataka hao wenzenu waungane na nyinyi kiitukana serikali,washawagundua labda nyie mnamchukia serikali sababu ya kiongozi mkuu sio wa dini yenu.......
Hata Magufuli alikuwa mkristo na alipigwa vita... Hii haihusiani na Serikali

Hapa tunazungumzia dini zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…