Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

X mass ndo kitu gani mkuu..
 
fanya yako Mkuu acha kabisa udini hauna maana ukinyamaza kwani kuna shida gani??
 
Tena umenikumbusha,niende sasa hivi nikalipie kifurushi cha Azam cha elfu 28 ili nikahakikishe ni kweli usemayo.

Izi dini zilizoletwa kwenye majahazi zisituletee taabu mpaka kujazana chuki.
 
Mbona EATv kila siku inaleta kwaya lakini hata siku moja haileti maombi ya kiislamu. Mbona EATV huisemi kwakuwa inaleta kwaya na je star tv inaleta. Maombi ya kwaya lakini ya kiislamu haileti yote husemi
 
Hama mwenyewe mimi kama padre siwez kuangalia Agape Tv
 
Binafsi Mimi sio mpenzi wa TV ,

Ila kama wahusika wa hiyo Azam TV wanashindwa kuwapatia wateja wao wanachohitaji

Hayo ni makosa, wajirekebishe.

Kuweka mambo ya Christmas kwenye TV ambayo mmiliki ni wa imani nyingine haimfanyi mmiliki kuwa wa imani hiyo.

Awape tu wateja wake wanachohitaji. Mteja ni mfalme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…