50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Ule ugomvi unahusiana na _____.Ule ugomvi hauhusiani na IMANI.
Jazia hiyo mkuu tujue kama tunanza mjadala ama tuufunge..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule ugomvi unahusiana na _____.Ule ugomvi hauhusiani na IMANI.
Amen! Amen! Amen!Kutoka mitandaoni...
TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO.
Na Joshua Ntagala
Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu,
utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa ajili ya kutimiza mipamgo ya Mungu).
Wakati wa mfalme Sulemani Mungu alimwelekeza mfalme huyo ajenge hekalu na alimpa maelekezo ya kila hatua na namna ya kulijenga hekalu hilo.
Moja kati ya maelekezo hayo ni kuchinja NG"OMBE MKE MWEKUNDU,asiyekua na kipaku(doa) na kumchoma na majivu yake kuyatunza ili kutengeneza maji yanayoitwa maji ya FARAKANO ambayo yatatumika kulitakasa eneo ambapo hekalu hilo litajengwa(Hesb19:2,5-9).
Katika biblia kwa nyakati tofauti kuna mahekalu matatu ya sulemani
kitabu cha Nehemia kinazungumzia jinsi jitihada za kulijenga hekalu hilo zilivyokua.
Hekalu hilo la pili ndilo lililokuwepo mpaka wakati wa Yesu na katika vitabu vya injili tunaposoma habari za hekalu basi ni hili hekalu la pili linalozungumzwa hapo(Luka 2:46).
UNABII
Sikumoja Yesu alifika karibu na mji wa Yerusalemu akauona mji akaulilia na kutoa unabii huu "Halitasalia jiwe juu ya jiwe".
Akiwa na maana kwamba maadui wa israel watawapiga na kuusambaratisha mji wote kiasi cha kubomoa majengo yote yaliyomo humo ikiwa ni pamoja na hekalu hilo la pili (Luka19: 41-44).
Miaka 70 baadaye Yesu akiwa ameshapaa yapata miaka 30 hivi, hekalu hilo lilibomolewa tena na mwaka wa 125 taifa la israel lilisambaratishwa na kutawanywa kwa kipindi kirefu sana. Na eneo hilo lilikuja kukaliwa na waarabu na taifa la israel likawa halipo kabisa kwenye ramani ya dunia.
Lakini kama ilivyo,, taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu haliwezi kupotea au ardhi yake kuchukuliwa na mtu mwingine yeyote maana ni ardhi ya Mungu.
(Walawi 25:23) Neno kabisa kabisa kama lilivyotumika hapa linamaana : Hata wakija watu wengine katika ardhi hio haitakua yao kabisa.
Sasa hekalu la tatu linakuja kutajwa kua litakuwepo tena; na kwa maana hio litakuja kujengwa tena.
Hekalu la tatu sasa linakuja kutajwa katika (2thesoln 2 :1-4) ambapo mpinga kristo ataketi akijifanya kua kama Mungu
*(Ufunuo 11:1-2)
Eneo yalipokuwapo hayo mahekalu ( la 1 na la 2) ni katika mlima unaoitwa "moria" katika mlima huu ndipo Ibrahimu alipo mpeleka isaka kumchinja na badala yake Mungu akamwonesha mwanakondoo wa kumchinja
(Mwanzo 22:1-2)
Eneo hili linajulikana kwa jina "TAMPLE MOUNT" na kwa sasa upo msikiti mkubwa sana unaoitwa "al aqsa". Pia upo msikiti mwingine unaoitwa " The dom of the rock".
Msikiti wa al aqsa ni mahala pa 3 kwa utakatifu kwa wa islamu pakwanza pakiwa ni
1. Maka
2. Madina
3. al aqsa+ dom of the rock( inaoneaha ni jinsi gani eneo hilo kurudi mikononi mwa israel itakavyokua sio kazi rahisi,itapasa vita)
MKAKATI WA ISRAEL KURUDI KATIKA ARDHI YAO
Ilitabiriwa baadae israeli watarudi katika ardhi yao na baada ya kurudi itakapo timia miaka 70 watapewa milki ya ardhi yao
(Daniel 9:1-2)
(Yer29:10-11)
Maneno hayo yalitimia kama yalivyo
Mwaka 1948 waisrael walijikusanya kutoka pande zote za dunia na kurudi katika ardhi yao na ilipiganwa vita ya masaa machache sana takribani 6 tu nawaisrael kuchukua sehemu ya ardhi yao na mwaka huo 1948 ndipo lilitangazwa kuwapo taifa la israeli.
Miaka 70 baadae 1948+ 70= 2018
6/12/2017-- Rais Donald Trump alitangaza rasmi kuutambua mji wa yerusalemu kua makao makuu ya israel na mwaka 2018 alizindua ubalozi wa marekani mjini yerusalemu na unabii ukatimia kama ulivyo.
Dunia nzima tarehe 21/12/2017 ilikaa kikao cha umoja wa mataifa kumpinga Donald trump kwa uamzi huo ili litimie lile neno " THOUGH ALL NATIONS OF THE EARTH ARE GATHERED AGAINST JERUSALEM(Well translated in English)"(Zekaria12:1,3).
Siku hio ilipigwa kura na mataifa 128 wakailaani marekani na rais wake kwa uamzi huo na kuilaani israel pamoja na azimio hilo.
Katika Africa: Togo pekee ndio waliwasapoti israel.
Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi walikwepa kupiga kura
Inasikitisha Tanzania tulipiga kura kinyume cha israel na marekani).
Katika ulimwengu wa Roho nyakati hizi marekani atapingwa sana, Donald trump atapingwa sana na wewe unaweza kua miongoni mwa wanaompinga lakini leo umepata ufunuo huu usiwe miongoni mwa wanaompinga Trump kwa sababu Trump anaisupport Israel, ukimpinga/ kumlaani Trump una ilaani isarael na atakae ilaani israel atalaaniwa.
Sasa maandalizi ya kulijenga hekalu la 3 katika eneo hilo la al aqsa yanaendelea ,na vifaa vyote vinavyo hitajika katika ujenzi vimeshanunuliwa kwa msaada wa kanisa kote duniani na 10/9/2018 (jumatatu), lilitokea tukio la kushangaza tena kwani alizaliwa ng'ombe mke mwekundu asie na doa lolote kwa uchunguzi wa kina yaani DNA test .Hii inamaanisha ng"ombe huyo ni maalum kabisa kwa ajili ya kutengeneza maji ya farakano yatakayo tumika kulitakasa eneo ulipo msikiti huo wa al aqsa, kabla ya ujenzi wa hekalu la 3 kama tulivyoona katika maelekezo alopewa suleman wakati anajenga hekalu la Kwanza hesabu 19:1-9) 29/9/2019 msikiti wa al aqsa ulizuiliwa na jeshi la Israel na kuwazuia waislam wote kuingia kufanya ibada
Manaake nini? Itafikia Muda waislam watakosa uvumilivu wa kisiasa na kuamua kuingia vitani na kwa sababu ya vitendo hivyo vya israel,,na katika vita hio ndipo msikiti huo utavunjwa ili lijengwe hekalu la 3 ambalo kanisa likiwa tayari limekwisha kunyakuliwa mpinga kristo atafunuliwa na kuketi katika hekalu hilo akijifanya yeye kua ni Mungu.
2Thesoln 2: 1-12
Mstari wa 4: mpinga kristo hana budi kuinuka na kuketi katika hekalu
Mstari wa 6: linalo mzuia mpinga kristo kujulikana na kuinuka waziwazi ni kanisa (yaani watakao nyakuliwa) mpaka watakapo ondolewa,yaani watakapo nyakuliwa
mstari wa 7: lakini ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi, uasi umekithiri kuliko unavyoweza kufikiri,, ni kwa sababu tu upo Tanzania unaweza usijue uasi unaoendelea huko duniani kwa sasa, lakini kanisa linajitahidi kuuzuia huo uasi mpaka litakapo ondolewa (yaan litakapo nyakuliwa).
Mstari wa 8: baada ya kanisa kunyakuliwa ndipo atafunuliwa yule asi yaani mpinga kristo ili aketi katika hekalu la 3 litakalokua tayari limeshajengwa.
Kwahyo muda mfupi sana kabla ya kubomolewa msikiti huo tukio la unyakuo wa kanisa lapasa kua limeshafanyika ili kumpisha mpinga kristo afanye mambo yake kama ilivyo andikwa.
Kama tunavyofahamu,
SIKU WALA SAA ya kuja kwa mwana wa adamu hakuna aijuaye na Yesu ametuachia dalili tu zitakazoonesha kua hio siku i karibu.
Kumbuka hakuna ajuae kua vita itatokea lini na ni muda gani msikiti huo utabomolewa na nini kitakua chanzo kikuu cha vita hio baina ya palestina na israel.Sasa tunapoyaona hayo yakiendelea tunajua tupo mwishoni kwa kiasi gani, na kwa hivyo tujiweke tayari.
Tusizidiwe na ndege wa angani ambao wanajua majira ya kujiliwa kwao ( yeremia 8 :7).
Tunajua kutambua ishara za uso wa mbingu kwamba kutakua na dhoruba lakini ishara za siku za mwisho hatuwezi kuzitambua (mathayo 16:3).
Tuwe kama wana wa isakari watu wenye akili za kujua nyakati ili wajue ni lipi liwapasalo kutenda katika nyakati hizo (1 nyakati 12:32).
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NENO HILI AMBALO ROHO AYAAMBIA MAKANISA
(Ufunuo 22:11--12~~Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu;na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu;na mwenye haki na azidi kufanya haki;na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama naja upesi,na ujira wangu u pamoja nami,kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.) we
NB: SIYO WAKIRSTO TU HATA WALE AMBAO BADO HAWAJAMKULI YESU KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAO BASI MDA BADO UPO, KUBALI KUMPOKEA YESU LEO AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO.
Kumbuka Bado kitambo kidogo Mwana wa Adamu atakuja.
Ubarikiwe wewe uliesoma huu ujumbe. Natumaini umepata kitu.
Hujui unachoongea, waarabu sasa hivi wanageuka kumuamini Yesu(Issa bin Marium) wewe Tanzania wa kawaida uliyeletewa dini unapingaYesu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo
Ulicho andika hapa ni Matango pori uliyo lishwa na dini yako.
Bado hujakua kifikra.Hujui unachoongea,
Nakwambia hivi, Yesu huyo sijui Issa bin Marium Hayupo.waarabu sasa hivi wanageuka kumuamini Yesu(Issa bin Marium) wewe Tanzania wa kawaida uliyeletewa dini unapinga
Halafu hao israel huyo yesu hata hawamtambui lakini wanakwambia israel christians wenzaoukristo unaoujua umetokea kwa warumi,
israeli watu wengi ni waislamu, wayahudi,
acheni kukurupuka....
waisraeli hata hawana hayo mawazo ya 'taifa teule'
Mkuu kwenye andiko langu hili sijaonyesha sehemu ambayo Kuwa Israel ni WAKIRSTO nimesema ni Ishara na Kuna vitabu nimekuonyesha kama Reference Ili kuthibitisha.Halafu hao israel huyo yesu hata hawamtambui lakini wanakwambia israel christians wenzao
Wewe ndo hujakuwa kifikra, kabisa. Au tuseme huna imani ya MunguBado hujakua kifikra.
Bado kinda.
Nakwambia hivi, Yesu huyo sijui Issa bin Marium Hayupo.
Ni fiction, Imagination just an illusion.
Ukristo ulikuwepo kabla ya warumi,ukristo unaoujua umetokea kwa warumi,
israeli watu wengi ni waislamu, wayahudi,
acheni kukurupuka....
waisraeli hata hawana hayo mawazo ya 'taifa teule'
Unauliza?Ukristo ulikuwepo kabla ya warumi,
Hakuna sehemu ambayo kwenye Uzi huu Kuna uhusiano wa Dini kati ya Israel na PalestineHuu mgogoro hauhusiani sn na dini hizi pendwa km wengi tunavyodhani,
Imani ni kutokuwa na uhakikaWewe ndo hujakuwa kifikra, kabisa. Au tuseme huna imani ya Mungu
Kwan hiii vita imeanza leo, we u.ezaliwa umeikuta utakufa utaicha, kurudi kwa yesu haiusiani na vita ya israel na palestina banaaaaah tusidanganyane hamna mahali popote kwenye biblia inasema israel akipigana na palestina 2023 yesu anarudii ebu mtupumzishe sasaaaKutoka mitandaoni...
TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO.
Na Joshua Ntagala
Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu,
utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa ajili ya kutimiza mipamgo ya Mungu).
Wakati wa mfalme Sulemani Mungu alimwelekeza mfalme huyo ajenge hekalu na alimpa maelekezo ya kila hatua na namna ya kulijenga hekalu hilo.
Moja kati ya maelekezo hayo ni kuchinja NG"OMBE MKE MWEKUNDU,asiyekua na kipaku(doa) na kumchoma na majivu yake kuyatunza ili kutengeneza maji yanayoitwa maji ya FARAKANO ambayo yatatumika kulitakasa eneo ambapo hekalu hilo litajengwa(Hesb19:2,5-9).
Katika biblia kwa nyakati tofauti kuna mahekalu matatu ya sulemani
kitabu cha Nehemia kinazungumzia jinsi jitihada za kulijenga hekalu hilo zilivyokua.
Hekalu hilo la pili ndilo lililokuwepo mpaka wakati wa Yesu na katika vitabu vya injili tunaposoma habari za hekalu basi ni hili hekalu la pili linalozungumzwa hapo(Luka 2:46).
UNABII
Sikumoja Yesu alifika karibu na mji wa Yerusalemu akauona mji akaulilia na kutoa unabii huu "Halitasalia jiwe juu ya jiwe".
Akiwa na maana kwamba maadui wa israel watawapiga na kuusambaratisha mji wote kiasi cha kubomoa majengo yote yaliyomo humo ikiwa ni pamoja na hekalu hilo la pili (Luka19: 41-44).
Miaka 70 baadaye Yesu akiwa ameshapaa yapata miaka 30 hivi, hekalu hilo lilibomolewa tena na mwaka wa 125 taifa la israel lilisambaratishwa na kutawanywa kwa kipindi kirefu sana. Na eneo hilo lilikuja kukaliwa na waarabu na taifa la israel likawa halipo kabisa kwenye ramani ya dunia.
Lakini kama ilivyo,, taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu haliwezi kupotea au ardhi yake kuchukuliwa na mtu mwingine yeyote maana ni ardhi ya Mungu.
(Walawi 25:23) Neno kabisa kabisa kama lilivyotumika hapa linamaana : Hata wakija watu wengine katika ardhi hio haitakua yao kabisa.
Sasa hekalu la tatu linakuja kutajwa kua litakuwepo tena; na kwa maana hio litakuja kujengwa tena.
Hekalu la tatu sasa linakuja kutajwa katika (2thesoln 2 :1-4) ambapo mpinga kristo ataketi akijifanya kua kama Mungu
*(Ufunuo 11:1-2)
Eneo yalipokuwapo hayo mahekalu ( la 1 na la 2) ni katika mlima unaoitwa "moria" katika mlima huu ndipo Ibrahimu alipo mpeleka isaka kumchinja na badala yake Mungu akamwonesha mwanakondoo wa kumchinja
(Mwanzo 22:1-2)
Eneo hili linajulikana kwa jina "TAMPLE MOUNT" na kwa sasa upo msikiti mkubwa sana unaoitwa "al aqsa". Pia upo msikiti mwingine unaoitwa " The dom of the rock".
Msikiti wa al aqsa ni mahala pa 3 kwa utakatifu kwa wa islamu pakwanza pakiwa ni
1. Maka
2. Madina
3. al aqsa+ dom of the rock( inaoneaha ni jinsi gani eneo hilo kurudi mikononi mwa israel itakavyokua sio kazi rahisi,itapasa vita)
MKAKATI WA ISRAEL KURUDI KATIKA ARDHI YAO
Ilitabiriwa baadae israeli watarudi katika ardhi yao na baada ya kurudi itakapo timia miaka 70 watapewa milki ya ardhi yao
(Daniel 9:1-2)
(Yer29:10-11)
Maneno hayo yalitimia kama yalivyo
Mwaka 1948 waisrael walijikusanya kutoka pande zote za dunia na kurudi katika ardhi yao na ilipiganwa vita ya masaa machache sana takribani 6 tu nawaisrael kuchukua sehemu ya ardhi yao na mwaka huo 1948 ndipo lilitangazwa kuwapo taifa la israeli.
Miaka 70 baadae 1948+ 70= 2018
6/12/2017-- Rais Donald Trump alitangaza rasmi kuutambua mji wa yerusalemu kua makao makuu ya israel na mwaka 2018 alizindua ubalozi wa marekani mjini yerusalemu na unabii ukatimia kama ulivyo.
Dunia nzima tarehe 21/12/2017 ilikaa kikao cha umoja wa mataifa kumpinga Donald trump kwa uamzi huo ili litimie lile neno " THOUGH ALL NATIONS OF THE EARTH ARE GATHERED AGAINST JERUSALEM(Well translated in English)"(Zekaria12:1,3).
Siku hio ilipigwa kura na mataifa 128 wakailaani marekani na rais wake kwa uamzi huo na kuilaani israel pamoja na azimio hilo.
Katika Africa: Togo pekee ndio waliwasapoti israel.
Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi walikwepa kupiga kura
Inasikitisha Tanzania tulipiga kura kinyume cha israel na marekani).
Katika ulimwengu wa Roho nyakati hizi marekani atapingwa sana, Donald trump atapingwa sana na wewe unaweza kua miongoni mwa wanaompinga lakini leo umepata ufunuo huu usiwe miongoni mwa wanaompinga Trump kwa sababu Trump anaisupport Israel, ukimpinga/ kumlaani Trump una ilaani isarael na atakae ilaani israel atalaaniwa.
Sasa maandalizi ya kulijenga hekalu la 3 katika eneo hilo la al aqsa yanaendelea ,na vifaa vyote vinavyo hitajika katika ujenzi vimeshanunuliwa kwa msaada wa kanisa kote duniani na 10/9/2018 (jumatatu), lilitokea tukio la kushangaza tena kwani alizaliwa ng'ombe mke mwekundu asie na doa lolote kwa uchunguzi wa kina yaani DNA test .Hii inamaanisha ng"ombe huyo ni maalum kabisa kwa ajili ya kutengeneza maji ya farakano yatakayo tumika kulitakasa eneo ulipo msikiti huo wa al aqsa, kabla ya ujenzi wa hekalu la 3 kama tulivyoona katika maelekezo alopewa suleman wakati anajenga hekalu la Kwanza hesabu 19:1-9) 29/9/2019 msikiti wa al aqsa ulizuiliwa na jeshi la Israel na kuwazuia waislam wote kuingia kufanya ibada
Manaake nini? Itafikia Muda waislam watakosa uvumilivu wa kisiasa na kuamua kuingia vitani na kwa sababu ya vitendo hivyo vya israel,,na katika vita hio ndipo msikiti huo utavunjwa ili lijengwe hekalu la 3 ambalo kanisa likiwa tayari limekwisha kunyakuliwa mpinga kristo atafunuliwa na kuketi katika hekalu hilo akijifanya yeye kua ni Mungu.
2Thesoln 2: 1-12
Mstari wa 4: mpinga kristo hana budi kuinuka na kuketi katika hekalu
Mstari wa 6: linalo mzuia mpinga kristo kujulikana na kuinuka waziwazi ni kanisa (yaani watakao nyakuliwa) mpaka watakapo ondolewa,yaani watakapo nyakuliwa
mstari wa 7: lakini ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi, uasi umekithiri kuliko unavyoweza kufikiri,, ni kwa sababu tu upo Tanzania unaweza usijue uasi unaoendelea huko duniani kwa sasa, lakini kanisa linajitahidi kuuzuia huo uasi mpaka litakapo ondolewa (yaan litakapo nyakuliwa).
Mstari wa 8: baada ya kanisa kunyakuliwa ndipo atafunuliwa yule asi yaani mpinga kristo ili aketi katika hekalu la 3 litakalokua tayari limeshajengwa.
Kwahyo muda mfupi sana kabla ya kubomolewa msikiti huo tukio la unyakuo wa kanisa lapasa kua limeshafanyika ili kumpisha mpinga kristo afanye mambo yake kama ilivyo andikwa.
Kama tunavyofahamu,
SIKU WALA SAA ya kuja kwa mwana wa adamu hakuna aijuaye na Yesu ametuachia dalili tu zitakazoonesha kua hio siku i karibu.
Kumbuka hakuna ajuae kua vita itatokea lini na ni muda gani msikiti huo utabomolewa na nini kitakua chanzo kikuu cha vita hio baina ya palestina na israel.Sasa tunapoyaona hayo yakiendelea tunajua tupo mwishoni kwa kiasi gani, na kwa hivyo tujiweke tayari.
Tusizidiwe na ndege wa angani ambao wanajua majira ya kujiliwa kwao ( yeremia 8 :7).
Tunajua kutambua ishara za uso wa mbingu kwamba kutakua na dhoruba lakini ishara za siku za mwisho hatuwezi kuzitambua (mathayo 16:3).
Tuwe kama wana wa isakari watu wenye akili za kujua nyakati ili wajue ni lipi liwapasalo kutenda katika nyakati hizo (1 nyakati 12:32).
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NENO HILI AMBALO ROHO AYAAMBIA MAKANISA
(Ufunuo 22:11--12~~Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu;na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu;na mwenye haki na azidi kufanya haki;na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama naja upesi,na ujira wangu u pamoja nami,kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.) we
NB: SIYO WAKIRSTO TU HATA WALE AMBAO BADO HAWAJAMKULI YESU KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAO BASI MDA BADO UPO, KUBALI KUMPOKEA YESU LEO AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO.
Kumbuka Bado kitambo kidogo Mwana wa Adamu atakuja.
Ubarikiwe wewe uliesoma huu ujumbe. Natumaini umepata kitu.
Ujuaji mwingine ni mbaya na unatia aibu sana mbele za watu. Yaani alipozaliwa, alipobatizwa, kana ya Galilaya hadi kwenye lile.kaburi alilopumzishwa kupo ila bro unaleta ujuaji.Bado hujakua kifikra.
Bado kinda.
Nakwambia hivi, Yesu huyo sijui Issa bin Marium Hayupo.
Ni fiction, Imagination just an illusion.
Kwani dada Quran inaposema Issa Bin Maryam atakuja kuhukumu dunia ina maana gani?,
Wewe msubiri tu, ulijazwa mkenge na wayahudi kaa uendelee kungoja.
Nawashangaa na Waislam wengine waliotafsiri aya za Qur'an kwa porojo za bibilia nao wanamngoja Yesu arudi.
Mtasubiri sana.
We jamaa ni mweupe wa biblia hujui lolote wala unabii.soma yer 31:31 israel ya leo ni iko rohoni na si hawa wauaji.yesu anasema atafanya agano na watu wote na si taifa la israel.ile heshima waliokuwanao imeondolewa baada ya kumkana kristo na kupigwa na laana ndyo mana wanatangatanga hawana makao.ukiangalia wapalestina wakristo ndyo wengi kulikn wayahud wakristo
Una uthibitisho wa yesu huyo na sura yake na muonekano wake halisi?Ujuaji mwingine ni mbaya na unatia aibu sana mbele za watu. Yaani alipozaliwa, alipobatizwa, kana ya Galilaya hadi kwenye lile.kaburi alilopumzishwa kupo ila bro unaleta ujuaji.
Aliyekwambia wahindi wana amini yesu alikuwepo ni nani?Watu wa kila Taifa hadi wana Historia mashuhuri akina Joseph wanasema alikuwepo Duniani. Wahindi wanasema alikuwepo na akaenda ishi na kuoa kwako. Waarabu na Waislamu kwa ujumla inasema ndiye Issa bin Maryam na alikuwepo ila kajamaa kamoja kapo zake Nyakatuntu Keisho Karagwe kanasema ni fiction.
Biblia inasema wazi kuwa "Habari za mwana wa Mungu aliyezaliwa kwa jinsi ya mwili kwenye ukoo wa Daudi"
We pinga, kuwa mjuaji na kiburi cha uzima kikudanganye ila mtu yule ni kweli alikuwa kwa jinsi ya Mwili. Kijana yule aliyekuwa anavaa kanzu nyeupe, anafunga mshipi wa Khakhi kiunoni alikuwa kwa jinsi ya mwili. Miaka na miaka ana watu zaidi ya Bilions wanaomfuata alikuwepo. Alikufa, akafufuka na hata sasa ukiemda pale Yerusalam watakuomesha lilipokuwa kaburi lake. Usidanganyike na kiburi cha Uzima, Mwana wa Mmiliki ni kweli na halisia.