Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

Amen! Amen! Amen!
 
Yesu huyo Hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo

Ulicho andika hapa ni Matango pori uliyo lishwa na dini yako.
Hujui unachoongea, waarabu sasa hivi wanageuka kumuamini Yesu(Issa bin Marium) wewe Tanzania wa kawaida uliyeletewa dini unapinga
 
Halafu hao israel huyo yesu hata hawamtambui lakini wanakwambia israel christians wenzao
Mkuu kwenye andiko langu hili sijaonyesha sehemu ambayo Kuwa Israel ni WAKIRSTO nimesema ni Ishara na Kuna vitabu nimekuonyesha kama Reference Ili kuthibitisha.
 
Bado hujakua kifikra.

Bado kinda.

Nakwambia hivi, Yesu huyo sijui Issa bin Marium Hayupo.

Ni fiction, Imagination just an illusion.
Wewe ndo hujakuwa kifikra, kabisa. Au tuseme huna imani ya Mungu
 
Huu mgogoro hauhusiani sn na dini hizi pendwa km wengi tunavyodhani,
 
Kwan hiii vita imeanza leo, we u.ezaliwa umeikuta utakufa utaicha, kurudi kwa yesu haiusiani na vita ya israel na palestina banaaaaah tusidanganyane hamna mahali popote kwenye biblia inasema israel akipigana na palestina 2023 yesu anarudii ebu mtupumzishe sasaaa
 
We jamaa ni mweupe wa biblia hujui lolote wala unabii.soma yer 31:31 israel ya leo ni iko rohoni na si hawa wauaji.yesu anasema atafanya agano na watu wote na si taifa la israel.ile heshima waliokuwanao imeondolewa baada ya kumkana kristo na kupigwa na laana ndyo mana wanatangatanga hawana makao.ukiangalia wapalestina wakristo ndyo wengi kulikn wayahud wakristo
 
Bado hujakua kifikra.

Bado kinda.

Nakwambia hivi, Yesu huyo sijui Issa bin Marium Hayupo.

Ni fiction, Imagination just an illusion.
Ujuaji mwingine ni mbaya na unatia aibu sana mbele za watu. Yaani alipozaliwa, alipobatizwa, kana ya Galilaya hadi kwenye lile.kaburi alilopumzishwa kupo ila bro unaleta ujuaji.

Watu wa kila Taifa hadi wana Historia mashuhuri akina Joseph wanasema alikuwepo Duniani. Wahindi wanasema alikuwepo na akaenda ishi na kuoa kwako. Waarabu na Waislamu kwa ujumla inasema ndiye Issa bin Maryam na alikuwepo ila kajamaa kamoja kapo zake Nyakatuntu Keisho Karagwe kanasema ni fiction.

Biblia inasema wazi kuwa "Habari za mwana wa Mungu aliyezaliwa kwa jinsi ya mwili kwenye ukoo wa Daudi"

We pinga, kuwa mjuaji na kiburi cha uzima kikudanganye ila mtu yule ni kweli alikuwa kwa jinsi ya Mwili. Kijana yule aliyekuwa anavaa kanzu nyeupe, anafunga mshipi wa Khakhi kiunoni alikuwa kwa jinsi ya mwili. Miaka na miaka ana watu zaidi ya Bilions wanaomfuata alikuwepo. Alikufa, akafufuka na hata sasa ukiemda pale Yerusalam watakuomesha lilipokuwa kaburi lake. Usidanganyike na kiburi cha Uzima, Mwana wa Mmiliki ni kweli na halisia.
 
,

Wewe msubiri tu, ulijazwa mkenge na wayahudi kaa uendelee kungoja.

Nawashangaa na Waislam wengine waliotafsiri aya za Qur'an kwa porojo za bibilia nao wanamngoja Yesu arudi.

Mtasubiri sana.
Kwani dada Quran inaposema Issa Bin Maryam atakuja kuhukumu dunia ina maana gani?
 

Unadanganya au kupotosha kwa makusudi. Israel ya Rohoni ni ipi hiyo? Pia unashindwa kujua kutofautisha kati ya Israel (nchi/Ardhi) na Waisrael(Taifa/watu)
 
Ujuaji mwingine ni mbaya na unatia aibu sana mbele za watu. Yaani alipozaliwa, alipobatizwa, kana ya Galilaya hadi kwenye lile.kaburi alilopumzishwa kupo ila bro unaleta ujuaji.
Una uthibitisho wa yesu huyo na sura yake na muonekano wake halisi?

Nakwambia hivi zile picha zinazo daiwa kwamba ni Yesu ni picha za kutengenezwa..

Yesu hayupo na hajawahi kuwepo.


Aliyekwambia wahindi wana amini yesu alikuwepo ni nani?

Kwanza unajua dini za wahindi ni zipi?

Au una okoteza stori za vilabuni huko kwamba wahindi wana amini yesu huyo yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…