Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

Wacha weeeee. Nianze na kukujibu kipi mzee. Sura ya Yesu kwenye zile picha. Hata mwanangu wa P3 anajua yule sio. Ila uwepo wa sura iwe hata fiction inamaanisha wanataka kuthibitisha alikuwa kwa jinsi ya mwili.

Yaani mkuu wale maelfu wanaoenda kuhiji pale Yerusalem ni wehu na wanapoyeza pesa na mida wao kwenda kuhiji kwenye kitu ambacho ni fiction? Je lile kaburi, sehemu alipozaliwa, sehemu aliyobatizwa, Golgota, bustani ya Getsemane. Yaani wasomi wote na wanahistoria nguli waliothibitisha uwepo wake we hayawani mmoja unakuja pinga bila fact wala ushahidi.

Wahindi na kuamini Yesu alikuwa mmoja wapo wa Monk wa kibudha. Hilo pasi na mashaka wanasema hilo. Nina ushahidi nalo asilimia 100.

Kuthibitisha Yesu alikuwepo. Naona unaongeza server tu za JF. Watu zaidi ya Bilioni 2 kwa sasa wanaamini Yesu alikuwepo. Haihitaji mwehu mmoja anayetumia JF tena amejificha kwenye fake ID kuthibitisha yupo. Kwa umri wangu, sio wewe tu hata Shetani na mapepo yenyewe hayawezi nidanganya eti Mtu yule wa Haki ni fiction. Hawawezi nidangaya kuwa mwana wa mmiliki ni fiction. Yesu ni kweli na halisi. Kwangu mimi unajifurahisha tu, huwezi kuniadaa ng'ooooooo kuhusu Yesu. Macho yangu yameshuhudia matendo Makuu aliyonitendea. Kwa Macho yangu nimeona kwa jina lake Viwete wakitembea, vipofu wakiona, viziwi wakisikia, magonjwa yakiponywa. Hii sihitaji mtu yoyote anithibitishie. Pole, jaribu kwa wengine.
 
Bwana Yesu angakuja hata jana kabla kile kisainiwe
 
🚮 Una andika pumba tu..

Nakwambia hivi Yesu huyo hayupo na hata uwezekano wa kuwepo kwake Haupo.
 
Hii kwanza ndogo zilikuwepo kubwa sana hepu acha upuuzi
 
Bwana Yesu husinipite naomba unipe mwisho mwema nikujue wewe uniokoe unitoe kwenye dhambi nakuomba Bwana Yesu husiniache kwenye ufalme wako siku ya unyakuo na mimi niwe miongoni mwao hao wateule Eeh Yesu nisaidie nihurumie mimi mwanao
 
Bwana Yesu husinipite naomba unipe mwisho mwema nikujue wewe uniokoe unitoe kwenye dhambi nakuomba Bwana Yesu husiniache kwenye ufalme wako siku ya unyakuo na mimi niwe miongoni mwao hao wateule Eeh Yesu nisaidie nihurumie mimi mwanao
Amina Mtumishi. Mungu akutimizie hitaji lako.
 
Mungu aliumba dunia yote, halafu akaachagua nchi moja ndo iwe takatifu? Kwamba Mungu ni mbaguzi kiasi hicho?
 

JE, UNAFIKIRI HUYO MPINGA KRISTO ALIYEBIRIWA NI NANI ??
 
Tatizo watu wanasoma biblia kama kitabu cha hadithi za alfa lela ulela which is totally wrong, matokeo yake ndio kuja tafsiri na chambuzi za ovyo kama hizi.
 
Daah[emoji25]
 
Mungu aliumba dunia yote, halafu akaachagua nchi moja ndo iwe takatifu? Kwamba Mungu ni mbaguzi kiasi hicho?
Nchi zote duniani huchagua mji mmoja na kuuita mji mkuu. Hivyo Mungu naye long time kitambo aliamua Israel/Jerusalem iwe ndo patakatifu pake/mji mkuu wake wa kujifunua hapa duniani hivyo hamna la ajabu hapo labda tu ulete ule ubishi ubishi.
 
😂😂 nimesoma “Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke” na “Ubarikiwe wewe uliesoma huu ujumbe. Natumaini umepata kitu”
Lakini nikuthibitishie kuwa nadharia ya yesu kurudi tulipigwa
 
😂😂 TULIPIGWA
 
Hadithi za yesu hazina tofauti na zile za sungura na fisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…