Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

Hadithi za kitoto hizi
 
Umenena vema kabisa, muda wowote unyakuo unaweza tokea, kila kilichosemwa kwenye biblia kimeshatokea na mengine yanatokea.
 
Pole sana, kwani utakuwa overtaken na events zinazokaribia kutokea.
 
Usikute viongozi wanakwiba pesa kila uchao halafu sisi tunaambiwa tumsubir Yesu aje atukomboe huu ni USHUZI
 
Wakina mwamposa, suguye, upako, etc woote hawa wanahubiri ujio wa Yesu huku wakiwaambia waumini wawe na subra huku wao wakitembelea magari ya kifahari wakiwafukarsha waumini wengine kule shakahola wakaambiwa wafunge hadi kufa waende mbinguni, huko uganda kibwetere aliwachoma waumini baada ya kukusanya mali na fedha zao UPUMBAV mtupu ukienda hata huko Israel kwenyewe wanakula bata matajiri wa kufa mtu wanapora mali zetu kila uchao kupitia makampuni yao. Lakini mwananchi wa Liganga na mchuchuma anamsubiri YESU wa Nazareti huku akifia kwenye jiko la kuni chakula chake maboga na matunda pori kama tumbili USHENZI MTUPU.

Ukienda kule uarabuni waarabu nao wanatiwa changa la macho la kuwa watiifu ukiiba unakatwa mkono lakini VIONGOZI WAO HASA WAFALME ni majambazi na wauaji na wamejilimbikizia mali za kufa mtu wananchi wamewageuza vikaragosi wakihoji chochote wanaambiwa wameenda kinyume na hadithi za mtume yaani ni upuuzi juu ya upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…