Clemence Mwandambo
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 1,378
- 1,427
Vitabu vyenu vya dini vi.ewatia ujinga akili zimepotea. Heri utumwa wa kufungwa minyiroro kuliko utumwa wa kidini ambao utumwa wa kifikra.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upumbavu mtupu aliyekaa na kuandika hili bandiko ni wa kupigwa makofiKutoka mitandaoni...
TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO.
Na Joshua Ntagala
Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu,
utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa ajili ya kutimiza mipamgo ya Mungu).
Wakati wa mfalme Sulemani Mungu alimwelekeza mfalme huyo ajenge hekalu na alimpa maelekezo ya kila hatua na namna ya kulijenga hekalu hilo.
Moja kati ya maelekezo hayo ni kuchinja NG"OMBE MKE MWEKUNDU,asiyekua na kipaku(doa) na kumchoma na majivu yake kuyatunza ili kutengeneza maji yanayoitwa maji ya FARAKANO ambayo yatatumika kulitakasa eneo ambapo hekalu hilo litajengwa(Hesb19:2,5-9).
Katika biblia kwa nyakati tofauti kuna mahekalu matatu ya sulemani
kitabu cha Nehemia kinazungumzia jinsi jitihada za kulijenga hekalu hilo zilivyokua.
Hekalu hilo la pili ndilo lililokuwepo mpaka wakati wa Yesu na katika vitabu vya injili tunaposoma habari za hekalu basi ni hili hekalu la pili linalozungumzwa hapo(Luka 2:46).
UNABII
Sikumoja Yesu alifika karibu na mji wa Yerusalemu akauona mji akaulilia na kutoa unabii huu "Halitasalia jiwe juu ya jiwe".
Akiwa na maana kwamba maadui wa israel watawapiga na kuusambaratisha mji wote kiasi cha kubomoa majengo yote yaliyomo humo ikiwa ni pamoja na hekalu hilo la pili (Luka19: 41-44).
Miaka 70 baadaye Yesu akiwa ameshapaa yapata miaka 30 hivi, hekalu hilo lilibomolewa tena na mwaka wa 125 taifa la israel lilisambaratishwa na kutawanywa kwa kipindi kirefu sana. Na eneo hilo lilikuja kukaliwa na waarabu na taifa la israel likawa halipo kabisa kwenye ramani ya dunia.
Lakini kama ilivyo,, taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu haliwezi kupotea au ardhi yake kuchukuliwa na mtu mwingine yeyote maana ni ardhi ya Mungu.
(Walawi 25:23) Neno kabisa kabisa kama lilivyotumika hapa linamaana : Hata wakija watu wengine katika ardhi hio haitakua yao kabisa.
Sasa hekalu la tatu linakuja kutajwa kua litakuwepo tena; na kwa maana hio litakuja kujengwa tena.
Hekalu la tatu sasa linakuja kutajwa katika (2thesoln 2 :1-4) ambapo mpinga kristo ataketi akijifanya kua kama Mungu
*(Ufunuo 11:1-2)
Eneo yalipokuwapo hayo mahekalu ( la 1 na la 2) ni katika mlima unaoitwa "moria" katika mlima huu ndipo Ibrahimu alipo mpeleka isaka kumchinja na badala yake Mungu akamwonesha mwanakondoo wa kumchinja
(Mwanzo 22:1-2)
Eneo hili linajulikana kwa jina "TAMPLE MOUNT" na kwa sasa upo msikiti mkubwa sana unaoitwa "al aqsa". Pia upo msikiti mwingine unaoitwa " The dom of the rock".
Msikiti wa al aqsa ni mahala pa 3 kwa utakatifu kwa wa islamu pakwanza pakiwa ni
1. Maka
2. Madina
3. al aqsa+ dom of the rock( inaoneaha ni jinsi gani eneo hilo kurudi mikononi mwa israel itakavyokua sio kazi rahisi,itapasa vita)
MKAKATI WA ISRAEL KURUDI KATIKA ARDHI YAO
Ilitabiriwa baadae israeli watarudi katika ardhi yao na baada ya kurudi itakapo timia miaka 70 watapewa milki ya ardhi yao
(Daniel 9:1-2)
(Yer29:10-11)
Maneno hayo yalitimia kama yalivyo
Mwaka 1948 waisrael walijikusanya kutoka pande zote za dunia na kurudi katika ardhi yao na ilipiganwa vita ya masaa machache sana takribani 6 tu nawaisrael kuchukua sehemu ya ardhi yao na mwaka huo 1948 ndipo lilitangazwa kuwapo taifa la israeli.
Miaka 70 baadae 1948+ 70= 2018
6/12/2017-- Rais Donald Trump alitangaza rasmi kuutambua mji wa yerusalemu kua makao makuu ya israel na mwaka 2018 alizindua ubalozi wa marekani mjini yerusalemu na unabii ukatimia kama ulivyo.
Dunia nzima tarehe 21/12/2017 ilikaa kikao cha umoja wa mataifa kumpinga Donald trump kwa uamzi huo ili litimie lile neno " THOUGH ALL NATIONS OF THE EARTH ARE GATHERED AGAINST JERUSALEM(Well translated in English)"(Zekaria12:1,3).
Siku hio ilipigwa kura na mataifa 128 wakailaani marekani na rais wake kwa uamzi huo na kuilaani israel pamoja na azimio hilo.
Katika Africa: Togo pekee ndio waliwasapoti israel.
Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi walikwepa kupiga kura
Inasikitisha Tanzania tulipiga kura kinyume cha israel na marekani).
Katika ulimwengu wa Roho nyakati hizi marekani atapingwa sana, Donald trump atapingwa sana na wewe unaweza kua miongoni mwa wanaompinga lakini leo umepata ufunuo huu usiwe miongoni mwa wanaompinga Trump kwa sababu Trump anaisupport Israel, ukimpinga/ kumlaani Trump una ilaani isarael na atakae ilaani israel atalaaniwa.
Sasa maandalizi ya kulijenga hekalu la 3 katika eneo hilo la al aqsa yanaendelea ,na vifaa vyote vinavyo hitajika katika ujenzi vimeshanunuliwa kwa msaada wa kanisa kote duniani na 10/9/2018 (jumatatu), lilitokea tukio la kushangaza tena kwani alizaliwa ng'ombe mke mwekundu asie na doa lolote kwa uchunguzi wa kina yaani DNA test .Hii inamaanisha ng"ombe huyo ni maalum kabisa kwa ajili ya kutengeneza maji ya farakano yatakayo tumika kulitakasa eneo ulipo msikiti huo wa al aqsa, kabla ya ujenzi wa hekalu la 3 kama tulivyoona katika maelekezo alopewa suleman wakati anajenga hekalu la Kwanza hesabu 19:1-9) 29/9/2019 msikiti wa al aqsa ulizuiliwa na jeshi la Israel na kuwazuia waislam wote kuingia kufanya ibada
Manaake nini? Itafikia Muda waislam watakosa uvumilivu wa kisiasa na kuamua kuingia vitani na kwa sababu ya vitendo hivyo vya israel,,na katika vita hio ndipo msikiti huo utavunjwa ili lijengwe hekalu la 3 ambalo kanisa likiwa tayari limekwisha kunyakuliwa mpinga kristo atafunuliwa na kuketi katika hekalu hilo akijifanya yeye kua ni Mungu.
2Thesoln 2: 1-12
Mstari wa 4: mpinga kristo hana budi kuinuka na kuketi katika hekalu
Mstari wa 6: linalo mzuia mpinga kristo kujulikana na kuinuka waziwazi ni kanisa (yaani watakao nyakuliwa) mpaka watakapo ondolewa,yaani watakapo nyakuliwa
mstari wa 7: lakini ile siri ya kuasi hivi sasa inatenda kazi, uasi umekithiri kuliko unavyoweza kufikiri,, ni kwa sababu tu upo Tanzania unaweza usijue uasi unaoendelea huko duniani kwa sasa, lakini kanisa linajitahidi kuuzuia huo uasi mpaka litakapo ondolewa (yaan litakapo nyakuliwa).
Mstari wa 8: baada ya kanisa kunyakuliwa ndipo atafunuliwa yule asi yaani mpinga kristo ili aketi katika hekalu la 3 litakalokua tayari limeshajengwa.
Kwahyo muda mfupi sana kabla ya kubomolewa msikiti huo tukio la unyakuo wa kanisa lapasa kua limeshafanyika ili kumpisha mpinga kristo afanye mambo yake kama ilivyo andikwa.
Kama tunavyofahamu,
SIKU WALA SAA ya kuja kwa mwana wa adamu hakuna aijuaye na Yesu ametuachia dalili tu zitakazoonesha kua hio siku i karibu.
Kumbuka hakuna ajuae kua vita itatokea lini na ni muda gani msikiti huo utabomolewa na nini kitakua chanzo kikuu cha vita hio baina ya palestina na israel.Sasa tunapoyaona hayo yakiendelea tunajua tupo mwishoni kwa kiasi gani, na kwa hivyo tujiweke tayari.
Tusizidiwe na ndege wa angani ambao wanajua majira ya kujiliwa kwao ( yeremia 8 :7).
Tunajua kutambua ishara za uso wa mbingu kwamba kutakua na dhoruba lakini ishara za siku za mwisho hatuwezi kuzitambua (mathayo 16:3).
Tuwe kama wana wa isakari watu wenye akili za kujua nyakati ili wajue ni lipi liwapasalo kutenda katika nyakati hizo (1 nyakati 12:32).
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NENO HILI AMBALO ROHO AYAAMBIA MAKANISA
(Ufunuo 22:11--12~~Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu;na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu;na mwenye haki na azidi kufanya haki;na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama naja upesi,na ujira wangu u pamoja nami,kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.) we
NB: SIYO WAKIRSTO TU HATA WALE AMBAO BADO HAWAJAMKULI YESU KUWA MWOKOZI WA MAISHA YAO BASI MDA BADO UPO, KUBALI KUMPOKEA YESU LEO AWE BWANA NA MWOKOZI WAKO.
Kumbuka Bado kitambo kidogo Mwana wa Adamu atakuja.
Ubarikiwe wewe uliesoma huu ujumbe. Natumaini umepata kitu.
Sio kwamba ni ishara nzuri kuwa Hakuna Mungu!?Kutoka mitandaoni...

Baby kumbe upo "DEEP" kwenye mambo ya kikanisa!!!!ukristo unaoujua umetokea kwa warumi,
israeli watu wengi ni waislamu, wayahudi,
acheni kukurupuka....
waisraeli hata hawana hayo mawazo ya 'taifa teule'
Ujumbe umekufikia ni juu yako Kuokoka au kukataaMpfyuuuuu. Ngoja niondoke kabla ya kutapishwa bure na huu ushuuuzi na utopoloo
Ni Mawazo yako.Vitabu vyenu vya dini vi.ewatia ujinga akili zimepotea. Heri utumwa wa kufungwa minyiroro kuliko utumwa wa kidini ambao utumwa wa kifikra.
Mungu akurehemu maana hulitambui ulisemalo.Upumbavu mtupu aliyekaa na kuandika hili bandiko ni wa kupigwa makofi
Mavi matupu!!!
Siyo. Ni Ishara Kuwa Kuna Mungu na piah mandiko yake yanatimia.Sio kwamba ni ishara nzuri kuwa Hakuna Mungu!?
Kwanza Elewa hamna sehemu ambayo nimesema Kuwa Israel ni WAKIRSTO na Sijasema Kuwa naitetea Israel.Ukristo wako unapotosha maandiko KABISAAAAA.
1. Utakatifu wa Taifa la Israeli ni upi?
2. Mungu analitunia Taifa hili kwa jambo gani?
3. Je wewe unamwani Yesu kuwa ni Masihi na Mwokozi ? Na je Israeli inamwamini kama nani?
Hebu soma maneno haya halafu useme yalikuwa yanamaanisha nini?
Daniel 9:23-27
"27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
Danieli 9:27
37 Ee Yerusalemu, Yerusalemu, uwauaye manabii, na kuwapiga kwa mawe wale waliotumwa kwako! Ni mara ngapi nimetaka kuwakusanya pamoja watoto wako, kama vile kuku avikusanyavyo pamoja vifaranga vyake chini ya mabawa yake, lakini hamkutaka!
38 Angalieni, nyumba yenu mmeachiwa hali ya ukiwa.
Mathayo 23:37-38
Acha kujidanganya Iseaeli ni taifa sawa na Congo au Japan wote ni sawa machoni pa Mungu .
Wote tunaokolewa kwa Neema ya Yesu wao ni sawa na palestina tu.
Wao walipewe jukumu la kumtanga Mungu na ujio wa Masihi Yesu, walipewa mausia ya Mungu wayafundishe , wakipewa taurati ili iwafikie mataifa yote tena manabii wengi walitoka kwao ,LAKINI walikataa.
Imeandikwa hivi
"
3 Kwa maana ningeweza kuomba mimi mwenyewe niharimishwe na kutengwa na Kristo kwa ajili ya ndugu zangu, jamaa zangu kwa jinsi ya mwili;
4 ambao ni Waisraeli, wenye kule kufanywa wana, na ule utukufu, na maagano, na kupewa torati, na ibada ya Mungu, na ahadi zake;
5 ambao mababu ni wao, na katika hao alitoka Kristo kwa jinsi ya mwili. Ndiye aliye juu ya mambo yote, Mungu, mwenye kuhimidiwa milele. Amina.
Warumi 9:3-5
Soma vizuri imani yako ikishaanza kubagua na kuwainua wengine kuwa bora kuliko wengine hiyo haitokani na Mungu. Isareli ataokolewa kwa taraja ikiwa atachagua, hata hivyo Mungu amejibakizia masalio katika Israeli ambao wewe umepandikizwa kama mzabibu pori
Kuamini na Kutoa amini ni juu yako.Unapotosha
Ipo siku hizi Hadithi zitakua kweli.Hadithi za abunuwasi...😂😅😆😹🤣😸🤭
Well Said.Yesu hatorudi, kama angekuwa wa kuja/kurudi angesharudi zamani sana enzi za machafuko na enzi za kupigwa kwa hao waisrael feki kule ujeruman na bwana hitra.
Mtasubiri sana na mtangoja sana huyo yesu hatokuja, kwanini nasema hatorudi? , kwa sababu Injili ya Yesu haina sifa ya kuokoa ulimwengu wala kuuadhibu/kuhukumu dunia kwakua hii dunia ina maelfu ya dini/miungu ambayo watu wanaabudu nje ya ukristo, pili kuna idadi kubwa ya watu ambao hawaujui huo ukristo na hawana muda nao hawa nao Yesu akirudi atawahukumu vip maana hawajawai kufikiwa na hiyo injili yenu ya ukristo.
Hii dunia ni kubwa msijidanganye tu ukitoka nje na kufika mijini kwamba dunia ndio imeishia hapo, kuna maelfu ya jamii ambazo kwa tamaduni zao hawajui hata kama kuna kiumbe kinaitwa yesu zaid ya kusikia ktk media ama sherehe za Christmas.
Pili huyo yesu hatorudi kwa maana hakuna mfuasi wa yesu hata mmoja anaejua yesu yuko vipi, hata uwe wewe huwezi kusema unarudi mahala ambako hukumbukwi wala hujulikani, hakuna hata mmoja anaejua yesu anaonekana vip, zaid ya kusingizia sijui Yesu ni roho sjui vitu gan na sababu za kijinga, Yesu hata akirudi leo hii hakuna hata mmoja atakaemtambua maana aliacha utata wa muonekano wake, utata wa jamii yake na uhalisia wake, akija leo hii walokoloe ndio watakuwa nambari moja kumsurubisha maana watadai sio yule waliyeamini ndiye.
Walokole wote pamoja na wakristo wanajua Yesu ni aina ya kiumbe fulani cha kutisha chenye muonekano wa mzungu/mwarabu akiwa ktk mavazi ya kanzu/ muonekano ambao watu wamejazwa na media/movies/katuni za roman church.
Hivyo ndivyo watu wanamsubiri yesu wa aina hiyo ambaye kiuhalisia hajawai kuwepo, hivyo mtamsubiri sana na hatorudi maana hana existence yoyote dunian kulingana na mawazo+fikra zenu.
Mambo ya mwisho wa dunia hayawezi kuwa predicted na vita za wazungu+waarabu maana mara nyingi hizo vita zinatengenezwa kwa maslahi mapana ya wajanja wachache wenye ajenda zao za kiuchumi+kisiasa.
Dunia itakuwa predicted kuwa inafikia mwisho pale tu matukio ya kufutika kwa Asili ya dunia yatakapotokea, na matukio hayo hayawezi kuonekana hiyo israel ya uongo iliyoundwa na wazungu.
Muda bado msiwatishe watu, dunia bado ina safari ndefu sana, hakuna mwisho utakao tokea hivi punde bali kuna maisha marefu, msitishwe na hayo matukio ya wagomvi wa hapo middle east na vurugu zingine dunian.
Ndo Africa tunasumbuliwa na huu Ujinga Sijasoma alafu hapo hapo unatoa Judgement Huku ukiwa hujasoma kilicho andikwa kwa hakika una shida mkuu.Sijasoma ila najua ni pumba tu za mtu mweusi na viimani vinavyowafanya kuwa masikini wa kutupwa kwa kushikiwa akili na wajanja waliowaletea hizi ngano za kusadikika ili wawatawale....
Ewaah upo sahihi kabisa 💯 Yesu alikuja Duniani kuja kukomboa wanadamu na badae akasema atarudi kuja KuwachukuaYesu alishakuja zamani.
Kisharudi zamani. Mtangoja sana.Ewaah upo sahihi kabisa 💯 Yesu alikuja Duniani kuja kukomboa wanadamu na badae akasema atarudi kuja Kuwachukua
Kwaiy Anarudi kuja kuchukua wateule wake.
Amina Mkuu be BlessedUfunuo 22:11-12
Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu;na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu;na mwenye haki na azidi kufanya haki;na mtakatifu na azidi kutakaswa.Tazama naja upesi,na ujira wangu u pamoja nami,kumlipa kila mtu kama kazi yake ilivyo.