Wakristo wa Somalia na Zanzibar hupata changamoto kubwa ya kisaikolojia ukanda huu wa Afrika Mashariki

Wakristo wa Somalia na Zanzibar hupata changamoto kubwa ya kisaikolojia ukanda huu wa Afrika Mashariki

Samahani mkuu unamaanisha uhuru wa aina gani? Ukiwa Mwislamu wa madhehebu yanayochuukiwa una uhuru zaidi katika nchi hizo kuliko nyumbani kwako. Mjini Tehran (Iran, dini rasmi ni Islam ya Kishia) hakuna msikiti ya Wasunni. Wasunni Wairani wanaweza kujenga msikiti Uingereza, Marekani na kadhalika.
Ukiwa Shia uko hatarini kwenye nchi kama Afghanistan na Pakistan, mabomu yanategwa katika misikiti yao mara kwa mara. Washia kutoka huko huwa na msikiti yao wakihama Ulaya, wakiishi salama.
Nchini Austria Uislamu ni dini inayotambuliwa na serikali tangu zaidi ya miaka 100. Raia waislamu wa Austria wakiingia jeshini wana haki kupata chakula halal , jeshi linamwajiri imamu 1 kwa wanajeshi Waislamu.
Nimekuta Jeshi la Ufaransa lina maimamu 8 kwa wanajeshi Waislamu.
Nchini Ujerumani Waislamu Waalawi wana haki ya kuwafundiiha watoto dini shuleni ilhali walimu wanalipwa na serikali (kama wako wanafunzi Waalawi wa kutosha). Pale Uturuki ambako familia zao walitoka kiasili, haiwezekani kuwafundisha watoto mafundisho ya dhehebu lao.
Kila serikali hapa. Duniani dini zote hupewa uhuru wa kuabudu wanachokiamini. Sema wafuasi wa hizi dini mathalani ukikuta nchi hiyo dini fulani ni wengi lazima wachache, kunyanyaswa?
 
Kila serikali hapa. Duniani dini zote hupewa uhuru wa kuabudu wanachokiamini. Sema wafuasi wa hizi dini mathalani ukikuta nchi hiyo dini fulani ni wengi lazima wachache, kunyanyaswa?
Kwa bahati mbaya katika nchi nyingi uhuru wa kuabudu unabanwa au kukataliwa.
 
huwa mnalalamika bila ushahid , mara mfumo kristo wakat kiongiz ni muislam
Hujaelewa ujumbe wangu! Basi angalia hata picha hizo zinaonyesha chuki dhidi ya Waislam
 
Inawezekana ni kweli chuki ya Waislam kwa Wakristu ni kubwa zaidi lakini maranyingi huwa hatuoni kama shida hii Waislam wanaipata pia kwenye nchi nyingi sana, tumekuwa tukiwabeza za kuona wanapenda kulalamika kila walipodai haki yao ya kuabudu. Kuna matukio machafu sana wamefanyiwa Waislam na dunia imekuwa kimya sababu machungu yao hayatuhusu.

Kuna miaka Spain iliua Waislam kwa wingi ili kuwafuta kabisa na kuwalazimisha kubadilisha dini na juzi tu hapa Waislam wa Rohingya wametendewa hayo hayo lakini hatuna hata habari ya kujua haya sababu Waislam ndio wanaongoza kwa chuki dhidi ya wengine wanapaswa kutendewa haya!

*The universe is based on a fair exchange. What you give you will get. As long as karma exists, the world changes.

View attachment 2329101View attachment 2329102

Mkuu mapenzi yako ya dini yasikufanyw uongee uongo muogope mungu wako!!

Spania hawajawai uwa waislam kilichofanyika
Wana jihad walivamia spania na kusilimisha watu baada ya miaka mingi akatokea rais asiye muislam akatoa amri ni either ubadili dini au uondoke na watu wakaamua kubadili dini wengine wakaondoka…
Usidanganye kufurahisha umma
 
Sasa unamlazimishaje mtu kubadili dini au kuondoka sehem kisa dini?
 
Mkuu mapenzi yako ya dini yasikufanyw uongee uongo muogope mungu wako!!

Spania hawajawai uwa waislam kilichofanyika
Wana jihad walivamia spania na kusilimisha watu baada ya miaka mingi akatokea rais asiye muislam akatoa amri ni either ubadili dini au uondoke na watu wakaamua kubadili dini wengine wakaondoka…
Usidanganye kufurahisha umma
Sasa umekataa nini na unaongea nini. Ottoman aliishika Spain kwa vita sikatai kuna waliokufa wakati wa vita ila wakati wa utawala huo Wayahudi na Wakristo walikuwepo na haikuwa shida sana lakini wakati Catholic Monarchs wanaichukua Spain ilipita sheria kali ama uwe Mkristo ama uuawe au ukimbie. Na hii haikuwa kwa Waislam tu hata Wayahudi hawakuabudu kwa amani kama ilivyokuwa awali.
 
Mkristo unafanya nini Somalia, jameni dah poleni sana maana uislamu na chuki ni kama chanda na pete.
Wameenda kula mirungi
IMG_20240116_114923.jpg
 
Sehemu yeyote yenye wavaa makobazi na yeboyebo wengi, amani hutoweka kabisa. Ili mradi yafrani tu.
Bila wavaa kobazi leo wali usingeujua.
Pilau ndio kabisaa
Biriani na rosti za kuku kwa chapati, maandazi na vyote unavyojua leo wameleta hao hao wavaa kubazi.

Sasa hebu fikiri maisha ya ugali papa na dagaa wakavu kwa bilinganya.
Umri hapa Tz labda tungekuwa tunakufa hatujafika hata 50.

Manukato yote, na mapambo ya namna namna wametuletea wao.
Leo tungekuwa tunatoa harufu za vikwapa kila kona.

Kwahio waislamu piga ua lkn lazima tuwape shukran zao.

ASANTENI WAVAA KOBAZI.
 
akili huna kwamba wali upo uarabuni tu ? wao walikja kutafuta ugali na sio kuwasaidia so wao wasingekuja afrika huenda wasingefika pale walipo na dini yao isingekuwa kubwa kiivyo
 
akili huna kwamba wali upo uarabuni tu ? wao walikja kutafuta ugali na sio kuwasaidia so wao wasingekuja afrika huenda wasingefika pale walipo na dini yao isingekuwa kubwa kiivyo
Hili ndio tatizo la watu wasio na shukrani.na hili liko upande wa wagalatia sana.

Bila waislamu We mpk leo ungekuwa unachambia majani.
 
Mkristo unafanya nini Somalia, jameni dah poleni sana maana uislamu na chuki ni kama chanda na pete.
Hapo bi mkubwa Umegonga pentagon.

Mtu ambae kwenye IBADA YAKE lazima ale nguruwe na kunywa viroba anatafuta nini kwenye ardhi ambayo vitu hivyo ni haramu?

Yaani ni sawa na ukumbi wa kutafuta miss Tanzania ukaja wewe. Lzm wakutolee mlango wa nyuma kwa makofi
 
Back
Top Bottom