Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya uislam na waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na waislam kabisa.
Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya kaskazini au nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya pwani au yene mchanganyiko mkubwa na waislam hawana shida kabisa.
Jamii zenye Waislamu wengi, wanafunzi, hasa wa kike, wanapigwa sana na pepo. Sababu ni nini, mkuu?Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Ukatoliki haufunzi ushirikina, Wakatoliki washirikina wamejifunzia vilingeni siyo mimbarini, hiyo ni tofauti na upande wa pili...Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki
Sio chukiKinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Mfano?Sio chuki
Ni reality yenu ya ovyo ovyo ndio inawafanya wawaone nyie ni watu wa ajabu sana
Utapeli
wewe unawezaje kuutenganisha uislamu na majini? wakati mnahubiri kuwa kuna majini wema na wabaya, na kuna namna ya kuwaita hao majini mkaishi naoKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam...
Kadhalika waislam waliotokea maneno ambayo waislam ni majority na mifumo Yao ya kitamaduni imemezwa na tamaduni za kiislam, Wana uelewa duni sana,finyu na potofu kuhusu wakristu na ukristuKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam...
Hasa ukivaa kanzu nyeupe usiku lazima wakukimbie.Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam...
Kwani wakristo ndo wakristu? Ukristo - ukristu?Kadhalika waislam waliotokea maneno ambayo waislam ni majority na mifumo Yao ya kitamaduni imemezwa na tamaduni za kiislam, Wana uelewa dunia ,finyu na potofu kuhusu wakristu na ukristu
Hao wanawaoneshea kile wamekibeba wakristo mnaoish nao, waislam ni jamii ngumu kuish nayo waislam ni kama mtoto wa mwisho , anajiona anastahili Kila kitu ila wengine hawastahili hata kdg , na ndio maana UKITAKA ish kama waislam bas mtauana tu , mawaidha ya Kiislam yamekaa kichochez sanaKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam...