mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Waislamu wanasemwa kwasababu wana sheria nyingi, ni kama wasabato
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo sio uelewa mdogo, ndo uelewa sahihi.Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Ugaidi wa kujilipuaMERU wakiona wewe ni muislam wanakuogopa sana sijui nini shida ukivaa kanzu ndio wanachanganyikiwa kabisa
Lini kuna aliejilipua tanzania ?Huo sio uelewa mdogo, ndo uelewa sahihi.
Ongezea hao wanaofuga madevu na kujitanda ninja ukipanda nao basi moja hawachelewi kujilipua, kingine wanapenda ngono sana kuoa vitoto under 18, wana roho mbaya, wanashirikiana na majini mapepo
Usukumani sehemu gani wilaya na kijiji gani kwenu, huenda unaishi mbuga za wanyama, hamna kijiji usulumami kisio kua namskiti.Kijijin kwetu huku usukuman ukisema kuwa wewe ni mwisilam watakushangaa sana na mara zote watajua kuwa wewe ni mchawi au mganga wa kienyeji
Huku kwetu hakuna waislam kabisa waislam mimi nimekuja kuwakuta huku mjini
Mimi ni muislam ila sijawahi kuona hicho ulichokiandika.Ukat
Ukatoliki haufunzi ushirikina, Wakatoliki washirikina wamejifunzia vilingeni siyo mimbarini, hiyo ni tofauti na upande wa pili...
Uko sahihi ila kuhusu majini pia wako sahihiKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Ubalikiwe sana mtumish kwa kukimbia hiyo dini moton ndo ilikuwa sehemu yakoHii inatokea pande zote mimi nimekulia kwenye uislam nikaja kuwa mkatoliki naona kila pande wanashutumu wenzao kwa vitu wasivyovijua …kuna wakatoliki wanaamini masheikh wanafuga majini na kuna waislamu wanaamini wakatoliki wanaabudu sanamu wote wanakosea
Hayo yote ni sehemu ya mafundisho Yao Ili waendelee kuwa misukule ya kikristo lazima wamezeshwe kuwa Uislam ni kitu kibayaKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Ukweli ni kwamba Uislam unaambatana na itikadi flani hivi ambazo zinautata, nadhani shida inaanzia kwenye mafundisho ambapo asilimia kubwa ya wanawafundisha watoto madrasa kipindi cha nyuma walikua wana chuki dhidi ya makafili na hata mafundisho yalikuwa yakifundishwa kwa mihemko na hisia kali za chuki.Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Shule gani ya kikristo boarding ya wanawake haina mapepo? Nimekulia uchagani nazifahamu shule nyingi tu Macha me, weruweru etc na kote wapo kibao wenye hayo matatizo.Jamii zenye Waislamu wengi, wanafunzi, hasa wa kike, wanapigwa sana na pepo. Sababu ni nini, mkuu?
True! Been growing up najua ukipita karibu na msikiti usiku lazima ukutane na majini[emoji58]Katika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini oubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Asante kwa kuprove point ya mleta mada.Ukweli ni kwamba Uislam unaambatana na itikadi flani hivi ambazo zinautata, nadhani shida inaanzia kwenye mafundisho ambapo asilimia kubwa ya wanawafundisha watoto madrasa kipindi cha nyuma walikua wana chuki dhidi ya makafili na hata mafundisho yalikuwa yakifundishwa kwa mihemko na hisia kali za chuki.
Hao watu sio bahati mbaya kua na mtizamo huo dhidi ya Uislam bali Uislam unastahili kuchukuliwa hivyo kwasababu ndio hali halisi
And yet Tanzania miji yetu ndio mnakuja Kutafuta pesa, Zanzibar, Dar na mikoa mingi tu ya Pwani ila kote huko mnaishi kwa amaniHao wanawaoneshea kile wamekibeba wakristo mnaoish nao ,waislam ni jamii ngumu kuish nayo waislam ni kama mtoto wa mwisho , anajiona anastahili Kila kitu ila wengine hawastahili hata kdg , na ndio maana UKITAKA ish kama waislam bas mtauana tu , mawaidha ya Kiislam yamekaa kichochez sana