Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam


Jini ni kiumbe roho au malaika aliye asi mamlaka ya Mwenyezi Mungu. Ni malaika muasi. Kwa hiyo hawezi kuwa ni mzuri.
 

Tunaomba source ya habari yako. ili nasi tukajielimishe.
 
H
Hapo kwenye kudinyana kwa muda wa miaka 80 bila kufika kileleni wamepigwa.
 
Hii kitu nilijua ni ya kufikirika, kumbe ipo kweli!
 
Tunaomba source ya habari yako. ili nasi tukajielimishe.
Soma sira/historia ya Mtume yote! Kwa uchache soma vitabu hivi vyote au utachagua kimojawapo vitakupatia mwanga:

Tafuta kitabu "Raheeq Makhtoum", kimeandikwa na Safiour Rahman Al Mubarakpur.

Halikadhalika tafuta Kitabu kimeandikwa "Shmael Muhammadiya" cha Imam Abou Issa Attirmidhi. Hiki kitabu kimetaja mpaka physical appearance ya Mtume Muhammad S.A.W

Kwenye Qur'an kwa uchache tafuta tafseer ya mufasserouna wafuatao utachagua kimojawapo:

Tafseer ya Imam Qurtubi,
Tafseer ya Imam Suyutwi,
Tafseer ya Imam Twabari,
Tafseer ya Imam Fakhr Al Din Arrazi n.k

Kwenye sira itakupatia matukio hayo niliyokuelezea na kushuka aya za Qur'an kulingana na tukio husika.

Kwenyr Qur'an itakupatia aya zilizoshuka kwa tukia husika na sababu zake za kushuka. Kisha hayo matukio kupitia aya za Quran utafanya reference kwenye sira ya Bw. Mtume Muhammad s.a.w.
 
Umepuyanga uislamu haujafundisha mtu asiende kazini kutafuta pesa,wala uislamu haujafundisha mtu asiende shule.
Mbona wakina Mo dewji na Bakhresa ni matajiri na ni waislamu?
Labda ungeniambia ni utamaduni kidogo ningekuelewa ila sio dini
 
Mkuu bado haujathibithibitisha kimaandiko kwamba kuna pepo wema ndio malaika, hapo umeonyesha Yesu akikemea mapepo ambao waliwaingia watu, ni wapi inaonyesha malaika ni mapepo?
Malaika ni Spirits, na tunapoongelea mapepo tunaongelea viumbe ambao ni spirits na miongoni mwao kuna Malaika wema na wabaya.
 
Cha kushangaza ndo wamiliki wakubwa wa sekta zote za kiuchumi kuanzia viwanda , makampuni makubwa, michezo alafu nyinyi mlio soma ndo vibarua wao kwenye viwanda vyao.

Ndiyo mnachodanganyana mkiwa msikitini. Hivi nikuulize swali rahisi tu, waislam matajiri ni asilimia ngapi ya umma wa waislam waliotopea kwenye umasikini? Mmekalia kukomaa na sijui matajiri wakubwa ni waislam, wakati hata utajiri wao hauna manufaa yoyote misikitini kwenu na katika maisha ya muislam mmoja mmoja. Isipokuwa kwa yeyote mwenye uhusiano wa moja kwa moja na hao matajiri. Mfano hao unao waita vibarua.
 
Si kweli mjomba wangu alikuwa mwislam pekee eneo letu na alipendwa na wengi kwa sababu za kujitolea ktk jamii.Tofauti iliyokuwepo kati ya waislam na wakristo ktk maeneo uliyoyataja,ni kwamba elimu ilieletwa na wamishonari wakristo walipeleka watoto shule waislam wachache waliwapeleka shule,waliowengi waliwapeleka madrasa na kusababisha Tanaka la elimu.Hivi karibuni viongozi wa dini wametambua hili na kuwahimiza waislamu kuwapeleka watoto shule
 
Site adui zetu wakubwa ni
1. Ujinga
2. Umaskini
3. Maradhi
4. Maradhi ya nafsi
 


Duu, kumbe ndiyo ujinga wanaojifundisha msikitini. Yaani kuishi kwao koote kwa kufuata maamrisho ya Allah, ni ili wakafanye ngono na mabikira. Duuu kweli akili ni nywele, kila mmoja ana zake.
Swali langu ni hili, wanawake watathawabishwa kwa kupewa nini? Kama wanaume watapewa mabikira?
FaizaFoxy tupe ufafanuzi kwenye hili.
 
Hii kitu nilijua ni ya kufikirika, kumbe ipo kweli!
Huyo jamaa kaandika kwa yale ambayo ameyasikia kutoka kwa watu na nina ushahidi wa hayo kwa kuwa ushahidi upo!

Tangu nimjibu mpaka muda huu hajatoa jawabu lolote!

Kama yupo tayari na an uhakika wa maneno yake mtag muunganishe na mimi, nipo tayari kuweka mjadala naye lakini iwe ni productive talk.
 
Kuna shule ya ujinga mahali au ulijifunzia nyumbani, are you fresh from college?
 
Nimeamini watu ni waongo na hizo ndio mada mnadanganyana huko,
Kwa mfani, maria qibtiyyah alikua mie wa Mtume, na walipata mtoto mmoja,
Si mchepuko kama unavyotaka kuaminisha watu,

Wewe pamoja na Komeo Lachuma mtutazamishe chanzo cha habari zenu. Maana haya mambo mliyoweka hapa ni mazito sana.
 
Majority ya wakristo wote hawana uelewa sahihi juu ya uislam uelewa wao ni potofu(hata hawa tunaoishi nao huku mikoa ya pwani) na wengi wao wapo comfortable na hilo.

Na ndiyo maana sio watu wa kujenga hoja, wanaposhindwa (na siku zote hushindwa) kwenye hoja huleta kejeli,uzushi na matusi kwa maana hawataki kusikia kitu tofauti na kile wanachoamini hata kama ni potofu.

Ni watu tu wa kuwaombea kwa ALLAH awaongoze amiin
 
Usitumie nguvu sana Kama ambavyo wewe huamini maandiko ya biblia, ndio hivyo pia wapo wengi wasioamini maandiko hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…