Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Chuki inaanzia kwa muislamu kama wewe ambae badala uwaite wakristo wewe unawaita wakuristo....waislamu ni watu wenye chuki mno dhidi ya ukristo nakuambia hayo kwasababu kuanzia mama yangu na ndugu zake wote ni waislamu tena kwao ni mikindani naziona chuki zao kwangu kisa dini,,, ila sema kitu kimoja tu nina pesa kwahiyo wananiheshimu kwa unafiki
 
Hizi mada huwa unazianzisha wewe mwenyew na unajijibu, kila mada inayohusu kukashifu wakristo with nonsense claims, huwa kila nikiangalia wa kwanza kujibu ni wewe, hii sio mara ya kwanza wala ya pili, unaanzisha mada alaf unajijibu mwenyew😆.
It can not be a coincidence.
 
Unadhani huko Zanzibar sisi ni wageni au unaandika kufurahisha jukwaa?

View: https://youtube.com/shorts/FX-zRwmuxc8?si=w8d735-mmeODTD1k
 
Mkuu huyo ana multiple ID, nahic ndo aliyeanzisha hata huu uzi
 
Hayo majini allah katamka wazi kwenye koran kwamba yeye ndie anayatuma kanisani , sasa ulitaka wakristo wakubali ? Wasipambane na allah na majini yake?
Chuki
Hayo majini allah katamka wazi kwenye koran kwamba yeye ndie anayatuma kanisani , sasa ulitaka wakristo wakubali ? Wasipambane na allah na majini yake?
Chuki tu ndio zilizo kujaa, na ndio maana kila siku munaibiwa hapo hapo kanisani , uongo uongo mwingi, kupamba majini ndio content ya wakristo , kwahyo kanisani ni sehemu ya kutoa uchawi na sio sehemu ya kuabudu syo
 
Na hesabu umefunga kabisa kwamba wataenda motoni wewe nani mzee?

Ninyi walokole mmejimilikisha signature ya Mungu punguzeni mbwembwe hizo hukumu mnazotoa huku wenyewe mna dhambi zenu zitawatia matatani.
 
Je lakini jini ni kiumbe wa roho?
Jini ni viumbe kama alivyo binadamu ,jini kapewa akili ya kuchagua mema na mabaya ,wakati malaika yeye kaumbwa kumtii Mungu tu hajapewa uhuru wa kuchagua kuwa muovu au mwema kama binadamu na majini.
 
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusin
Ndio kazi bado ipo ya kuwaelimisha. Kwanza walifikiri waislam hawamtambui Yesu ( Issa) kama katumwa na M Mungu. Baada ya mijadala mingi, ikiwemo hapa Jf, sasa hivi hilo sio tatizo kwao wameelewa msimamo wa waislam kuhusu Yesu, Moses, Abraham N.k

Sasa ni wakati wa kuhamia Kaskazini na Nyanda za juu kusini tukamalize mchezo. Pole pole mpaka tuelewane tu.
 
Waisilam ni jamii ngumu kuishi nayo lakini cha kushangaza mmejazana kwenye mikoa yao.
Mkoa gani wa kiislam Tanzania?kama zanzabar sawa lakini kama bara labda mkoa wako ni hizo hatua 30x30 ulizojenga ukitoka nje ya hapo unakanyaga ardhi ya jamuhuri.

Na labda aliwapa nani huo mkoa hadi muhisi mna mkoa wenu?
 
Na hesabu umefunga kabisa kwamba wataenda motoni wewe nani mzee?

Ninyi walokole mmejimilikisha signature ya Mungu punguzeni mbwembwe hizo hukumu mnazotoa huku wenyewe mna dhambi zenu zitawatia matatani.
Hawa vijana wanahitaji Kuelimishwa tu. Na huu mjadala ni moja kati ya elimu tosha. Tuwasamehe bure hawajui watendalo.
 
Hivi huwa mnapata nini kuzichochea hizi chuki au unataka vizazi vijavyo viishi kwa genocide na jihad ndio utasikia amani..

Sidhani kama kama una furaha katika maisha maana moyo uliojaa chuki kiasi hiki sidhani hata kama una space ya utu na upendo zaidi ya kuwaza uovu.. Mungu akusamehe na kukuhurumia
 
Kombe nini?

Unaweza ukatuonyesha linaandikwaje?
 
Mkuu mimi sina chuki na dini yoyote ila ukweli ni kwamba wa kurisito wengi sio wote hapendi wailamu hata ukiona hapa jf ni mfano wanatukanwa kila dhihaki.
 
Nimekuwa interested kueleweshwa hili,yaani kwamba wapo Wakristo wanasema kuna mapepo wema?

Yaani kabisa wanatamka mapepo wema Kanisani?
 
uislamu uko ndani ya mtu, kama mtu anaelekeza hayo kwa kutumia uislamu huo huo utasemaje mkuu
Hata mahakamani mhalifu anajitetea kwa kutumia sheria hizi hizi za nchi!

Kama ikikupendeza Mkuu, tuwekee ushahidi ili tuweze kujifunza zaidi kupitia kwako!

Karibu!
 
Sasa Mkuu, matatizo yako na familia yako unayahusisha na mambo ya dini?

Kuna wangapi dini moja kwenye familia na bado wanachukiana?
 
Sasa Mkuu, matatizo yako na familia yako unayahusisha na mambo ya dini?

Kuna wangapi dini moja kwenye familia na bado wanachukiana?
Njoo huku pwani swali la kwanza utaulizwa wewe dini gani...shida ni ukosefu wa elimu iliyo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…