Sio kweli napinga. Zanzibar kuna makanisa kibao saiv na waislam wala hawashugulik nayo kabis na wanaona kawaida Tu kujumuika na wakristo katika sehem za kijamii . Kwa mfano mikoa ya Pwani Kam Dar , Mtwar,Lindi , Tanga na Pwani yenyew zipo shule ambazo ni za kikristo ambazo Zinajiita sjui St.Mathew, St Mary, St Antony n.k ambazo Nowadays waislam wapo kibao wamewapelek watot wao wakasome na ikifik vipind vya dini wanakaa kando na Sik ya ijumaa wanaruhusiw kutok kwend kuswali fresh Tu. Kadhalika hata kwny Hospital za misheni waislam ni wateja wao wakubwa San mfano kuna hospital IPO kw buruda ni ya kikristo na vikindu pia. Waisalmu hawana shida kujumuika na wakristo katika sehem za kijamii. Lakin je ushawai kuwaona wakristo wakajumuika na waisalm katik sehm za kijamii katik Ukanda wenye wakristo Weng. Jibu ni hapan