Lakini vilevile Ukristu unakumabia MPENDE NA KUMWOMBEA ADUI YAKO.majanga....UKRISTO UNASEMA SAMEHE SABA MARA SABINI NA PIA KISASI NI CHA MUNGU.
Subiri kidogo nitakurudiaLakini vilevile Ukristu unakumabia MPENDE NA KUMWOMBEA ADUI YAKO.
"Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki (Mathayo 5:43–45). "
Katika maneno haya wewe unasimamia wapi?
Kuna kutaka na kutotaka, ukisema utaona sense, ila kwa kuwa umeliangalia kiimani, huwezi ukaona sense, sababu kwenye imani inahitajika kuamini kama mjinga siyo ku make sense.Toka hapa bwana,wewe ulichoandika hapa unaona kina-make sense?
Sa kwa nini wasikatwe vichwa hao wacristo 8 dadadeki zao.Kinacho wasumbua sana ni chuki na wivu wamaendeleo ya uislamu na waislamu, Ushirikina ni mwingi katika ukatoliki ila hausemwi.
Kuna schoolmate wangu muislamu alimaliza form four ana elimu ya madrasa nzuri tu karibu juzu 10, kwenye kampuni yake kaajiti wakuristo 8, wenye degree mbalimbali moja ni muhasibu ana CPA na waislamu wa 3, ila wale wa kuristo wanamsema vibaya wanatamani afe, ila kila ukicha mali zake zinaongezeka. Wamefanya ushirikina mpaka basi tu.......hao watu hawapendi wsislamu hata ufanye wame kiasi gani.
Mkristu yoyote anafuata misingi ya kristu na amri ya kwanza tuliyoachiwa ni upendo. Sijawahi kusikia katika Tanzania yetu kuna waislamu wamesumbuliwa kujenga msikiti katika maeneno yenye wakristu wengi au hata kubughudhiwa ama kuwa attacked. Sasa hiyo chuki ni ipi unaongelea, ya Jf au?.....Mkuu mimi sina chuki na dini yoyote ila ukweli ni kwamba wa kurisito wengi sio wote hapendi wailamu hata ukiona hapa jf ni mfano wanatukanwa kila dhihaki.
Sio potofu, ndio ukweliKatika safari yangu ya masomo na kazi, nimekutana na watu wengi, nilichojifunza
Wakrito waliotokea mikoa ambayo haina waislam wengi, wanauelewa potofu juu ya Uislam na Waislam.
Wanawaona kama wako Backwards au wakizamani.
Wapo wanaoamini ukimuona Sheikh kafunga ndevu bas ujue anamajini 12
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Lakini Kubwa zaidi, baadhi wanachuki na Waislam kabisa. Wengi zaidi ni wale wa mikoa ya Kaskazini au Nyanda za juu kusini.
Tofauti na wakristo waliokulia mikoa ya Pwani au yene mchanganyiko mkubwa na Waislam hawana shida kabisa.
Kwa muktadha wa kuamini kijinga kama nimekuelewa vizuri so conclusion kwamba Wakristo wanaamini ktk mapepo akilini mwako umekubali kuwa mjinga kuamini hilo wakati kwenye kitabu chao hakuna mapepo yalipozungumzwa kwa wema?Kuna kutaka na kutotaka, ukisema utaona sense, ila kwa kuwa umeliangalia kiimani, huwezi ukaona sense, sababu kwenye imani inahitajika kuamini kama mjinga siyo ku make sense.
Wapo wanaodhani huwezi kuutenganisha uislam na majini
Achana na wakristo wa mikoani uwe unakuja kwenye hizi battle za waislamu na wakristo
View: https://vm.tiktok.com/ZMhWNeVYj/
Kinachosumbua wengi wenu ni neno "mapepo" hiyo "ma" ndiyi imejenga taswira ya ubaya akilini mwa watu sababu kimsingi "ma" imetumika kama kivumishi cha ubaya. Kimsingi ni mapepo ambalo limetokana na kiingereza "good spirits" or "Benevolent spirits"Kwa muktadha wa kuamini kijinga kama nimekuelewa vizuri so conclusion kwamba Wakristo wanaamini ktk mapepo akilini mwako umekubali kuwa mjinga kuamini hilo wakati kwenye kitabu chao hakuna mapepo yalipozungumzwa kwa wema?
Mkuu,mimi hunibebi bebi hovyo and of course sometimes mambo ya imani yanahitaji kutohoji sana lakini kusema mkristo anaamini kuna “mapepo mema” hili hata nikiwa zezeta sitaamini.
Hata hiyo jamuhuri ardhi sio mali yake bali bali ardhi ni mali ya Mungu.Mkoa gani wa kiislam Tanzania?kama zanzabar sawa lakini kama bara labda mkoa wako ni hizo hatua 30x30 ulizojenga ukitoka nje ya hapo unakanyaga ardhi ya jamuhuri.
Na labda aliwapa nani huo mkoa hadi muhisi mna mkoa wenu?
Haya maneno ungewambia wagaratia wenzio ungeonekana una akili sana maana ndo waendeshaji wakuu wa mijadala ya kashifa dhidi ya waisilam.Hivi huwa mnapata nini kuzichochea hizi chuki au unataka vizazi vijavyo viishi kwa genocide na jihad ndio utasikia amani..
Sidhani kama kama una furaha katika maisha maana moyo uliojaa chuki kiasi hiki sidhani hata kama una space ya utu na upendo zaidi ya kuwaza uovu.. Mungu akusamehe na kukuhurumia
hakuna kupendeza halo.Halafu weka pincha nzima siyo kipandeNdio maana wanasema beauty is in the eyes of the beholder...
Kwani mkuu huoni hawa walivyovaa wamependeza?
Mimi napenda mavazi ya hivi kwa wanawake.
View attachment 3156900
Kwa hiyo wakristo wa jf ni wakristo majina?Mkristo wa kweli hawezi kumchukia Mwislamu
Bwana Yesu alifundisha kuwapenda watu wote hata adui zako. Iweje achukie Waislamu.
Hii haitegemei uko pwani au bara. Mradi ukifuata mafundisho Yake hu2ezi kuwa na chuki.
Tofauti na dini zingine zinazo kilip kidsi
She he Alhad Mussa Salum alimwambia mini Mange vile!Nimeishi sana Uzaramoni, Uziguani , Undengerekoni na sehemu kubwa ya mikoa ya pwani, akipita shehe mbele ya halaiki ya watu , wao husemeza.. HUYU SIO WAKUCHEZEA AKIKUAMULIA JUA HALICHWI...sasa kwa kauli hizo unautofautisha uislamu, waislamu na uchawi ?
Na makabila mengine yamefelishwa na nn?ndugu yangu umegonga mule mule
tafuta tu zimejaa tele mtandaoni. Halafu kumbuka kuna hijab, kuna nikab n.k mkuu. Mimi si expert wa mavazi yao lakini yananivutiagahakuna kupendeza halo.Halafu weka pincha nzima siyo kipande