Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 6,607
- 14,076
Lakini vilevile Ukristu unakumabia MPENDE NA KUMWOMBEA ADUI YAKO.majanga....UKRISTO UNASEMA SAMEHE SABA MARA SABINI NA PIA KISASI NI CHA MUNGU.
"Mmesikia kwamba imenenwa, umpende jirani yako, na, Umchukie adui yako; lakini mimi nawaambia, Wapendeni adui zenu, waombeeni wanaowaudhi, ili mpate kuwa wana wa Baba yenu aliye mbinguni; maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki (Mathayo 5:43–45). "
Katika maneno haya wewe unasimamia wapi?