Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Hahaha huwa nacheka sana,et mtume aliwaahidi pepo ya FIRDAUS yenye bikra 73 na mito ya pombe isokauka
 
Hahaha wanawaza kugegedana peponi
 
Sheikh sulle anasema majin yanafugwa na wanayatumia hata kuiba nyaraka za kesi mahakamani [emoji3][emoji3]
 
Mbona hapa hawacomment
 
Sheikh sulle anasema majin yanafugwa na wanayatumia hata kuiba nyaraka za kesi mahakamani [emoji3][emoji3]

Basi tuyatume yakaibe nyaraka za kesi ambazo serikali inashindwa na kulipa mamilioni ya dolari.

😛
 
Kadhalika waislam waliotokea maneno ambayo waislam ni majority na mifumo Yao ya kitamaduni imemezwa na tamaduni za kiislam, Wana uelewa duni sana,finyu na potofu kuhusu wakristu na ukristu
Uzuri unasara na ukafiri umeelezwa vizuri kwenye Uislamu ..yaani tunawaelewa mnoo kuliko mnavyojielewa
 
Christmass inakaribia. Mahubiri utakayokutana nayo msikitini ndio utagundua nani ana chuki na mwenzaje.

Pia usisahau kupitia kurusa za Mohammed Salah akiwa kajipost na familia yake wanasherekea Christmass halafu pitia comments.
dah jamaa umenena kweli kabisa, Salah anapigwa mawe na wala hajali
 
Kuna mkoa ukienda kama Muislam utaitwa MSwahili haha
 
Sasa jamani kati ya wakiristo na waislamu wapi wana majini wengi ?? Naona wakoristo ndio wana majini ya kutosha mana kila jpili wanakemea mapepo au mapepo sio majini.? Sasa hayo mapepo yametumwa na waislamu au.
 
Kwanza Mkuu maarifa ya kwenye Qur'an au Biblia huwezi kuyapata kiuhakika kwa kujisomea tu mwenyewe hivyo vitabu, pili nimesema Biblia imetafsiriwa na itaendelea kutafsiriwa na Qur'an pia imetafsiriwa na itaendelea kutafsiriwa.

Qur'an kuendelea kubaki katika lugha yake ya asili inalinda kuharibiwa maana halisi ya ujumbe wake.
 
Wapo sahihi kabisa.
 
Africans bado hatujajitambua ndomaana bado tunachezeshwa km toys. Hizi dini zote zililetwa na meli kututawala. Sisi tulikuwa na imani zetu, cha ajabu hazizungumzwi hapa badala yake tumehamia kukosoana nani yupo sahihi kati ya wanaofata quran au biblia.
 
Hahaha huwa nacheka sana,et mtume aliwaahidi pepo ya FIRDAUS yenye bikra 73 na mito ya pombe isokauka

Hivyo pepo ni mwendo wa zina kwa kwenda mbele. Halafu mtu mwenye akili yako kabisa, unafanya ibada kwa allahu kwa uaminifu kwa ahadi na thawabu za kinyonge kama hizi
 
Imani zetu kwa maana ipi? Nachojua kuna imani walizokuwa wanaamini mababu zetu, na imani sio kama makabila au utaifa kwamba kwa sababu wewe umezaliwa Tanzania na baba yako ni mzaramo basi nawe unakuwa mtanzania na kabila lako mzaramo.
 
Uzuri unasara na ukafiri umeelezwa vizuri kwenye Uislamu ..yaani tunawaelewa mnoo kuliko mnavyojielewa
Kafugeni majini na kusubiri bikra 73😄 Yani Kuna vítu hâta mtoto wa memkwa anaweza kukushangaa,imagine una expect kupewa mito ya pombe na kufanya mapenzi peponi😄
 
Hivyo pepo ni mwendo wa zina kwa kwenda mbele. Halafu mtu mwenye akili yako kabisa, unafanya ibada kwa allahu kwa uaminifu kwa ahadi na thawabu za kinyonge kama hizi
Hizi Dini ni ukoloni n'a vituko tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…