Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Wakristo waliotokea mikoa isiyo na Waislam wengi wana uelewa potofu juu ya Uislam na Waislam

Ujinga uko kwenye waumini wa dini zote. I always believe hakuna dini inayoweza kuwa na wafuasi kwa asilimia 100%. Na sababu kubwa ni kuwa, kwa mfano Yesu Kristu alipokuja, waumini wa kiyahudi walikataa kumtambua. Hakuja kama vile walivyotegemea. Walitegemea angekuja kwa mabavu na maguvu na kusambaratisha kila kitu. He was humble and simple.
Ila walipomkataa alisema wazi, Ukristu nawapa zawadi watu wengine ambao hawajamjua Mungu wa kweli. Hakuufuta uyahudi, ila aliendeleza kazi yake kama alivyotaka.
Hata crushes za uislamu na ukristu miaka kadhaa baadae, hazikutoa mshindi. Ndio maana mpaka leo ukristu na uislamu upo.
Ni kukosa maarifa kwa baadhi ya watu wanaoamini dini inaweza kuenezwa kwa upanga. Hilo halipo na hiyo sio dini. Ni mauaji.
Kwa uelewa Wako Ukristo na Uislam ni dini gani imesambazwa kwa umwagaji damu?
 
Kwahiyo kati ya comment zote ulizo zisoma kwenye huu uzi hiyo ndo umeiona inachochea chuki tu?

Ww kubali tu kuwa umechukia kuona upande wako umekejeliwa na sio kwamba unachukia watu wenye chuki.
Upo sahihi kwa muono wako. Mimi sikupingi
 
madai ya wakristo yapo sahihi kbs

uislamu upo sako kwa bako na majini

uislamu mafundisho yake umejaa makasiriko na vitisho vingi

uislamu sehemu kubwa unafundisha chuki na mauaji

uislamu unawadharau sana wanawake unawaona wapo kwa ajili kutomb...wa tu na hawana maana yeyote katika dunia hii( refer stori za mtume na kuoa mtoto wa miaka 9 pia refer bunge la Iraque nini limekifanya siku za hivi karibuni)

uislamu umejaa ubaguzi kwa wasio waislamu ( japo waislamu wa Tanzania na Senegal pongezi kwenu hili hamjalizingatia sana) ukitaka kuamini nenda Somalia,Northern Nigeria, Chad n.k utaamini haya ninayoyasema)

uislamu umejaa ushirikina sana

uislamu umejaa hadithi za dhahania

kusema kweli uislamu ni dini iliyojengwa kwenye misingi ya ubabe na kutothamini watu wasio wa dini hiyo

angalia maeneo mengi waliyokaribishwa waislamu kuna chokochoko nyingi na hali ya vita : tazama mifano hii

1. wachina hawataki kuisikia hiyo dini
2.wenyeji wa myanmar hawana hamu na rohingya
3. wahindi hadi leo wanaipigania kashmir dhidi ya waislamu wa pakistan
4. msumbiji haina hamu na hao watu
5. mashariki ya kati ndio usiseme
6. ulaya na marekani hawana hamu na hawa watu tangu wawakaribishe

kwa kweli mifano ni mingi sana kwa hiyo ndugu mleta mada hao uliosema hawana uelewa mimi naona ndicho kilichopo kwa ground na siyo unavyotaka kukanusha
 
Ngoja nikuache na ujinga wako
Ndugu yangu unadhani Filikunjombe angekuwa Muislamu angenunua nguzo za umeme kwa ajili ya jimbo lake ? Angejitolea kuchonga bara bara za ludewa peke yake ?

View: https://youtu.be/DEUsmubPOzA
Haya Muangalie huyu ana hela kuliko Filikunjombe lakini anaishia kuwajengea msikiti na hapo akijitahidi sana hela ikibakia atawachimbia kisima kwa ajili ya kutawadhia, amka sheikh wangu. Na unajua anawekeza kwenye mpira pamoja na Rais wetu 😅 😅 😅 😅 . Aisee wavaa makobazi mna shida sana.

View: https://youtu.be/1JlLmAKeCtE
 
Sasa hivi mjadala ume hamia kwenye uisilam kuwa chini ya waarabu na sio waisilam kuwa masikini na kutokuwa na elimu?😃😃😃😃
Uislam na umasikini ni chanda na Pete nje ya ulimwengu wa kiarabu. Jadili hili with vivid case studies.
 
Tulia wewe mav uzi na sindano Uhuru wa Tanzania washukuliwe Waislam nyie makafiri Babu zenu walikuwa wAnaimba kwaya na kula nguruwe ila wazee wa Kiislam wakaingia Front leo hii unalala kwa Amani unatembea kwa Uhuru ila ndo hao hao kutwa mnawaponda humu kitabu chetu kilishasema Chuki ya Makafiri ni kubwa na wanatamani Mkufuru kama walivyofanya Wao.
Uhuru gani wanaodai kichovu namna ile? Kwanza ilitakiwa hao wahuni unaowaita wazee wako wakati ule wampigie magoti Muingereza ili asiiache tanganyika kwasababu naamini tungekuwa kama south africa lakini leo tupo hapa kwasababu ya hao wavaa yeboyebo
 
Inasikitisha sana yaani mpaka leo Tanzania in watu wa aina hiyo, na hao ndio wanachangia udumavu wa taifa. Wafia dini, zero exposure, uncivilized and unsophisticated.
 
Kama mtu yeyote hana haki ya kijimilikisha ardhi mbona Israel inapo uwa wapalestina kwa kisingizio cha kulinda ardhi yao huwa unashangilia?

Mna wachukia waisilam lakini kutwa kuzunguka kwenye nyumba za waisilam kudoea futari zao kipindi cha mfungo.
Mna wachukia waisilam lakini CCM ikiwakatia maji mnakimbilia misikitini kwenda kuchota maji ya bure badala ya kwenda kuchota kwenye visima vya kanisa vilivyo jengwa kwa sadaka zenu.
Mimi kaka niseme tu kwamba uliyoyaandika humo kwenye bold umejibunia na najua ukweli unaujua,mfano umezungumza mambo ya Palestine.

Mimi sipo biased kwenye hiyo vita so sikumbuki uliona wapi nikimshanglia mzu
 
ukweli mchungu kwa hapa Tanzania uislamu ndio umewafelisha makabila ya mjini

kama wazaramo, wandengereko wasingekuwa waislamu leo hii wangekuwa hawashikiki kwa maendeleo.

ardhi yote ya dar es salaam ni mali ya babu zao. uhuru umepiganiwa mitaani kwao.

ila sababu uislamu uluwafanya wakomae na madrassa kukariri quran na kuachana na shule za formal education. wakaishia kuwa wajinga na kukosa fursa nyingi sana huku quran haijawapa fursa nyingi

Upuuzi kabisa. Maendeleo gani na fursa gani unazoziongelea Tanzania ambazo zinabagua au zina hierarchy ya kidini? Wewe ni mmoja ya wafia dini usiyejitambua.

Tanzania nzima hakuna fursa zozote significant zaidi ya Siasa na kazi za Serikali. Na hakuna statistical evidence kuonyesha Christians walioko Dar na wa mikoani wenye umasikini kupitiliza wana maendeleo yoyote significant kuwazidi Muslims waliojaa Dar na Nchi nzima. Alafu unaposema maendeleo unamaanisha nini hasa? Uwezo wa kula?

Hata kama ungekuwa hauoti, either way, exceptions don't make rule.
 
UNAJUA KITU HAMTAKI NI KUAMBIWA UKWELI

BAADHI YENU MMEUTENGENEZA UISLAM KUWA ITIKADI YA KITAPELI SANA

ITIKADI INAYOENEZA CHUKI, DAMU NA MAAFA KWA WAYAHUDI NA WASIOAMINI KAMA NYIE

ITIKADI YENU INAPENYEZA UGAIDI.
Kumbe wewe huna akili kabisa aisee.
 
Inasikitisha sana yaani mpaka leo Tanzania in watu wa aina hiyo, na hao ndio wanachangia udumavu wa taifa. Wafia dini, zero exposure, uncivilized and unsophisticated.

Hata huu uzi umejaa watu wa aina hiyo wengi. Yaani the fact kwamba tu mnajadili na kugombana kwa sababu ya dini zilizoletwa na watu waliowakandamiza ni evidence tosha kwamba wote hamna akili.

I was out of this mindset a long time ago. I'm also out of this shit discussion. Ni kama unajadili na watoto wa ng'ombe. Fuk religions.
 
Uislam na umasikini ni chanda na Pete nje ya ulimwengu wa kiarabu. Jadili hili with vivid case studies.

Bahati nzuri hilo umeliongea kwa sababu ya chuki zako ila hata ww unajua kuwa hakuna uhalisia wa ulicho kisema.
Kwa hiyo nyinyi wagaratia ni matajiri sasa mbona dada na mabinti zenu ndo malaya wa bei rahisi mitaani kwa sababu ya maisha magumu?

Kwa hiyo Indonesia, Uturuki, Malaysia ,Iran ,Alibania,Chechinia ni masikini kwa sababu wao sio waarabu?😃😃😃😃😃.

Ngoja twende na takwimu.
Kati ya mikoa 10 yenye umasikini ulio kithiri hapa Tz 7 ni ile iliyo jaa wagaratia.
Mikoa inayo ongoza kwa watoto wenye utapia mlo hapa Tz ni mikoa iliyoja wagaratia.
Mikoa inayo ongoza kwa mauaji yanayo husishwa na vitendo vya kishirikina ni mikoa ili jaa wagaratia.

Mikoa inayo ongoza kwa mauaji ya wivu wa kimapenzi ni mikia iliyo jaa wagaratia.

%75 ya watu walioko kusini mwa jangwa la sahara ni wagaratia lakini ndo sehemu yenye umasikini ulio kithiri kuliko sehemu yeyote ile duniani.
Haiti %100 ni wagaratia ndo taifa masikini kuliko taifa lolote hapa duniani na watu wake wanaishi maisha mithiri ya nguruwe.
Vip hapo?
 
Kadhalika waislam waliotokea maneno ambayo waislam ni majority na mifumo Yao ya kitamaduni imemezwa na tamaduni za kiislam, Wana uelewa duni sana,finyu na potofu kuhusu wakristu na ukristu
hapa nakuunga mkono asilimia mia nilipataga chumba maeneo flani mbagala huko dar nyumba ina wapangaji nane wote waislamu peke yangu ndo mkristo wakawa wananitenga hata salamu yangu hawaitikii nikasema kwangu mumeyatimba. Na mimi nikajitenga nao no salamu wala nini ni wa mbuzi tu tena kwa fujo nikawa kila baada ya siku tatu nakaangiza kitimoto harufu kordo nzima huku bufa napiga magoma ya ambwene mwasongwe sauti ikiwa juu. Mbona walinyooka wakaanza kujichekesha chekesha wenyewe mara oo jirani unakaangiza vyanukia ajabuu mim nimekula buyu tu.
 
Bahati nzuri hilo umeliongea kwa sababu ya chuki zako ila hata ww unajua kuwa hakuna uhalisia wa ulicho kisema.
Kwa hiyo nyinyi wagaratia ni matajiri sasa mbona dada na mabinti zenu ndo malaya wa bei rahisi mitaani kwa sababu ya maisha magumu?

Kwa hiyo Indonesia, Uturuki, Malaysia ,Iran ,Alibania,Chechinia ni masikini kwa sababu wao sio waarabu?😃😃😃😃😃.

Ngoja twende na takwimu.
Kati ya mikoa 10 yenye umasikini ulio kithiri hapa Tz 7 ni ile iliyo jaa wagaratia.
Mikoa inayo ongoza kwa watoto wenye utapia mlo hapa Tz ni mikoa iliyoja wagaratia.
Mikoa inayo ongoza kwa mauaji yanayo husishwa na vitendo vya kishirikina ni mikoa ili jaa wagaratia.

Mikoa inayo ongoza kwa mauaji ya wivu wa kimapenzi ni mikia iliyo jaa wagaratia.

%75 ya watu walioko kusini mwa jangwa la sahara ni wagaratia lakini ndo sehemu yenye umasikini ulio kithiri kuliko sehemu yeyote ile duniani.
Haiti %100 ni wagaratia ndo taifa masikini kuliko taifa lolote hapa duniani na watu wake wanaishi maisha mithiri ya nguruwe.
Vip hapo?
Ndugu tafuta fundi ujenzi mwambie umepata kazi ya msikitini na kanisani. Njoo na majibu ataifanya ipi ?
 
we unpenda tu lakini jau
Kuna yale yanavaliwa na wale wa mbagara, yale siyapendi. Lakini hiyo picha niliyokuwekea hapo juu napenda, wamejistiri na wamependeza. Unajua kuna muda huwezi kuona uzuri ndani ya kitu kama ukiwa unakitazama ukiwa tayari na perception yako. Ukitaka kuelewa kitu ki approach ukiwa neutral.
 
Sasa mjomba wako inaonekana alikuwa ni mzawa wa hapohapo na jamii anayoishi nao wote wanamfahamu hata kama wana chuki naye hawawezi kumuonesha waziwazi kwa kumuonea aibu
Uislamu wake ulikuwa wa haki ndo maana jamii ilimkubali na kuongoza chama cha TANU
 
Back
Top Bottom