Wakristo zaidi ya 100 wauawa kwenye vijiji vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria kwa kusherekea christmas

Uislam ni kama ulivyo wewe
 
Nani Kashusha qurani wewe.Hayo ni maneno ya kujitungia ya mudy ili kupata favor.Mwenyewe amekufa bila hata kujua kama kuna kitabu kinaitwa qurani
 
Kwa hiyo huyo mungu wenu wa kweli mnayemfahamu ndo anawatuma kuwa washari na kuua watu?
 
Bin Adam huwezi kukamilika pasi kuwa muislam.

Kama Adam mwenyewe alikuwa Muislam, Wewe mwenye ubin wake kwanini usiwe?
Kwanini ni lazima wote tuwe waislam?
Kama ni hivyo basi huyo allah mnaemuabudu angeumba binadamu wote waislam ili kuepusha haya matukio ya kigaidi
 
Nimewaona maiti wamedandia pickup ndiyo maana nimefurahi. Wewe hujawaona post namba moja?

Sasa hufurahii hapo, maiti za siku hizi haziwapi watu shida, zinajipeleka zenyewe na mizigo yao mazikoni?
Umefurahi eeeeeeeh
 
Hayo ni maneno ya nani?
 
Maiti zina sarakasi hizo. Zimedandia gari zingine zipo juu ya mizigo.

[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji848]
Kafirrrwe na majini uko mba Koko wewe

Pumbavu kabisa.
 
Hamas walivyomuua Joshua kule Israel ulishangilia na kwaita wapigania dini Leo unakana kauli Yako sio!! Nyie watu mnatakiwa mfanyiwe utafiti maana ubongo ndani ya vichwa vyenu una vitu vya kustaajabisha.
Ona unavyokurupuka kijana tuliza jazba hem
Toka mzozo wa hamas umeanza sijawahi kuuhusiasha na uislam hata sehem moja
Ukileta koment yangu kama unavyosema kama nimesema sitatumia tena jf
 
Kwanza unapaswa kujua wakatoliki sio wakristo kwa sababu misingi, miongozo na itikadi zao zinapishana kabisa na Ukristo, alafu wanakunywa pombe kwa sababu kitabu Chao kina waruhusu kunywa
Ndio kwanza leo nasikia kua wakatoliki sio wakristo
Ila kama kweli sio wakristo dini gani???
 
Ilete kwa kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…