FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Umewahi kuisoma Qur'an?Nani Kashusha qurani wewe.Hayo ni maneno ya kujitungia ya mudy ili kupata favor.Mwenyewe amekufa bila hata kujua kama kuna kitabu kinaitwa qurani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umewahi kuisoma Qur'an?Nani Kashusha qurani wewe.Hayo ni maneno ya kujitungia ya mudy ili kupata favor.Mwenyewe amekufa bila hata kujua kama kuna kitabu kinaitwa qurani
Unataka treni ipinduke ?Kidogo sana hao.
Watu tupo Ghaza wanauliwa watoto kwa maelfu, itakuwa hao maiti walevi wanaodandia pickup?Unataka treni ipinduke ?
Hilo ndilo lililopo kwenye akili zenuNa Yesu asingekuwa duniani kusingekuwa na mashoga
Tafuta mkalimani akutafsirie au soma kwenye kurani ya kiswahili.Ilete kwa kiswahili
Hivi Police Tanzania wanasubiri nini kumkamata huyu Ajuza mwenye roho mbaya akaunganishwe na wale masheikh ubwabwa waliohukumiwa kunyongwa?ana chuki kali na ni hatari sana kwa Taifa. Najaribu kufikiria hata watoto zake na wajukuu zake si watakua ni hatari.No wonder watakua wanadhamini magaidi hawa.Serikali najua mpo humu kwenye forums.Chunguzeni huyu ajuza.Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.
View attachment 2855198
Dini ya hakiVipi wauwe watu bila hatia hao si Waislamu hao ni wanatumia ushenzi wao kwa kusingizia Uislam.
Uislam ni din ya Amani
Mbarikiwa,Hivi Police Tanzania wanasubiri nini kumkamata huyu Ajuza mwenye roho mbaya akaunganishwe na wale masheikh ubwabwa waliohukumiwa kunyongwa?ana chuki kali na ni hatari sana kwa Taifa. Najaribu kufikiria hata watoto zake na wajukuu zake si watakua ni hatari.No wonder watakua wanadhamini magaidi hawa.Serikali najua mpo humu kwenye forums.Chunguzeni huyu ajuza.
Mbona wewe unaishi situngeisha kuzika zamani, ukweli mbona uko wazi huwezi kulala kwenye nyumba za kinyiramba ukasema uko Masaki 😄Dini ya hakiView attachment 2856395
Umekua mara nyingi unafungamana na matukio yote ya kuuwawa watu na magaidi,Si mara moja unafurahia sana. Nashangaa hadi saivi kwanini haujaunganishwa na wale masheikh Waliokua wanalipua makanisa. Itakua ni miongoni wa wana mtandao.Ila nakuapia siku yako yaja endelea tu kujitoa fahamu nyuma ya keyboard.Mbarikiwa,
Kwa sababu anasema ukweli usioupenda?
Huyo ajuza ni mke wa shetani kabisaUmekua mara nyingi unafungamana na matukio yote ya kuuwawa watu na magaidi,Si mara moja unafurahia sana. Nashangaa hadi saivi kwanini haujaunganishwa na wale masheikh Waliokua wanalipua makanisa. Itakua ni miongoni wa wana mtandao.Ila nakuapia siku yako yaja endelea tu kujitoa fahamu nyuma ya keyboard.
We huna tofauti na yule malkia wa Tembo,Ni katili na mwenye roho mbaya mno huna huruma hata chembe ptuu.
Hali kadhalika, magaidi wa kundi la pombe nchini Tanzania nao wamefanya yao huko RukwaNi baraka kuzaliwa Tanzania, Kuna nchi hata kusherekea christmas ni taabu.
Kikundi cha waislam wenye itikadi kali kimeua wakristo zaidi ya 100 katika vijiji kadhaa vya mkoa wa Plateau nchini Nigeria
Mashambulizi yalifanyika kwenye vijiji 20 vya wakristo usiku wa manane kwakuzichoma nyumba huku watu wakiwa wamelala, kulipozuka tafrani waliotoka waliuawa na waliobaki ndani waliungua kwa moto![]()
May their souls rest in peace
source: At least 160 dead and 300 wounded after attacks by armed gangs in Nigeria
Kwahiyo shetani akawatuma waue ili awape thawabu.Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.
View attachment 2855198
wewe umeziona hizo maiti zinamedandia gari hapo, au hujaziona?Kwahiyo shetani akawatuma waue ili awape thawabu.
Atetee uongo huo mnaousambaza? Au ukishaona jina Uislam mashetani yanakupanda?Hizo aya ziko kwenye kitabu hicho kama zilivyo andikwa hivyo hayo maelezo unayotoa hayana maana yoyote na wala sio utetezi.
Hakuna uongo ndio maandiko yanavyosema kama yalivyo andikwa:Atetee uongo huo mnaousambaza? Au ukishaona jina Uislam mashetani yanakupanda?
Wewe una mamlaka gani ya kumpangia mtu maisha yake!Hawataki shere za kishetani huko, maana hizo siyo sherehe ni shere. Sherehe gani ya kidini watu wanalewa mchana kutwa usiku kucha?.
View attachment 2855198
Ndio ila ulevi ni dhambi! Tambua Kuna tofauti kati ya kunywa na kulewa,na kula na kivimbiwaPombe kwenye uislam haramu kwahio hua wanalewa kwa matakwa yao binafsi
Ila wakristo pombe inanywewa mpaka kanisani ambayo sehemu eti ya ibada
Maana yake kwa wakristo pombe halali