Wakulima bila kuwa na chama chenye Veto Tanzania, mtanyanyasika sana na watu wanaoshinda Twitter huko mjini

Wakulima bila kuwa na chama chenye Veto Tanzania, mtanyanyasika sana na watu wanaoshinda Twitter huko mjini

Acha wizi imekula kwako safari hii.
Hakuna ilipokula kwangu,kwanza watakao import ni wafanyabiashara sio wakulima na wameomba sampo maana unaweza leta matangopori ikakukata ,mchele wa Tanzania ni best world wide
 
Kwa hiyo kunachokupigisha kelele hapa ni kuvurugiwa soko lako la wizi? kama mpunga ulinunua 80000 ni kipi umeongeza kwenye mpunga ambao ulikuwa store tu hadi gunia uuze 210000?
Mpunga 80,000 Shamba,usafiri,Kodi,ushuru wa Halmashauri, gharama za mifuko,pakia shusha,maturubai,stoo na Kodi ya TRA hapo Bado wakala wa vipimo.

Vyote hivyo vinafikisha bei 210,000 ,on top of that mkulima kapata bei nzuri Sasa tukinunua 30,000 itamsaidia nini mkulima?

Mimi Bado nitaweka stoo na Serikali itafunga mipaka na nitauza zaidi ya 150,000.Hapa tunamtetea mkulima maana mfanyabiashara hakwepeki kwenye biashara ya mazao ndio distributors huyo.
 
Hakuna mkulima hapo kaka ni Bashe na walanguzi wenzake wa mazao wanajaribu kumblackmail mama ili afunge mipaka chakula kisiingie waendelee kuumiza wananchi.
Ahaa Kwa hiyo Hawa wanaagiza Thailand sio walanguzi au siyo? Acha ujinga wewe
 
Hii imekula kwako kaka. Walanguzi mmepandisha bei za vyakula makusudi na kujipatia faida kubwa huku seriakali ikilaumiwa. Kama nyie wenye hela mmeruhusiwa kuuza nje acheni wenye hela wenzenu waingize ndani.
Ndio tunasema walanguzi wameruhusiwa kuja kuua soko la wakulima wa Tanzania Sasa ngoja tuone Kati ya Mimi mlanguzi naempa pesa mkulima na nyie walanguzi mnaeleta mchele wa Thailand nani atamsaidia mkulima..

Wajinga kama nyie ndio Mwendazake alikuwa anawatimua, yaani uchukue Fedha za kigeni kwenda kuleta mchele Thailand wakati Tanzania ni ya pili Afrika Kwa kuzalisha mpunga? Pumbavu sana huyo Waziri
 
Mkulima kwa nchi yetu tutaendelea kuumia tu. Panapotokea upungufu hapo kelele zinakua nyingi kwa mkulima.
Pale mazao yanapokuwa mengi (demand ni ndogo kuliko supply), mkulima hana sehemu ya kupiga kelele kama watu hawa wa mjini na Twitter. Mkulima hupata hasara.
Serikali Kama ingetaka kumlinda mkulima baada ya kufanya thathimini ya gharama ya uzalishaji mazao ni katoa bei elekezi kwa mkulima kuuzà na hapo Kila wilaya na mkoa mpaka taifa lazima zisimamie mkulima.
Lakini kea hivi subiria overproduction na soko la nje liwe ndogo mkulima ataendelea kulia wakati walaji wanafurahia.
 
Utakula mwenyewe na umezalisha Vingi? Una pa kutunzia? Utakula utamaluza? Vitaoza na next msimu utazidi kuwa maskini
Lakini mzee mkulima ameruhusiwa kuuza nje mipaka si iko wazi?nilivyoelewa mimi akitaka kuuza hata uchina akauze alimradi havunji sheria za nchi sasa tena malalamiko ya nini?

Labda useme hapa patakuwa uchochoro wa kupitisha vyakula vitakavyoagizwa kwenda nje maana lazima vitakuwa na msamaha wa kodi kiasi vitawaathiri wakulima wetu.
 
Lakini mzee mkulima ameruhusiwa kuuza mipaka si iko wazi?nilivyoelewa mimi akitaka kuuza hata uchina akauze alimradi havunji sheria za nchi sasa tena malalamiko ya nini?

Labda useme hapa patakuwa uchochoro wa kupitisha vyakula vitakavyoagizwa kwenda nje maana lazima vitakuwa na msamaha wa kodi kiasi.
Soko lake la kwanza ni la ndani
 
Mkulima kwa nchi yetu tutaendelea kuumia tu. Panapotokea upungufu hapo kelele zinakua nyingi kwa mkulima.
Pale mazao yanapokuwa mengi (demand ni ndogo kuliko supply), mkulima hana sehemu ya kupiga kelele kama watu hawa wa mjini na Twitter. Mkulima hupata hasara.
Serikali Kama ingetaka kumlinda mkulima baada ya kufanya thathimini ya gharama ya uzalishaji mazao ni katoa bei elekezi kwa mkulima kuuzà na hapo Kila wilaya na mkoa mpaka taifa lazima zisimamie mkulima.
Lakini kea hivi subiria overproduction na soko la nje liwe ndogo mkulima ataendelea kulia wakati walaji wanafurahia.
Endeleeni kuwanufaisha maccm,wakiwasingua limeni msosi wenu tuu mfanye mengine
 
Soko lake la kwanza ni la ndani
Hili soko limeshakuwa gumu sasa wafanyeje?Ipo namna ninyi wauza nafaka mnafanya soko liwe ceased ili muweze kuumiza watu kwa kuuza bidhaa bei juu na hili serikali inalitambua ndiyo maana huamua kuja na mbinu kama hizi.

Mimi mahitaji ya nyumbani kwangu huwa nanunua mwenyewe kila baada ya wiki mbili but upande huu wa nafaka toka mwezi october mwaka jana hakuna siku nimeenda sokoni nikakuta bei imeshuka wala kukuta kama nilivyoiacha,nikikumbuka manunuzi niliyofanya mwanzoni mwa january kuna mchele nilikuwa nanunua 10Kg  kwa Tsh 23,500/= kwamba 1Kg 2,350/= lakini mpaka jumapili ya tar 05 Feb juzi tu hapa nimeununua kwa 35,000/= means 1kg ni 3,500/=.

Kuna nini hapa?ikiwa hatujatangaziwa mabadiliko ya aina yoyote kwenye soko la mafuta lakini kila siku kitu kile kile kinapanda bei tena maradufu?na huyo mkulima hana access ya kufikisha bidhaa sokoni hapa yeye lawama hana lawama ni za wale wenye maghala wanaowalalia kwa bei ndogo wakati wa mavuno na kwenda kuuza mijini
 
Kwani matumizi ya Chakula kilichopo stoo yanakuwa constant hayapungua kadiri ya mda?

Supply vs demand
 
Nadhani umeshindwa kutumia busara ya kawaida kabisa kuwa mfumuko wa bei una madhara sana katika uchumi. Huu mfumuko wa bei wa mazao hasa hasa haya ya nafaka ya biashara ambayo ndio common basket items unaathiri lishe kwenye familia, unaathiri mahusiano katika familia, unaathiri shughuli za kimaendeleo na zaidi.

Kimsingi, wanaoathirika hapa ni hawa wachuuzi si wakulima. Wakulima wameshauza mazao wanaendelea na kilimo.
 
Mwezi wa 3 unashuka Kwa nini waagize mchele?
 
Back
Top Bottom