ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #61
Hakuna mavuno hafifu, kakwambia naniMsimu wa mvua haukunyesha vizuri, mavuno hafifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mavuno hafifu, kakwambia naniMsimu wa mvua haukunyesha vizuri, mavuno hafifu.
Hakuna ilipokula kwangu,kwanza watakao import ni wafanyabiashara sio wakulima na wameomba sampo maana unaweza leta matangopori ikakukata ,mchele wa Tanzania ni best world wideAcha wizi imekula kwako safari hii.
Nilikuwa mashambani juzi. Hakuna hata cha kuuza nje.Hakuna mavuno hafifu, kakwambia nani
Mpunga 80,000 Shamba,usafiri,Kodi,ushuru wa Halmashauri, gharama za mifuko,pakia shusha,maturubai,stoo na Kodi ya TRA hapo Bado wakala wa vipimo.Kwa hiyo kunachokupigisha kelele hapa ni kuvurugiwa soko lako la wizi? kama mpunga ulinunua 80000 ni kipi umeongeza kwenye mpunga ambao ulikuwa store tu hadi gunia uuze 210000?
Ahaa Kwa hiyo Hawa wanaagiza Thailand sio walanguzi au siyo? Acha ujinga weweHakuna mkulima hapo kaka ni Bashe na walanguzi wenzake wa mazao wanajaribu kumblackmail mama ili afunge mipaka chakula kisiingie waendelee kuumiza wananchi.
Ndio tunasema walanguzi wameruhusiwa kuja kuua soko la wakulima wa Tanzania Sasa ngoja tuone Kati ya Mimi mlanguzi naempa pesa mkulima na nyie walanguzi mnaeleta mchele wa Thailand nani atamsaidia mkulima..Hii imekula kwako kaka. Walanguzi mmepandisha bei za vyakula makusudi na kujipatia faida kubwa huku seriakali ikilaumiwa. Kama nyie wenye hela mmeruhusiwa kuuza nje acheni wenye hela wenzenu waingize ndani.
Yeah, mfanyabiara huangalia faida kwanza.Na siku zote mfanyabiashara hawezi kuagiza kilicho bora kwa bei ya juu !!
Exactly.Kama ilivyo,TAHILSO,BAKWATA,CWT n.k zote hizo ni matawi ya ccm,ccm imeharibu nchi na kuua sauti za wananchi.
Lakini mzee mkulima ameruhusiwa kuuza nje mipaka si iko wazi?nilivyoelewa mimi akitaka kuuza hata uchina akauze alimradi havunji sheria za nchi sasa tena malalamiko ya nini?Utakula mwenyewe na umezalisha Vingi? Una pa kutunzia? Utakula utamaluza? Vitaoza na next msimu utazidi kuwa maskini
Soko lake la kwanza ni la ndaniLakini mzee mkulima ameruhusiwa kuuza mipaka si iko wazi?nilivyoelewa mimi akitaka kuuza hata uchina akauze alimradi havunji sheria za nchi sasa tena malalamiko ya nini?
Labda useme hapa patakuwa uchochoro wa kupitisha vyakula vitakavyoagizwa kwenda nje maana lazima vitakuwa na msamaha wa kodi kiasi.
Endeleeni kuwanufaisha maccm,wakiwasingua limeni msosi wenu tuu mfanye mengineMkulima kwa nchi yetu tutaendelea kuumia tu. Panapotokea upungufu hapo kelele zinakua nyingi kwa mkulima.
Pale mazao yanapokuwa mengi (demand ni ndogo kuliko supply), mkulima hana sehemu ya kupiga kelele kama watu hawa wa mjini na Twitter. Mkulima hupata hasara.
Serikali Kama ingetaka kumlinda mkulima baada ya kufanya thathimini ya gharama ya uzalishaji mazao ni katoa bei elekezi kwa mkulima kuuzà na hapo Kila wilaya na mkoa mpaka taifa lazima zisimamie mkulima.
Lakini kea hivi subiria overproduction na soko la nje liwe ndogo mkulima ataendelea kulia wakati walaji wanafurahia.
Hili soko limeshakuwa gumu sasa wafanyeje?Ipo namna ninyi wauza nafaka mnafanya soko liwe ceased ili muweze kuumiza watu kwa kuuza bidhaa bei juu na hili serikali inalitambua ndiyo maana huamua kuja na mbinu kama hizi.Soko lake la kwanza ni la ndani
Kwani matumizi ya Chakula kilichopo stoo yanakuwa constant hayapungua kadiri ya mda?Hili soko limeshakuwa gumu sasa wafanyeje?Ipo namna ninyi wauza nafaka mnafanya soko liwe ceased ili muweze kuumiza watu kwa kuuza bidhaa bei juu na hili serikali inalitambua ndiyo maana huamua kuja na mbinu kama hizi.
Mimi mahitaji ya nyumbani kwangu huwa nanunua mwenyewe kila baada ya wiki mbili but upande huu wa nafaka toka mwezi october mwaka jana hakuna siku nimeenda sokoni nikakuta bei imeshuka wala kukuta kama nilivyoiacha,nikikumbuka manunuzi niliyofanya mwanzoni mwa january kuna mchele nilikuwa nanunua 10Kg kwa Tsh 23,500/= kwamba 1Kg 2,350/= lakini mpaka jumapili ya tar 05 Feb juzi tu hapa nimeununua kwa 35,000/= means 1kg ni 3,500/=.
Kuna nini hapa?ikiwa hatujatangaziwa mabadiliko ya aina yoyote kwenye soko la mafuta lakini kila siku kitu kile kile kinapanda bei tena maradufu?na huyo mkulima hana access ya kufikisha bidhaa sokoni hapa yeye lawama hana lawama ni za wale wenye maghala wanaowalalia kwa bei ndogo wakati wa mavuno na kwenda kuuza mijini
Kabisa! Tena faida kubwa !!Yeah, mfanyabiara huangalia faida kwanza.
Mwezi wa 3 unashuka Kwa nini waagize mchele?Nadhani umeshindwa kutumia busara ya kawaida kabisa kuwa mfumuko wa bei una madhara sana katika uchumi. Huu mfumuko wa bei wa mazao hasa hasa haya ya nafaka ya biashara ambayo ndio common basket items unaathiri lishe kwenye familia, unaathiri mahusiano katika familia, unaathiri shughuli za kimaendeleo na zaidi.
Kimsingi, wanaoathirika hapa ni hawa wachuuzi si wakulima. Wakulima wameshauza mazao wanaendelea na kilimo.
Mchele uagizwe tu ili bei yake ishuke Nchini !! Hali ni mbaya mtaani !! Ngoja inyeshe tuone panapovuja !!Mwezi wa 3 unashuka Kwa nini waagize mchele?