Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.

Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.

 
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru Hana Maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE.

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya Buku.

Walakini, Ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru , endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.

Huu ujinga unamwisho wake,acha Wajidanganye, tena wawaandae nchi nzima hao mamluki wao, kifupi daganya toto yao imefikia mwisho.
 
Songa Mbele #Bashiru!
Bado kidogo tu na kitaeleweka!

Bashiru mmoja!
Anaitingisha CCM namna hiyo!

Hapo bado wapinzani wa nje ya CCM kina #Lissu na wengineo woote!

Jiwe la gizani limefanya kazi yake!

Limewapata wahusika na sasa tunaona Mayowe tupu!
 
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru Hana Maana !!


DKT BASHIRU, SONGA MBELE !!


Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya Buku .

Walakini, Ukweli ni ukweli, na hushinda !!

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru , endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge !!




Sasa hii si mpaka rais anajua kabisa ni watu wamepewa script 😂😂
 
Back
Top Bottom