Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.

Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.


Rais Samia ameipaisha nchi kiuchumi na maendeleo kwa wanaopinga ushahidi huu hapa, mkulima anatumia zana za kisasa kulimia kama picha inavyoonesha, anaupiga mwingi.
 
Leo anaingia Babati .. Nimepita naona wanafunzi wanasombwa na watu wengine wakipandishwa malori kwenda ofisi za ccm.

Nikiuliza Ziara ni ya kichama au vp nitatukanwa
 
Wakulima lazima tumtie moyo Rais wetu
Bei ya mbolea kwenye soko la Dunia ni kubwa kiasi kwqnba bila ruzuku wakulima wasingeweza kulama mfano DAP $1019 per ton na ikiwa CIF Dar es sa $1215 equivalent to 140 nani mkulima.angeweza

Muwe mnampa HEKO mtu akifanya vyema
Tumtie moyo ili iweje ?

Kwani tulimuomba agombee uongozi, si angekaa kwake na familia yake uone kama tungemsakama.

TUNAHITAJI MAJI NA UMEME ULIOTULIA.

Mfumuko wa bei upo juu, hawez tutamsema tu. Akichoshwa na maneno 2025 arud Znz kupumzika na familia.

Hatuna muda wa kuoeana moyo, yeye afanye kazi aliyoomba
 
Back
Top Bottom