Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #141
NjaaaHao ndo wakulima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NjaaaHao ndo wakulima?
MwambaaKumbe Bashiru ni jabali kweli kweli.
Wanaongea mpaka wanateteme
Ruksa maandamano.
#MaendeleoHayanaChama
Wale ndo wakulima SasaWakulima walioongea na Bashiru wanaonekana kabisa wamechooka na wananyonywaaa!!
Hayo mango waliyaandaa baada ya kauli ya Bashiru au yalikuwa standby
Kwa Kichwa hiki, Kama Nchi, tutakua tumepiga hatua ya kufikia Nchi ya Ahadi.BASHIRU FOR PRESIDENT 2025.
Matokeo ya kupata Urais Kwa bahati😂😂😂
Maskini mama samiya, kusema kweli mimi namsikitikia sana
Dereva Kichwa hanaNchi linaenda km gari bovu
Hakika, Huyu Bashiru awe Mwenye Afya njema.Ahsante rais mtarajiwa Ali bashiru kakulwa kwa kutusemea sisi wakukima.Endelea kutoa nondo ili chief hangaya ajirekebishe na mambo ya hovyo anayoyafanya
TujilishaneDaaah hiyo mbolea ya elfu sabini inauzwa wapi wadau ! Me nikachukue aseee
Huyo Bibi Tozo wewe unaona anaweza kuwa na akili hiyo??Sasa hii si mpaka rais anajua kabisa ni watu wamepewa script 😂😂
Nasema uongo Ndugu zangu!!Daa,mambo bado magumu
Matendo ya Walamba Asali, ..huwez acha kucheka😅😅😅🤣 dah
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mkulima huyo, amesafiri kutoka pale Feri.Sasa mkulima havai kaunda suti ila wewe bado una unamawazo ya kizamani kwamba mkulima awe hovyohovyo lakini huu ni utawala wa Rais Samia Suluhu wakulima ndio matajiri sasa
Hayo mabango waliprinti wapi hapo kijijini! Siku zote uongo ufanane na ukweli, pia ni lini walifanya na kupata kibali cha kuandamana ili wampongeze mama! CCM uongo wa kizamani ulipitwa na wakati kwani huamsaidii mtu.
Hahahahah ndugu uko sawa kweli? Wewe unaishi Tanzania hii kweli? Au mimi sijakuelewa?kwa bajeti hii ya kilimo wakulima wana kila haki ya kumshukulima mama maana gharama za kilimo zimepungua hii haihusiani na Bashiru maana sisi watanzaia wazalendo hatuyumbishwi