Wakulima Manyara wamuunga mkono Rais Samia
Bashiru is so powerfu.

Hakika tendwe na Bashiru.

Walamba asali waandamini wanakorogeka huko.
 
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.

Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.

Nina UHAKIKA wa % nyingi tu,kuwa wengi wa hao "waandamanaji " hata kusikia kile alichokiongea Dk Bashiru hawajakisikia,ila wapo hapo 'kuandamana'
 
Msoma lisala anasemazamani walikuwa wanapata mbolea kwa laki na nusu sasa wanapata kwa sabini huyo anaye mwambia ajiulize hivi zamani zipi? Rais alikuwa nani? Si huyo huyo? Akili za kuambiwa changanya na zako

Hahaha ccm bwana Kwa maigizo dah
 
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.

Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.

Manyara wanalima nini huko kukame kila kona

Ati wanasiasa wanawaonea wivu wakulima🤣
 
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.

Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.

Manyara mvua zinanyesha Kwan?
 
Oneni huyu msoma taarifa,

Mbolea sehem gan hiyo inauzwa elfu Sabini??
1669115228729.png

Bob ,kazungukwa na walamba Asali, watu wanaojali matumbo Yao kwanza.
wanasema mama amewafuta machozi... sasa tuwaulize aliewaliza ni nani?
 
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru hana maana.

DKT BASHIRU, SONGA MBELE

Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya buku.

Walakini, ukweli ni ukweli, na hushinda.

Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru, endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.

Tuwaige wakulima HEWA kuandaa maandamano kupinga mgao wa Umeme!!
 
Back
Top Bottom