Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Huu ujinga unamwisho wake,acha Wajidanganye, tena wawaandae nchi nzima hao mamluki wao, kifupi daganya toto yao imefikia mwisho.Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru Hana Maana.
DKT BASHIRU, SONGA MBELE.
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya Buku.
Walakini, Ukweli ni ukweli, na hushinda.
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru , endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge.
Hili lote ni picha linalotengenezwa, ili uonekane Dkt Bashiru Hana Maana !!
DKT BASHIRU, SONGA MBELE !!
Ni kawaida, Ukweli Mmoja, hupigwa na Mauongo zaidi ya Buku .
Walakini, Ukweli ni ukweli, na hushinda !!
Tunakupenda na tunakuamini Dkt Bashiru , endelea kusimamia Falsafa zako na uwasameee wanyonge !!
Yule ana uwezo wa kawaida kumkichwa , lazima akubali na awaaminiSasa hii si mpaka rais anajua kabisa ni watu wamepewa script 😂😂
Alafu walamba Asali, hawajawai kua na akili.Sasa hii si mpaka rais anajua kabisa ni watu wamepewa script 😂😂
Ndio ndioooGo Bashiru go,sisi wazarendo tunakuunga mkono
Hakika ,yaan nisawa kamwaga maji ya moto kwenye shimo lenye nyokakauli ya bashiru imechokonoa mengi na ndivo rangi yenyewe ya ccm inaonekana
Anapenda kusifiwa sifa za kijingaSasa hii si mpaka rais anajua kabisa ni watu wamepewa script 😂😂
Bado tunaielekea Nchi ya AsaliNchi hii Kazi kweli kweli
Bob ,kazungukwa na walamba Asali, watu wanaojali matumbo Yao kwanza.Kwa nini yeye mwenyewe asiwachukulie hatua kali wale wote walio andaa maandamano hayo? Tunaenda wapi? Kupinga ukweli ili uongo utawale?.