Rais Samia ameipaisha nchi kiuchumi na maendeleo kwa wanaopinga ushahidi huu hapa, mkulima anatumia zana za kisasa kulimia kama picha inavyoonesha, anaupiga mwingi.
 
Leo anaingia Babati .. Nimepita naona wanafunzi wanasombwa na watu wengine wakipandishwa malori kwenda ofisi za ccm.

Nikiuliza Ziara ni ya kichama au vp nitatukanwa
 
Tumtie moyo ili iweje ?

Kwani tulimuomba agombee uongozi, si angekaa kwake na familia yake uone kama tungemsakama.

TUNAHITAJI MAJI NA UMEME ULIOTULIA.

Mfumuko wa bei upo juu, hawez tutamsema tu. Akichoshwa na maneno 2025 arud Znz kupumzika na familia.

Hatuna muda wa kuoeana moyo, yeye afanye kazi aliyoomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…