Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Anapendwa na anakukubalika na wengi, bara na visiwani. Anaahidi anatekeleza. Anasema na anatenda, matokeo yanaonekana kwa uwazi.
Mbegu bora za mazao na mifugo, mbolea na madawa ya wadudu vinapatikana kwa urahisi na kwa wingi wa kutosha. Mwaka huu wa kilimo ni kutoboa bila mbambamba, ashindwe mvivu tu.. Mavuno ya Mwaka 2024 yatawezesha kumlipia fomu ya urais 2025.
Tunasonga mbele kwa uhakika, Amani na utulivu.
Asanti sana Dr. Samia Suluhu Hassan.
Pia soma: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025