longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
ulaji wa mirungi (kuchanja gomba ) na uvutaji wa bangi na wakati mwingine kuipika kama mboga ni sehemu ya burudani na anasa zetu bablai huwezi kuingilia maisha binafsi ya watu...kama vipi arifu kaa mbali ....Arusha itabaki kuwa Arusha jomba!Na Arusha ni watu wastaarabu. Haiwezi kuwa Kilimanjaro kwa wala mirungi na bange
hao raia wa kawaida ndio waliowapa hiyo migodi wawekezaji au ni mawaziri wa ccm? punguza pumba mkuuSio CCM BALI NI RAIA WA KAWAIDA WALIOSHIRIKIANA NA BAADHI YA WANACCM
Will follow the suit? English, French or Swahili?Jinga lao, serikali haijawahi shinda kesi hata moja ya mahakama za kimataifa. This will also follow the suit! You are moved by emotions and cheap popularity
Ficha ujingahivi unajua tani ya tanzanite wewe? hiyo kampuni ni ya nje hao wa kina Gonga ni shareholders tu tea hisa zao ni ndogo sana
Hata ile ya rada?Jinga lao, serikali haijawahi shinda kesi hata moja ya mahakama za kimataifa. This will also follow the suit! You are moved by emotions and cheap popularity
Tubu mwenyewe kwa sababu ya umbumbu wako. Unachaguaje mtu bila kujiridhisha, ulishindwa kumpa Lowassa ambaye "usafi" wake wote unaufahamu?Niseme wazi bila kificho!
Magufuli hajui anachofanya!
Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.
Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.
Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
Kamati imesema tani 3 kama sijakosea, usibishane na uzito, bishana na ubura. Huyo unayemsema wa nje ni Muhuni tu kama wahuni wengine, ujanja wote wa namna ya kuiba amefundishwa na hao unaowasema wanahisa kidogo. Hata kwny hiyo cctv clip wanaoonekana ni hao wenye hisa kidogo, mpaka muwakilishi wa mwenye hisa kubwa, wapo mstari wa mbele kwenye kuiba mali za serikali.hivi unajua tani ya tanzanite wewe? hiyo kampuni ni ya nje hao wa kina Gonga ni shareholders tu tea hisa zao ni ndogo sana
Wawakamate tuuuuuuuu, tushavurugwa sasa iviMajizi ya Arusha huwa hayakosei. Ni malaika. Watatewa hapa mpaka POVU KILO 800 na mamangi !
Nyie ndio watu msiojulikana!Mpuuzi kama wewe Unaleta Laana tu kwa taifa
Ni kweli mkuu, unajua ukiwachukulia kijuu juu unaweza ukasema serikali imewaonea hawa jamaa. Lakini kiukweli serikali ilichelewa kuchukuwa maamuzi. Watu hawana address wala ofisi, hawana board of directors hapa bongo wala huko walipo. Anaye watetea aingie search engine yoyote unayunayoijua wewe atuletee address pamoja na board of directors wa Sky associate + tanzaniteone & Stamico Mining Ltd. Ukitoa migodi ilipo, ofisi zao Tanzaniteone mining Ltd zipo wapi hapa Tanzania?Wengi wetu mnatoa maoni kwa kujificha utambulisho wenu kwa kukosa uhakika. Sasa tuulizeni sisi ambao tunatokea huko eneo lenye tanzanite. Nasema serikali IPO sahihi, sana. Nchi imeibiwa mno. Kwa Mara nyingine ninawapa big up kwa hatua wanazochukua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hussen.......... anajina lake, hilo Gonga ni jina la utani.Hussein Gonga..!!
Acha tu Mh. Magufuli apate hasira watu wanatumia hovyo rasilimali zetu bila huruma ,halafu akichukua hatua watu wasiojua lolote wanalalama na kutetea .Sio Husein tu. Kwa maoni tangu Prof. Mhongo anasatahili kuwa wa kwanza kuhojiwa. Jeuri yote ya kukiukwa sheria katika suala ta tanzanite (kwa sasa) ilitoka kwake. Tulimsihi sana kuwa angaalie suala LA utoaji wa Leseni na umiliki wa kitalu C, lifanyike wazi kwa kuzingatia sheria. Akasema hakuwa tayari kujadili hilo badala yake aliacha kikao kwene ukumbi wa wizara, bila kukifunga japo alikuwa mwenyekiti.
Sent using Jamii Forums mobile app
we acha hizo tanzanite inaibiwa na wafanyabiashara wote tu kuanzia wadogo mpaka wakubwa hakuna alie mzalendo hata mmoja....Mererani ndio maana kumejaa wafanyabiashara WAKENYA wajaluo wamejaa mpaka Arusha mjini wapo wakenya kibao wanaonunua tanzanite..........kiufupi watu wote wanaojihusisha na biashara ya tanzanite ni weziKamati imesema tani 3 kama sijakosea, usibishane na uzito, bishana na ubura. Huyo unayemsema wa nje ni Muhuni tu kama wahuni wengine, ujanja wote wa namna ya kuiba amefundishwa na hao unaowasema wanahisa kidogo. Hata kwny hiyo cctv clip wanaoonekana ni hao wenye hisa kidogo, mpaka muwakilishi wa mwenye hisa kubwa, wapo mstari wa mbele kwenye kuiba mali za serikali.