Tetesi: Wakurugenzi wa Sky Associates wako mikononi mwa polisi

sio hao tu Mererani kuna migodi mingi sana mingine ya wazawa wakina Mengi. Sunda . Money hakuna hata mgodi mmoja mererani wenye ofisi wala board of directors!...........Tena afadhali hao Sky associates wanawalipa wachimbaji wao mishahara migodi mingine hawawalipi hata mia wachimbaji wao zaidi ya kuwapa UGALI, MAHARAGE NA DAGGAA.
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.
Huna mpenz na nchi yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wazawa ndio wako mstari wa mbele kutorosha madini na kuyapeleka Kenya ndio maana mererani wamejaa wakenya na migodi ya wazawa wanawanyanyasa sana wachimbaji wao hata mishahara hawawalipi na hata bima ya afya hawajawakatia!......Bora wawekezaji wanawajali wachimbaji wao kwa kuwalipa mishahara na kuwakatia bima!......Wazawa ndio wezi wakubwa wa madini na bado kodi hawalipi
 
Watajuta muda si mrefu

Na hata almas,mwadui,huko ndiko kina majuto makuu ambayo yataleta Kilimo kikuu kwa taifa
Hivi nyinyi kila fisadi mnamtetea si ni tume ya bunge ndo iliyowataja wakiwemo wapinzani!! Sasa mnataka serikali ifanye lipi ndio mtalizika??
 
hizo tetesi natamani zisambae na kuwagusa hadi wanasiasa na watu wa serikali waliofanikisha mchakato huo wa wizi.
Jela sio kwa wawekezaji fedhuli tu, ni pamoja na watanzania wawezeshaji wa wawekezaji hao.
 
Niseme wazi bila kificho!

Magufuli hajui anachofanya!

Kama kweli tulimchagua basi tulimkosea MUNGU MUUMBA WA MBINGU NA NCHI.

Tunatubu kwa kosa hili tunaomba atusamehe na kutufanyia wepesi.

Yupo wakati wa pili si vibaya kughairi.

Wewe nafikiri umechanganyikiwa! Tume ya Bunge ndiyo iliyochunguza nakuona hayo matatizo sasa serikali inapochukua hatua mapendekezo ya bunge unasema matatizo ni ya Mh. Rais Magufuli?? Hivi wewe ni kupinga kila kitu tu?? Tukuamini kweli wewe??
 
Mnakurupuka mtakuja kujuta! Haraka ya nini? Jiridhishe kuwa mna ushahidi wa kutosha kuwatia hatiani. Najua ni kukurupuka.

Ahhhh ila Lissu. Je una ushahidi. Yani mna argue kitoto mpka nashangaa are you serious with this life. Leo madini mnakurupuka. Lissu hata mantiki inakataa lakini mumo tu. Loo poor you.
 
Mnakurupuka mtakuja kujuta! Haraka ya nini? Jiridhishe kuwa mna ushahidi wa kutosha kuwatia hatiani. Najua ni kukurupuka.
Ni Kweli kabisa mkuu watu wanakurupuka sna hawajiridhishi kabisa na taarifa sahihi....wengine wanailaumu Serikali kwa Lissu kupigwa risasi kwann wasiwe na facts kwanza? Kitu kma haukijui nyamaza au labda watuambie kma walikuwepo eneo la tukio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu unakimbizwa?tulia kwanza,awamu hii janjajanja hakuna,tunalala nao mbele tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnakurupuka mtakuja kujuta! Haraka ya nini? Jiridhishe kuwa mna ushahidi wa kutosha kuwatia hatiani. Najua ni kukurupuka.
Simbacgawene na ngonyani washatapika ukweli,hakuna kukurupuka hapo,hawa jamaa sky janjajanja Sana,suala Lao likishawahi kuhojiwa bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…