Saint Joseph
Member
- Aug 26, 2020
- 47
- 12
hujui sheria wewe, ingekua rufaa zinazokubaliwa na ma jaji wanaamuru hakimu aondolewe, asingebaki mtu kama una ushahidi kwamba mgombea wako alienguliwa kwa hila, unaweza kuiandikia tume ya maadili, vinginevyo unaleta siasa tu.Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi
Napata mashaka na kale kamsemo kake pendwa "MA ENDELEO H A Y A N A C H A M A A A"in his voice..[emoji23][emoji23]Magufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Huyu kiongozi ana ubaguzi wa kishamba sana ! Kikwete alichowafanyia watanzania 2015 Mungu hatomuachaMagufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Swali lako ni zuri lakini huu uzi ni kwa Great Thinkers , nimeuweka nikifahamu kwamba kuna maswali kama lako yataletwaWafutwe na nani?!
Wasalimie Ufipa!Swali lako ni zuri lakini huu uzi ni kwa Great Thinkers , nimeuweka nikifahamu kwamba kuna maswali kama lako yataletwa
Hili jamboChadema wana takiwa walipe umuhimu wa kipekee. Ina kumbukwa huyu shangazi akimnyima fomu mgombea wa Kibamba, baada ya malumbano mengi akampa. Akaja kwa mgombea wa Ubungo, akamuengua. Chadema isitegemee kupata haki kwa hiki kiazi cha CcmBaada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani
Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.
Huyu bibi anaweza kumtangaza mpinzani kuwa ameshinda?Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani
Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.
Huyu mzee ni hatari sana kwa taifa letuHaya ni maneno ya kijinga kabisa yanayovunja katiba.
Yawezekana yanatokana na mihemko ya kisiasa ama kwa kujua au kutojua.
Hata hivyo, siasa zinafanywa kipuuzi kwa kuwa wananchi wanapenda na kushabikia upuuzi.
Hoja zenye ukweli, ustaarabu na hekima haziwavutii wengi.
Sio kuchapwa tu mkuu. Inabidi wafunguliwe kesi ya hujuma na uhaini wafungwe kwa kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu kwa makusudi!Hivi kwanini wakurugenzi kama hawa wasichapwe wakashikishwa adabu.
Wafutwe kabisa wanamchonganisha Rais na wananchi.Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani
Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.
Awamu ya tano laanaturahWaondolewe na nani sasa wakati wanatekeleza mpango mkakati wa aliyewaweka?
Hao wakurugenzi walipewa maelekezo kutoka juu,lakini pia Time imepewa maelekezo kututia kwenye msitali.Kuna mambo yanatia kinyaa sana kwenye hii awamu
Wapigwe mawe mpaka wafe.Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.
Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani
Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.
wakiendelea kuhudumu hicho kipigo chaweza kuwakutaWapigwe mawe mpaka wafe.
ni miongoni mwa wakurugenzi wanaotia aibu sanaHuyu bibi anaweza kumtangaza mpinzani kuwa ameshinda?