Saint Joseph
Member
- Aug 26, 2020
- 47
- 12
Unajua wakati mwingine anatakiwa afikirie sana ndio afanye maamuzi Hivi machafuko unayajua au unaropoka tu machafuko sio ya kuombea hiyo ni hatari sana maana ulikuwa na uhuru wa kufanya kazi hautakuwa nao tena uhuru wa kutembea hautakuwepo uhuru wa kulala hautakuwepo unalala roho juu juu.kwani Congo hauoni au unajifanya fyatu post uzi wa kujenga na sio kubomoa.