Uchaguzi 2020 Wakurugenzi waliowaondoa Wagombea wa Upinzani kwa maelekezo ya CCM wafutwe kazi, wana ajenda yao wakiachwa wataleta machafuko

Unajua wakati mwingine anatakiwa afikirie sana ndio afanye maamuzi Hivi machafuko unayajua au unaropoka tu machafuko sio ya kuombea hiyo ni hatari sana maana ulikuwa na uhuru wa kufanya kazi hautakuwa nao tena uhuru wa kutembea hautakuwepo uhuru wa kulala hautakuwepo unalala roho juu juu.kwani Congo hauoni au unajifanya fyatu post uzi wa kujenga na sio kubomoa.
 
Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi
hujui sheria wewe, ingekua rufaa zinazokubaliwa na ma jaji wanaamuru hakimu aondolewe, asingebaki mtu kama una ushahidi kwamba mgombea wako alienguliwa kwa hila, unaweza kuiandikia tume ya maadili, vinginevyo unaleta siasa tu.
 
Magufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Napata mashaka na kale kamsemo kake pendwa "MA ENDELEO H A Y A N A C H A M A A A"in his voice..[emoji23][emoji23]
 
Magufuli anaposema hawezi kulisha chakula watoto wa baba mwingine, akimaanisha kupeleka maendeleo sehemu walizochagua upinzani. Hivi hiki chakula cha kuwalisha watoto wake anakipata wapi?
Huyu kiongozi ana ubaguzi wa kishamba sana ! Kikwete alichowafanyia watanzania 2015 Mungu hatomuacha
 
Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.

Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani

Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.
Hili jamboChadema wana takiwa walipe umuhimu wa kipekee. Ina kumbukwa huyu shangazi akimnyima fomu mgombea wa Kibamba, baada ya malumbano mengi akampa. Akaja kwa mgombea wa Ubungo, akamuengua. Chadema isitegemee kupata haki kwa hiki kiazi cha Ccm
 
Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.

Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani

Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.
Huyu bibi anaweza kumtangaza mpinzani kuwa ameshinda?
 
Haya ni maneno ya kijinga kabisa yanayovunja katiba.

Yawezekana yanatokana na mihemko ya kisiasa ama kwa kujua au kutojua.

Hata hivyo, siasa zinafanywa kipuuzi kwa kuwa wananchi wanapenda na kushabikia upuuzi.

Hoja zenye ukweli, ustaarabu na hekima haziwavutii wengi.
Huyu mzee ni hatari sana kwa taifa letu
 
Hivi kwanini wakurugenzi kama hawa wasichapwe wakashikishwa adabu.
Sio kuchapwa tu mkuu. Inabidi wafunguliwe kesi ya hujuma na uhaini wafungwe kwa kutaka kuvuruga amani ya nchi yetu kwa makusudi!
 
hawapaswi kusimamia uchaguzi kwani wameshaonyesha hisia zao kuwa hawataweza kutenda haki kwa wagombea wa vyama vya upinzani na hawatakuwa tayari kutangaza matokeo yatakayompa mgombea wa upinzani ushindi
 
Waondolewe na nani sasa wakati wanatekeleza mpango mkakati wa aliyewaweka?
 
Baada ya Tume ya Uchaguzi kuthibitisha kwamba haikuwa sahihi kuwaengua Wagombea wa Upinzani kama ilivyofanywa na Wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wanachama wa CCM, kuna haja ya kuwaondoa kabisa wakurugenzi hao kwenye usimamizi wa uchaguzi huu ili kuepusha maafa.

Hawaaminiki tena na wala hata wao wenyewe hawajiamini, kwa mfano Mkurugenzi wa Ubungo Beatrice Dominic, pichani

Hapaswi kuwa msimamizi wa uchaguzi wa eneo hilo kwa vile anazo chuki binafsi na Mstahiki Meya wa Zamani wa Manispaa hiyo ambaye pia ni mgombea ubunge wa CHADEMA wa Jimbo la Ubungo, mama huyu akiachwa ataleta machafuko ambayo hayatakuja kukoma, aondolewe mapema msije kusema hatukuwaambia, sambamba na huyu wakurugenzi wengine wote walioboronga waondolewe, hawaaminiki tena.
Wafutwe kabisa wanamchonganisha Rais na wananchi.
 
Wapigwe mawe mpaka wafe.
 
Back
Top Bottom